Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

Kwa mashabiki wa viongozi au niwaite vibaraka hiyo makala hawawezi kuielewa hata kidogo, wamejaa Upofu. Ila kwa mashabiki wa CHAMA imetukuna hasa. Na mimi niongeze hapo juu, hauhitaji ushabiki wa chama tu ili kuielewa makala kama hiyo hapo juu, unahitaji pia ushabiki wa NCHI YAKO. Cdm mmewa dissapoint watu wengi sana kwa hicho kinachoendelea kwenu. Mwenye macho haambiwi tazama
 
Mwalimu Kitila
Pole yaliyokukuta, ila naamini ulichelewa sana kutambua hilo. Kwa kweli kama umelitambua leo ama baada ya kukubwa na dhahama basi, siku nyingine ningekushauri utafute njia mbadala ambayo itakupa uwezo wa kuyabaini na kuyafanyia projection jinsi mambo yatakavyokua baadae. Kule kwetu, wavuvi kabla ya kuingia ktk mitumbwi na mashua yao hutimua kajivumbi fulani na kuweza kubashiri kwa hakika kabisa kwamba mda fulani upepo utakua wa kasi gani na utakuwa unavuma kutoka upande fulani kuelekea upande fulani, sasa swali kwanini tusijifunze busara za wavuvi hawa?. Lakini, bado nina uwalakini ya kwamba je ni kweli hasa tatizo umelibaini?

Mie naamini ni kweli tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA, lakini huo mbadala huo unaongelea unatakiwa uwa na attributes za namna zipi? Je ni mbadala wa kubadili jina la chama, ama mbadala wa kuandika katiba ktk makatasi ya chama kipya? Mbadala wa namna hii mie kwa muono wangu sio mwarabani.

Huko nyuma, niliwahi kukubishia kwamba tatizo lilopo sio CCM na wala mwarobaini wake sio CHADEMA, kwa namna fulani uliniita "MNAFIKI", nilikaa kimya nikasema mwalimu mzuri ni kumpa mda, mwalimu Kitila.

Mwalimu Kitila, kosa wapinzani wanalofanya na wewe naona unaelekea kulifanya ni lilelile la kuaminisha watu kwamba tatizo la Tanzania ni kwa sababu ya entity ambayo hai-exists kama vile:CHADEMA, CCM,CUF nk.

Mwl Kitila, ngoja nirudie tena kujaribu kurudia muono wangu, wenda leo kwa vile upo huru kama mie hapa, unaweza japo kuangalia huu muono ktk jicho tofauti. Na nasem kuwa tatizo la Tanzania linasababishwa na linaendelezwa na ile existing entity, hii existsing entity ni watanzania wenyewe . Tatizo lilomo na linasobabisha matatizo ktk Tanzania ni watazania wenyewe na tatizo sugu ilikiwa limejikita ktk ile dhana ya mindset ya mtanzania.

Mwl Kitila, unaweza tengeneza chama kipya mbadala chenye jina zuri na katiba ktk makaratasi nzuri sana na hiyo katiba ikawa nzuri sana kupita zote duniani, lakini kama wanachama na viongozi wake watakuwa ndo sisi hawa watanzania hawa hawa kwa mindset hii iliyopo hii hii, basi tegemea maumivu tu. Kwani nini kitachowafanya wasisahau kuchapa baadhi ya vipengele kwenye katiba yako nzuri?
Ngonja, niishie hapa kwa kuvipumzisha vidole, lakini nachelea kuamini kwamba wenda chanzo cha tatizo haswa hujapata kukiona, ila nafurahi kuwa umelishuhudia kwa maandiko yako ya kwamba vyama hivi vilivyopo na wanachama wake hawa hawana msaada wowote kwa mtanzania mnyongeu. Hivyo, ukombozi wa kweli bado sana kuwaidia. Maana, hata CCM kesho wakianguka sioni tofauti ya mpokea kijiti atachofanya cha ziada.
 
kitila mkumbo!!!, mtu ambaye nilikuheshimu na kukuamini sana, umenishangaza na ninakuomba uache kupotosha umma!!
Ninajiuliza, wewe si ni dr, kwa maana una phd!!!??, inakuwaje unarubuniwa kirahisi na mtu kama zitto!?

Dr. Kitila, ninaomba uuambie umma, hivi kuwarubuni wadiwani wa chadema arusha na kuwafanya wagomee maamuzi halali ya chama hatimae wakafukuzwa na mahakamani wakashindwa kesi, ndio njia halali za kutaka uongozi ndani ya chama?

Hivi kutembea majukwaani ukitukana chama na viongozi wakuu wa chama ndio demokrasia?

Swahiba wako uliekuwa unampigania bwana zitto, alikuambia kuwa kuhujumu chama kwa kuengua wagombea wa chama chake ili ccm ipite bila kupingwa ndio demokrasia muliokuwa mukiihitaji ndani ya chadema?

