Dr Kitila Mkumbo for CHADEMA Presidency!

Dr Kitila Mkumbo for CHADEMA Presidency!

I think Dr. Slaa has bigger and better chance to lead this country than anybody in Chadema.
 
Lol..omr..
Huyo kitila hata hajawahi kuwa balozi wa nyumba kumi.
Alikuwa Rais wa Daruso, so ana uzoefu wa kuongoza organization korofi, hawezi kushindwa kuongoza nchi ya mambumbu kama Tanzania.
 
Nakiri kukosea kutumia neno president badala ya chairperson. Hata hivyo nilisema kama Mbowe hatagombea, ungeelewa tu kuwa Mbowe ni Chairman si mgombea urais. Swala la Kaskazini ni political strategy tu, ili kufuta dhana kuwa chadema ni chama cha kaskazini Chairman atoke maeneo mengine ya nchi
 
waislamu ni wengi kuliko wakristo Tz ila hili ni suala la kiusalama ndiyo maana wanasema ni dini zote zinauwiano sawa kukiwa na madhehebu mengine madogo dogo. national security matters hizi. Padri ana tofauti kubwa na muhumini wa kawaida wa kikristo-huyu amepitia mafunzo na alitumikia kanisa kama kazi siyo tu imani ilikua ni kazi na fikra zake na matendo yake yanaweza kuathiriwa na hilo. siyo kwamba nampinga Dr Slaa, namkubali sana kisiasa sema na wala mimi siyo mtu wa udini, ila lazoima tuelewe mazingira ya kisiasa ya sasa hivi yalivyo na demography zake. kumbuka siasa ni mahesabu yasiyo na kanuni

takwimu zako feki. Kanda ya ziwa karibu wote wakristo. Kaskazini pia. Nyanda za juu kusini. Waislam wako pwani na kanda ya kati tu wewe!
 
Maoni ya wanasiasa hayo..haya..

Wengine sisi huangalia chama mbadala bora kuliko CCM... Kwa sasa ni CDM... Ila mambo ya aina hii yanahitaji uangalifu mkubwa... Vinginevyo,huweza kuzua makundi na hasa itakapofikia 2015...
Mtu atajinadi,kuwa tangu 2012 alikuwa anashawishiwa na wanachama na wapenzi wa CDM... Akiulizwa ushahidi,mitandao ya kijamii... Hasa JF!
 
Tatizo lake ni njaa kali na mroho wa madaraka ni muongo kupindukia pia ni mnafiki kama wanasiasa wengine. Wasomi kama huyu ni pasua kichwa.
 
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.

Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.

Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?

Jamaa yangu sijui unajisikiaje leo kuhusiana na uzi huu!
 
Back
Top Bottom