Dr Kitila Mkumbo for CHADEMA Presidency!

Ninamfahamu sana tu

Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining

remember rais haandaliwi kama instant coffee!!!

if m.k.w.e.r.e he is a president... Hope every body can handle dat Positn...
 
Ninamfahamu sana tu

Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining

remember rais haandaliwi kama instant coffee!!!
Kwani Nyerere aliandaliwaje na nani alimuandaa. Kwani hao walioandaliwa walileta nini katika nchi yetu zaidi ya ufisadi na wizi wa rasilimali za nchi. Kumbuka hakuna anaye zaliwa na uzoefu(experience) uzoefu hupatikana katika shughuri yenyewe na sio vinginevyo. Kinachotakiwa ni uadilifu na musimamo wa kweli.
 
Hata mimi nimeshakudharau sana kwa sababu wewe unaendekeza udini
Mkuu Topical, mpotezee mbangubangu huyo anayetaka sifa za kijinga humu,, yuko kwenye payroll huyo kutwa nzima jitu limo tu humu!! Mi nilishamtema kwa sababu kubishana na mjinga wote mnaonekana sawa. Mteme mkuu
 
Again-masaburi at work! Evening now!
 
Unataka kutuambia ukitoka mikoa ya kaskazini ni disqualification ya post ya Urais? I think there must be something wrong with you. You have to go to Mirembe for check up.
 
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.

Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.

Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?

Mara nyingi humu JF huwa tunasema ukimuona mwanaume anamsifia mwanaume mwenzake hivyo ujue kuna walakini , na mashaka na ulivyo !

Kitila mkumbo ni masalia ya Zitto tuyapukutishe hayafai kama kweli tunaipenda hii nchi..HAFAI
 
Back
Top Bottom