Kwenda kinyume na maazimio ya kambi rasmi ya upinzani kama vile;

1)kususia hotuba ya kikwete,
2)kutoshiriki na wenzie kwenye tukio la bomu mkutano wa chadema arusha,
3)kutotimiza majukumu ya naibu katibu mkuu na kutofika makuu makuu ya chama kwa zaidi ya mwaka, ndio unachohalalisha kuwa ni mbinu za ushindi?

Kitila, watanzania sio wajinga, ni bora tu ukakaa kimya kuliko kuendelea kujivunjia hiyo heshima kidogo uliyobakiza.

kamanda umeandika ukweli hadi nimetetemeka !
 
we mjinga soma kwanza makala yote ndio ucomment!! Nyie ndo wale wale mnaoifanya cdm kionekane ni chama cha vilaza

Naomba wewe uliyeilewa utufanunulie. Hayamkini na wewe ndio wafuasi wa hawa waandika matusi, tangia kwenye waraka mlishindwa kujenga hoja mkabakia na personal attacks tumewazoe. Jikite kwenye mada, chambua maandishi ya Dr wa waraka, toa mchango wako.
 
Kwa mashabiki wa viongozi au niwaite vibaraka hiyo makala hawawezi kuielewa hata kidogo, wamejaa Upofu. Ila kwa mashabiki wa CHAMA imetukuna hasa. Na mimi niongeze hapo juu, hauhitaji ushabiki wa chama tu ili kuielewa makala kama hiyo hapo juu, unahitaji pia ushabiki wa NCHI YAKO. Cdm mmewa dissapoint watu wengi sana kwa hicho kinachoendelea kwenu. Mwenye macho haambiwi tazama

JE UNAFAHAMU KWAMBA KITILA NA WENZAKE WALILIPWA ILI KUUPINDUA UONGOZI wa cdm ? NA KWAMBA WARAKA WA MABADILIKO UMEJAA MATUSI KWA VIONGOZI WAKUU WA CHAMA ? UNAFIKIRI NI KWANINI WANAUNGWA MKONO SANA NA CHAMA CHAKAVU CCM ? TAFAKARI KABLA YA KUAMUA KUWAUNGA MKONO !
 
Je katika utamaduni wa chama kimoja si ndio KUNA UTAMADUNI KAMA HUO MLIO TAKA ANZISHA WA KUJENGA MITANDAO? AND DR. DO U THINK THAT THE TIME WAS PROPER FOR YOU GUYS TO DO WHAT YOU HAVE DONE ? WE ALL KNOW THAT, MTANDAO HULETA MGAWANYIKO JE WAS THAT YOUR FINAL AIM OF DOING ALL THIS AND HOW CAN WE KNOW THAT YOU HAD A GOOD AIM? SORRY SOME HOW YOU HAVE BROUGHT THE CHAOS THAT NONE THOUGHT THAT IT COULD BE FROM YOU GUYS WE TRUSTED.
 
mm naona wote mlio COMENT hapa mnaliwa! lkn msiniulize mnaliwa na nami au na nini. siku ikija hoja kama hii au inayofanania pamoja na wachangiaji kama humu ndani nitawaambia 7bu.
 
Dr Mkumbo nitaendelea kukuambia kuwa Unadhalilisha jamii ya wasomi, rudia na u some tena andiko lako uone ujinga wako unavyokudhibitisha kuwe KUSOMA NI KALAMU na SI AKILI.
 
Tatizo mwenzangu hapa umeegemea kwenye facts ambazo hutaki kuziacha! nimeishakwambia kuwa siasa ni dynamic! Leo unaweza shirikiana na shetan kesho ukashirikiana na malaika! Hata Zitto mwenyewe unayemtolea mfano before aliwahi kushirikiana na hao wahafidhina katika kumuangamiza kisiasa Chacha Wangwe but leo Zitto hayupo pamoja nao!

huyo siyo MWENZAKO mkuu , ni kikongwe anayekaribia miaka 60 !
 
Hivi kwa nini you people mnapenda kumezeshwa maneno na nyinyi mnayapokea mazima mazima!? mnashindwa hata kuhoji ndani ya nafsi zenu kimya kimya? Kinachotokea cdm ni makosa ya pande zote mbili, Zitto na Mbowe wote wanamakosa na inabidi wajichunguze upya waangalie walipoangukia! Kila binadamu ana haki ya kukosea na kujirekebisha
JE UNAFAHAMU KWAMBA KITILA NA WENZAKE WALILIPWA ILI KUUPINDUA UONGOZI wa cdm ? NA KWAMBA WARAKA WA MABADILIKO UMEJAA MATUSI KWA VIONGOZI WAKUU WA CHAMA ? UNAFIKIRI NI KWANINI WANAUNGWA MKONO SANA NA CHAMA CHAKAVU CCM ? TAFAKARI KABLA YA KUAMUA KUWAUNGA MKONO !
 
