Mtauana bure vichwa vibovu wote. Mwenyekiti Freeman Aikael Mbowe wakati akitokea mkoani mbeya alipitapita mikoa ya ruvuma na iringa akasema" natarajia kuachia nafasi ya uenyekiti ili mtanzania mwingine mwenye uwezo wa kuongoza chama (CDM) agombee. Na ningependa sana mtu huyo asitoke ukanda wa kaskazini ili kuwatoa shaka wale wenye dhana ya kwamba CDM ni chama cha kichaga" mwisho wa kunukuu.
Mtoa mada alimaanisha aliyosema Mbowe. Na kwa kiingereza neno presidency au president sio lazima akawa kiongozi anayeongoza state au dola. ni kiongozi yeyote mwenye mamlaka, hata chairman anaweza akaitwa president kama akina madega wa yanga, papa msofe, marehemu abasi gulamali wa yanga na wengine kibao. maliyaga wa sinza.
mwisho, wana CDM fatilieni matamshi na hotuba wanazotoa viongozi wenu ili msitoane macho kwa ujuha. Mkianza kutafuta nani amrithi nani mtakuwa kama magamba mtakwisha. hamna uzoefu wa kuvumuliana nyie mna jazba nyingi mtashikiana mapanga. Chonde sitaki tusi.
Wakuu,huwa nawafuatilia sana hawa watu kwenye mijadala yao.Lakini naona hii dhana ya U-Dr.inasumbua sana watu mpaka wanadhani wenye-Dr ndio watu pekee nchi hii.Kwa maoni yangu,nafahamu Dr.Kitila anajihusisha sana na Masuala ya CDM,Il aUkweli kabisa,Kwa kujieleza kwa Ufasaha,Kujenga Hoja makini,I swear,Anaweza kuwa Kazidiwa sana na Bashiru Ally,naye ni mhadhili palepale mlimani.Ili tusibishane kila mmoja ajipe mwezi kuwa scan hawa wawili aje na majibu hapa,Bashiru Ally ni zaidi ya Kitila Mkumbo.Na siku moja nilimsikia Bashiru akichangia mjadala wa uchumi na mawazo ya Mwl.Nyerere akaonyesha wapi alikosea na wapi aliisaidia nchi kiasi kwamba Nilihisi ataitwa Magogono akajieleze.Ujumbe:Huyu mmempa promo ya Kinafiki sana kama vile mmetumwa,si kila mwenye Dr. anaweza kuongoza nchi wakuu.
Ninamfahamu sana tu
Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining
remember rais haandaliwi kama instant coffee!!!
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.
Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.
Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
Inawezekana humfahamu ndio maana unasema hivyo
Kitila mkumbo ni masalia ya Zitto tuyapukutishe hayafai kama kweli tunaipenda hii nchi..HAFAI
kwa mie navywafaham vijana wa Chuo.. Mhazili yeyote akishawapeteshea sap.. zao wanamwita Rais.. enewei napita tu..
Kitila Mkumbo ni hazina lakini aandaliwe kwa mwaka 2025.Kwa sasa Dr Slaa hana mpinzani ndani ya chama.
CDM wangemweka mtu mwingine huyu Slaa kabla ya siasa alikua padri wa kanisa na hili ni kosa kwenye nchi yenye waislamu zaidi ya 50%, Lindi,Mtwara, Pwani, Tanga, Kigoma, Tabora, Morogoro Pemba na Znz hatopata kura zaidi ya mgombea wa CCM hadi hapo amejitoa kwenye mikoa 9 bila hata ya kupiga kura na CCM wana silaha yao nyingine; Dr Lipumba. huyu atabeba zile kura hasi za waislamu kwa CCM
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.
Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.
Whats wrong with Dr. Slaa compered to Mkumbo? May be awe the next after Dr. Slaa presidency in 15 to 20. Jambo linalotia wasi wasi inawezekana wewe umetumwa ili kutuaminisha wapenda nchi kukombolewa tutoke katika hoja ya mkombozi aliyebakia CHADEMA.
kwa hali ilivyo sasas ili kujikomboa toka kwenye haka kakundi ka WEZI na MATAPELI walioishikilia serikali na uchumi wetu. Nadhani sasa tunahitaji kitu chochote kiwe IKILU ata ka si binadamu tunaweza kiondoa tukitaka.
CDM wangemweka mtu mwingine huyu Slaa kabla ya siasa alikua padri wa kanisa na hili ni kosa kwenye nchi yenye waislamu zaidi ya 50%, Lindi,Mtwara, Pwani, Tanga, Kigoma, Tabora, Morogoro Pemba na Znz hatopata kura zaidi ya mgombea wa CCM hadi hapo amejitoa kwenye mikoa 9 bila hata ya kupiga kura na CCM wana silaha yao nyingine; Dr Lipumba. huyu atabeba zile kura hasi za waislamu kwa CCM
Hapo kwenye red. Twambie matatizo ya yanayotokana au yatakayotokana na upadri wa Dr. Slaa ikulu. Pia unaweza kuthibitisha kwa tafiti zipi kuwa nchi hii ina waislam 50% Je, waislam ni maadui wa mapadri tu au na wachungaji na maaskofu wa dini nyingine? Kwahiyo tuseme mbowe alipogombea alishinda kwakuwa yeye si padri?
