Hao ni wale wanywa viroba tu wanaozani siasa ni vita na mwisho wa siku huyo ndo rais wao. Badara ya kuwek masrahi ya taifa mbele na kuwakilisha matatizo yao..wamekalia viroba tu na kusahau kesh yao
umelisahau baba Lao MBEYA
Hii inazidi kumpa kura MAGUFULI
Aisee hapo ni wapi ?? Au kwa wapiga mbizi
Kuna Mtwara , Lindi hawa wamekwiva balaa.
Iringa na Njombe
Manyara
Sadam Wa Kuwait lazima azomewe mzee Wa kuongea na wagonjwa Wa ICU
Hao ni wale wanywa viroba tu wanaozani siasa ni vita na mwisho wa siku huyo ndo rais wao. Badara ya kuwek masrahi ya taifa mbele na kuwakilisha matatizo yao..wamekalia viroba tu na kusahau kesh yao
Ni aibu! Ni fedheha! Ama kweli CCM imekufa! Watu hawataki kusikia hata harufu yake. Shuhudia mwenyewe. Hii imetokea leo hapa Dar tena zikiwa zimebakia siku 3 tu CCM iondolewa na kuzikwa!
Bado mna ujinga huu wa kutegemea kutayarisha vi clips vya vijana wa chadema wakizomea mnadhani ndio vitawaokoa! kitengo cha IT cha mafisadi mnakula hela za bure za Lowasa mwambieni ukweli kuwa pamoja na maigizo mnayomuonyesha, urais hawezi kushinda na wananchi wengi wameshaamua kumpa Magufuli.
Ni aibu! Ni fedheha! Ama kweli CCM imekufa! Watu hawataki kusikia hata harufu yake. Shuhudia mwenyewe. Hii imetokea leo hapa Dar tena zikiwa zimebakia siku 3 tu CCM iondolewa na kuzikwa!