alikuwa akisumbuliwa na nini?
nauhakika kule Ruvuma muda huu ni msiba mzito,
aliisaidia sana timu ya Majimaji.
Tuko nao pamoja kwenye msiba huu mzito,
Kazi ya Mungu haina makosa.
Tulikupenda ila Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi.
Bujibuji, you are very right, huu ni msiba mzito sana kule Ruvuma, hususani mji mzito wa songea na vitongoji vyake ambako aliwahi kuwa mbunge kwa miaka mingi.
Sio kwamba aliisaidia tu timu ya Majimaji, ila huyu ndio Mwanzilishi wa hii timu, na alihusika sana katika kuiimarisha pia akihamasisha ujenzi wa Uwanja a Majimaji na pia akileta wachezaji hodari kama vile Abdallah "King" Kibaden (Mputa), Madaraka Seleman (Mada), Peter Tino, Mhando Mdeve, Octavian Mrope, Celestine "Sikinde" Mbunga na wengineo, bila Kumsahau Kocha maarufu toka Bulgaria Marehemu Samsarov.Ni katika enzi za uongozi wake Ruvuma ilipoweka mkazo sana katika kilimo hasa cha Mahindi ambacho ni zao kuu hadi leo na ujenzi wa nyimba bora. This is surely a big loss to them.
RIP LMG.Amen