Hizi pumba ni za CCM.
Kuna kitu kitatusababishia majeraha makubwa sana.Mosi, hivi ni kweli kila mhadhili?? wa chuo kukuu ni mwanachama mzalendo wa CHADEMA? uongozi wa sasa wa chama ngazi ya taifa ina vwajumbe hawa: m/kiti-mbowe,makamu/m/kiti-mzee arfi, katibu dr wa ukweli slaa(WPS) naibu k/mkuu ZKZ (MJANJA) sasa upande wa visiwani mbona hatuzungumzii kupata safu ijayo/ .pili nani kawaambia kuwa mzee arfi hataki kuwa chairman? hatuoni kuwa kama binadamu ataona tunamtafutia sanda kabla hajafa?mwanzo wa makundi yasiyokwisha. tunapoanza kupanga safu nzito kama hivi maana yake ni kuwa chama kinaendeshwa kihuni. kuna ombwe la urithi katika uongozi kitu ambacho kiutaalamu ni makosa sana. CDM sio TFF wala BFT,wala TIA. ni chama makini huu uporojo hauna nafasi kwa sasa.Namaliza kwa kusema UJANJA MWINGI MWISHO KIZA NA NGUCHIRO WENGI HAWACHIMBI SHIMO. PIA MIRUZI MINGI PORINI HUMPOTEZA MBWA.Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.
Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.
Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
Tuna tatizo kubwa sana.Kuna mtu alisema viongozi tulio nao Tanzania ni reflection ya sisi wananchi,sioni kama alikosea sana! Why are we so allergic to New Changes?
Demokrasia inatoa mwanya kwa mwanachama yeyote kugombea nafasi ya juu ya uongozi.Lakini mara nyingi katika uwanja wa siasa Demokrasia hii ya kimagharaibi inazua utata,na labda tuje tu we na mjadala separate kuhusu hili kwa sababu demokrasia katika real sense ya 'The government of people by the people and for the people' haijawahi kutekelezwa katika ukamilifu wake ili ilete au ijenge aura ya Utakatifu wa mamlaka ya kisiasa
Tukiogopa kuruhusu demokrasia kufuata mkondo wake tutakuwa tunashangaza mno,lakini bado pia hata ambao hawatashangaa hawatastahili kulaumiwa kwa sababu hii dhana ya Democracy ni ambiguous na utekelezaji wake ni kama maji na mkondo wake(Hapa kunahitaji Debate).Turuhusu tu uwanja mpana wa Demokrasia uchukue mkondo wake,kama kuna Mwanasiasa anayetiliwa mashaka katika harakati za kugombea uongozi wa chama cha siasa basi ni jukumu lake kuwaaminisha wanachama wa chama husika waamini kinyume.Pia ni jukumu la mamlaka katika vyama vya siasa kuhakikisha Democracy prevails
If a new vision is not allowed to take over our political space, 50 years za uhuru and less of our democracy pose the challenge of what can be an endless rite of passage.
I feel a great sense of optimism in spite of the obstacles. That is the power of youth. Chadema as a serious Opposition party has had its great and low moments, but that is true of all Vibrant opposition camps in Africa and in the world. The energy to draw from those great moments will be embedded in our youth, it will be demonstrated in the feat we accomplish when we do great deeds and score remarkable goals in Tanzania and Beyond Borders.Chama serious cha siasa ni lazima pia kilenge on Grand intergration beyond Borders.ANC wanafanya hivyo,NDC Ghana wanafanya hivyo,NRM Uganda,PDP Nigeria wanafanya hivyo.Unapopigania Uhuru wa pili,Economic Freedom ambayo itakuwa ni struggle ya vyama vya siasa vya Africa ni lazima pia ujenge legacy kama ya vyama vilivyopigania uhuru wa kwanza kama TANU,KANU,SWAPO,ANC,ZANU-PF,FRELIMO,RENAMO etc
Forming the party is one thing grounding and grooming the required people to remain within the created structure and policy is another. Especially in a country of ours where trust between the governor and the governed is non-existent.
Cha msingi kinachohitajika ni umakini wa wanachama na umakini wa mgombea mwenyewe katika kumfanyia assesment the aspiring leader.Dr.Kitila(Sijawahi ku-doubt uwezo wake) au Mtu mwingine yeyote Mwaminifu kwa chama na Taifa,mzalendo wa Kweli asiyetia shaka kama ataamua kugombea basi aachwe Demokrasia ichukue mkondo wake