Tumeikataa CCM kwasababu inakumbatia makosa kwa kuogopa watu eti watayumbisha nchi. Lazima tujifunze kutoa adhabu na kupokea adhabu lazima tuanze na ZZK ili kutengeneza std zinazokubalika. NCCR haikuwa taasisi ilikuwa ni viongozi wenye uchu mkubwa sana wa madaraka na fedha, usalama wa taifa nk. Mazingira yamebadilika sana hatuwezi kuacha kuadhibiana kwa kuogopa kivuli cha NCCR. Dr ingebidi kwanza useme wazi je kwenye sakata lenu kwa vyovyote vile mlivunja katiba ya chama na kama mlivunja adhabu yake ilikuwa nini kwa mujibu wa katiba?

Lazima tuzifuate sheria zetu tulizokubaliana nazo. Sioni upofu wa wanachama ila naona tamaa ya tuliowaamini.


Nakushauri nawe uwapime viongozi wako wapo salama?
 
Hivi kwa nini you people mnapenda kumezeshwa maneno na nyinyi mnayapokea mazima mazima!? mnashindwa hata kuhoji ndani ya nafsi zenu kimya kimya? Kinachotokea cdm ni makosa ya pande zote mbili, Zitto na Mbowe wote wanamakosa na inabidi wajichunguze upya waangalie walipoangukia! Kila binadamu ana haki ya kukosea na kujirekebisha

Nani kakudanganya!!!!? Huyo mchawi aliyeenda Nigeria na huyo Dr. Feki nani asiyejua walipewa pesa chafu kuiua CDM...?

Tumia akili kufikiri.
 
Mkumbo usidanganyike,Zitto akifukuzwa uanachama Chadema haitayumba hata kama wafuasi wa Zitto wataondoka.Biblia inasema "Nitampiga mchungaji kondoo watatawanyika" Zitto siyo mchungaji wa Chadema.NCCR ilitawanyika kwa sababu alipigwa mchungaji.Ni makosa makubwa kumlinganisha mrema na Zitto kwa sababu nafasi zao katika vyama vyao zilitofautiana sana.Kama mikakati yenu ilikuwa sahihi,kwa nini ilikuwa ya siri sana huku mkiwachafua viongozi? Zitto alipewa hela kudhoofisha Chadema na hilo liko wazi.Msidanganye watu.Inashangaza msomi kama wewe unajiunga kwenye kundi la wasaliti.Elimu yako inakusaidia nini? Mbona kina Juliana Shonza,Kafulila,Mtela Mwampamba,Mchange na wengineo walioasisiwa na Zitto hukuwatetea walipofukuzwa Chadema? Mbona siku ile mlipoandaa press conference na Zitto mlipovuliwa uongozi,akina Mwampamba,Mchange ndiyo waliandaa sehemu yenu ya mkutano hukusema chochote ilihali ukijua ni wanachama wa ccm?

mkuu achana nao hao wachumia tumbo.
 
Dr.Kitila Mkumbo, ZITO alishaamua kuwa RAIS wa Tanzania mwaka 2015 tangia wakati wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2010 aliyasema hayo maneno mbele ya kamera za TBC
Je alipitishwa na kikao gani cha chama chake? au aliji teuwa mwenyewe?
Je kama Zito alikuwa naibu katibu mkuu wa chama kwanini hajifika kwenye ofisi zake za chama kwa takribani mwaka mmoja sasa?
Je ni kwanini Zito anapenda kutumia Facebook, tweeter kuwasiliana na katibu mkuu pamoja na viongozi wengine wa chama?
Je ni kwanini Zito hajawahi kukanusha habari ile ya ----------- ya mwaka 2011 iliyoonyesha mawasiliano ya Zito na Zoka wa TISS? Hiyo sio dalili ya kuwa habari ni ya kweli na alikuwa anazungumza nini na Zoka bila kutoa taarifa kwenye ofisi za chama?

Dr-Kitila na Zito mlikuwa na agenda zenu tusizo zijuwa na kwasasa ni kama taa imewaka ghafla wakati chupi ipo magotini, mmeshindwa kujuwa sasa mfanyeje either mvue au mvae.

Jifunzeni kutoka kwa Salim Ahmed Salim, John Malecela nk. baba wa taifa aliposhindwa kuungwa mkono na wazo lake la kumpitisha Salim kuwa Rais wa Tz kwenye kikao cha halmashuri kuu hakurudisha kadi wala kuwaponda viongozi wenzake bali alikubali na akampigia kampeni Ali Hasan Mwinyi

ZITO AKIONDOKA ATAONDOKA NA DR.MKUMBO, MWIGAMBA NA WAFUASI WAKE WENGINE NA WANACHAMA WA CHADEMA WATABAKI
 
...Unamjua vizuri Kitila Mkumbo ww au umemfahamia CDM???

Kwani huyo Kitila ni nani....Msomi mzima kakubali kupelekwa kaa msukule na mchawi aliyeenda Nigeria...Ona sasa anatapatapa kama mwehu.. Hana reputation yoyote kwasasa....Amejiua mwenyewe....
 
Back
Top Bottom