ANKOJEI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 995
- 749
Wale ambao mlikuwepo chuo miaka ya 99, niambieni. Kulikuwa na deal ya kugoma vyou vikuu vyote kugomea and kuandamana kwa sababu ya serikali ya wakati huo kuanzisha mjadala wa kuchangia gharama za elimu ya juu tanzania. siku ya kikao inasemekana agenda jamaa aliiruka. then wakereketwa wakaiibua. jamaa walifanya njama mpaka ikapigwa chini. Katika uongozi wake haukuwahi kutokea mgomo pale chuo kikuu. hiyo siyo mbaya, bali mbya ni kwamba alikuwa side moja na magamba(uongozi) ndio walimpa mbinu za kuzima chochote under ground. even those days he was suspected to be among the Usalama wa Taifa. infact the man is good but i doubt these poting are among his (himself/mtandao) tricks to pave the way ahead. na gpa yake sijui wadau kuna habari mbaya mbya jinsi alivoipata. Nyerere alisema kuna watu wengi tu Tanzania wanaweza kuwa marais wazuri na si lazima wawe tunao wafahamu. I believe there are 100 more elsewhere we dont know them.