Tuna tatizo kubwa sana.Kuna mtu alisema viongozi tulio nao Tanzania ni reflection ya sisi wananchi,sioni kama alikosea sana! Why are we so allergic to New Changes?
Demokrasia inatoa mwanya kwa mwanachama yeyote kugombea nafasi ya juu ya uongozi.Lakini mara nyingi katika uwanja wa siasa Demokrasia hii ya kimagharaibi inazua utata,na labda tuje tu we na mjadala separate kuhusu hili kwa sababu demokrasia katika real sense ya 'The government of people by the people and for the people' haijawahi kutekelezwa katika ukamilifu wake ili ilete au ijenge aura ya Utakatifu wa mamlaka ya kisiasa
Tukiogopa kuruhusu demokrasia kufuata mkondo wake tutakuwa tunashangaza mno,lakini bado pia hata ambao hawatashangaa hawatastahili kulaumiwa kwa sababu hii dhana ya Democracy ni ambiguous na utekelezaji wake ni kama maji na mkondo wake(Hapa kunahitaji Debate).Turuhusu tu uwanja mpana wa Demokrasia uchukue mkondo wake,kama kuna Mwanasiasa anayetiliwa mashaka katika harakati za kugombea uongozi wa chama cha siasa basi ni jukumu lake kuwaaminisha wanachama wa chama husika waamini kinyume.Pia ni jukumu la mamlaka katika vyama vya siasa kuhakikisha Democracy prevails
If a new vision is not allowed to take over our political space, 50 years za uhuru and less of our democracy pose the challenge of what can be an endless rite of passage.
I feel a great sense of optimism in spite of the obstacles. That is the power of youth. Chadema as a serious Opposition party has had its great and low moments, but that is true of all Vibrant opposition camps in Africa and in the world. The energy to draw from those great moments will be embedded in our youth, it will be demonstrated in the feat we accomplish when we do great deeds and score remarkable goals in Tanzania and Beyond Borders.Chama serious cha siasa ni lazima pia kilenge on Grand intergration beyond Borders.ANC wanafanya hivyo,NDC Ghana wanafanya hivyo,NRM Uganda,PDP Nigeria wanafanya hivyo.Unapopigania Uhuru wa pili,Economic Freedom ambayo itakuwa ni struggle ya vyama vya siasa vya Africa ni lazima pia ujenge legacy kama ya vyama vilivyopigania uhuru wa kwanza kama TANU,KANU,SWAPO,ANC,ZANU-PF,FRELIMO,RENAMO etc
Forming the party is one thing grounding and grooming the required people to remain within the created structure and policy is another. Especially in a country of ours where trust between the governor and the governed is non-existent.
Cha msingi kinachohitajika ni umakini wa wanachama na umakini wa mgombea mwenyewe katika kumfanyia assesment the aspiring leader.Dr.Kitila(Sijawahi ku-doubt uwezo wake) au Mtu mwingine yeyote Mwaminifu kwa chama na Taifa,mzalendo wa Kweli asiyetia shaka kama ataamua kugombea basi aachwe Demokrasia ichukue mkondo wake