Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Advance team ya ccm mnamuangusha....MAGUFULI ..naamini hata chadema wanatuma watu wao na wanajua maeneo gani salma kwa mgimbea wao kusimama a
 
hapo ni pale mbeya wapumbavu wakimwimbia magufuli 'lowasa lowasa' badala ya kusubiri oct 25 kumpigia huyo mgombea wao kura. sasa sijui walikua wanataka magufuli ajitoe kugombea au wanamuombea kura lowassa kwa magufuli,..sijui!! viroba kwa ukawa ni shiiiidah.

Mbeya nako kumbe kuna barabara na vituo vya BRT basi nchi yetu imeendelea aisee
 
Laiti kama watu Makini wakikaa kando na kuacha hawa wavuta bange,wala ngada na viroba ndo watuchagulie rais-Taifa litakufa ndani ya MIAKA 2 Tu

Hii nchi kama ingekuwa na watu makini kama wewe tungekuwa tunaishi kama WAKANADA leo hii. Bahati mbaya sana wewe na mimi si watu makini. "Yesu alipowasikia, akawaambia, "Watu wenye afya hawahitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa. Sikuja kuwaita watu wema, ila wenye dhambi." LABDA MFANO HUU UNAWEZA KUKUSAIDIA KIMAWAZO"
 
Bado mna ujinga huu wa kutegemea kutayarisha vi clips vya vijana wa chadema wakizomea mnadhani ndio vitawaokoa! kitengo cha IT cha mafisadi mnakula hela za bure za Lowasa mwambieni ukweli kuwa pamoja na maigizo mnayomuonyesha, urais hawezi kushinda na wananchi wengi wameshaamua kumpa Magufuli.

Wananchi ndo sisi na tunampa lowasa
 
Ndo maana chadema kimekuwa kama chama cha wavuta bangi, kwani kuzomea ni maadili ya kibangibangi kama itikadi yako haiendani na Makufuli fanya mambo yako, biashara ya kupewa pesa ili kuzomea ni tabia mbaya kwa viongozi wa chadema wanaofanya mchezo huo, kwanza wanawapa viroba, bangi na posho kidogo. kuzomea si dawa ya kupata utakacho, na kama hawa ccm wangekuwa pia na tabia za kipumbavu kama za hicho chama chenu wala kisingekuwa kimefikia hapa, ambapo nyie ss mnazomea. Lakini mjue kwamba tunahitaji rais wa watz wote pamoja na wazomeaji hao.

Naamin Mungu ni mwema, hawezi kutupatia viongozi wa kuzomeazomea wenzao.

acheni unafiki mnajifanya wastarabu kumbe hakuna lolote, acha mzomee kama wahuni nyie ndo mmewasababishia, mmewaahid maisha bora hawajayapata mnategemea kushangiliwa au kuzomewa?
 
uzi mpaka ss hvi una page 8 sawa na wachangiaji 160 ndani ya lisaa li moja! Kweli ujumbe wa picha una nguvu kubwa sana!

Nimepewa taarifa yule jamaa wa ccm anayetoa humu JF kuwa uzi ufutwe au usifutwe yuko kwenye kikao!
 
ccm hawana budi kujilaumu wao wenyewe kwenye haya yote yanayowakuta ..... wameshindwa kuwa creative katika campaigns ..... wanachofanya kwa kutumia nguvu nyingi ni counter-campaigns dhidi ya mpinzani wao Mh. Edward Lowassa pasipo kujua kwamba Lowassa plays and has unique features ..... Lowassais a stalwart of true politics and a very passionate leader ..... the great mastermind of wind of change

Vote for Lowassa ..... discover divine changes
 
Kura za wavuta bangi hazihesabiwi? You can't be serious.

Ndo maana chadema kimekuwa kama chama cha wavuta bangi, kwani kuzomea ni maadili ya kibangibangi kama itikadi yako haiendani na Makufuli fanya mambo yako, biashara ya kupewa pesa ili kuzomea ni tabia mbaya kwa viongozi wa chadema wanaofanya mchezo huo, kwanza wanawapa viroba, bangi na posho kidogo. kuzomea si dawa ya kupata utakacho, na kama hawa ccm wangekuwa pia na tabia za kipumbavu kama za hicho chama chenu wala kisingekuwa kimefikia hapa, ambapo nyie ss mnazomea. Lakini mjue kwamba tunahitaji rais wa watz wote pamoja na wazomeaji hao.

Naamin Mungu ni mwema, hawezi kutupatia viongozi wa kuzomeazomea wenzao.
 
Huyo jamaa hawezi ku-reason mkuu. Anaona bangi ndo major offence,unpardonable sin.
Hii nchi kama ingekuwa na watu makini kama wewe tungekuwa tunaishi kama WAKANADA leo hii. Bahati mbaya sana wewe na mimi si watu makini. "Yesu alipowasikia, akawaambia, "Watu wenye afya hawahitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa. Sikuja kuwaita watu wema, ila wenye dhambi." LABDA MFANO HUU UNAWEZA KUKUSAIDIA KIMAWAZO"
 
Hao wahuni walioandaliwa wala kupiga kura hawatakwenda,as mwenyekiti wenu kasema kuna mkesha jumamosi wataishia kunywa viroba na jpili hawataweza kwenda vituoni,

Sasa Vicky.. Kama leo imewezekana kuwaandaa hao vijana na wakaweza kuonyesha kutokukubalika na kumwaibisha magufuli kiasi hicho ..Kwanini Isiwezekane kuwaandaa na hiyo tarehe 25 jumapili ili wampigie kura Lowassa? Hawa vijana sio wa kuwadharau kwani wana impact kubwa sana na tutakuja kushuhudia hilo mimi na wewe. By the way.. Unakumbuka ahadi tuliyo wekeana? Siku zimebaki 4 tu.
 
Bado mna ujinga huu wa kutegemea kutayarisha vi clips vya vijana wa chadema wakizomea mnadhani ndio vitawaokoa! kitengo cha IT cha mafisadi mnakula hela za bure za Lowasa mwambieni ukweli kuwa pamoja na maigizo mnayomuonyesha, urais hawezi kushinda na wananchi wengi wameshaamua kumpa Magufuli.

Pamoja na zomea hiyo bado mnasema wamekunywa viroba fisiem mmechokwa
 
Hii nchi kama ingekuwa na watu makini kama wewe tungekuwa tunaishi kama WAKANADA leo hii. Bahati mbaya sana wewe na mimi si watu makini. "Yesu alipowasikia, akawaambia, "Watu wenye afya hawahitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa. Sikuja kuwaita watu wema, ila wenye dhambi." LABDA MFANO HUU UNAWEZA KUKUSAIDIA KIMAWAZO"

Unasali kwa Gwajima??
 
✌✌✌✌👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌

Lowassaaaaaaaaaa.....!!!!
 
Back
Top Bottom