Dr Kitila Mkumbo for CHADEMA Presidency!

Dr Kitila Mkumbo for CHADEMA Presidency!

vjana wa cdm wanamkubali Dr Kitila kama mshauri wao na kama walivyo wanachadema wengine anauwezo mkubwa wa kujenga na kutetea hoja yake nashauri tu aende jimboni agombee ili Mungu akipenda serikali ijayo (2015) awe ktk baraza la mawaziri
Alisaidie taifa cdm bado kuna watu wengi wa kushika nyadhifa ndani ya chama Dr Kitila atumike level nyingine.
 
Ninamfahamu sana tu

Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining

remember rais haandaliwi kama instant coffee!!!

Hatuhitaji a Good manager but a Goodleader, si wa kuambiwa fanya moja mbili tatu bali wakutuonyesha njia tutoke hapa tulipo
 
watu wanafikiri urais ni kazi rahisi kama kula bisi. Ukihisi urais ni rahisi basi jaribu kuudisi ili ule fisi.
 
Tumuandae ubunge kwanza 2015 halafu baadae ndo tumpeleke kwenye ngazi nyingine ya juu zaidi, ni kamanda makini sana na ni hazina kubwa kwa cdm
 
Tumuandae ubunge kwanza 2015 halafu baadae ndo tumpeleke kwenye ngazi nyingine ya juu zaidi, ni kamanda makini sana na ni hazina kubwa kwa cdm
Hivi yule mgobea urais wa NCCR 2010 alikuwa mbunge wa wapi vile?
 
Sidhan Rais mzuri hawezi kutoka kaskazini au sehem yoyte ya nchi hii,au kutoka chama chcht cha siasa bt mtizamo,ufaham,uzoefu wa UONGOZI,dhamira ya dhati ya kuondoa umaskini miongoni mw wananchi na SERIKALI kwa ujumla pamoja na mambo mengine ndiyo YANATUPA KIASHIRIA CHA KIONGOZI BORA.
So tumchague mtu kutokana na uwezo na sifa alizo nazo si tu kwamba ametoka CHADEMA japo ni kweli CDM inajarib kuweka wagombea makini.

So kwa huyo KITILA hafahamiki siasa zake na mitazamo yake ni vema kama uongozi anauweza basi agombee nafasi nyngine za chini afahamike kwanza kwani kwa CDM ilipofikia ss ikiweka MGOMBEA ASYEFAMIKA VEMA KWA WNANCHI basi itakuwa imejishusha yenyewe kisiasa.BT most of ALL ONDOA UKANDA,UDINI nk kwny masuala ya UONGOZI na SIASA,kwa ulivyo WEWE HUFAI KUWA KIONGOZI WA NGAZI YOYOTE ILE:A S 465:
 
Hafahamiki hasa kwa wapiga kura wa kawaida,kama anataka lazima AJIDHIHIRISHE MAPEMA!
 
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.

Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.

Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?

Haya mawazo yamekaa kimagambamagamba.
 
Naadhan umepotoka na hyo posst yk, hatutachagua mtu kwasbb ya kabila lake, rangi yake, dini yake, bali kwa kuzngatia uwezo wa mtu kuiongoza nchi yetu,
 
Endeleeni kugombana hivyo hivyo..mi nawashauri Mr. Sugu agombee.
Kwanza siyo wa kaskazini.
Pili anafahamika sana na majority ya watanzania.
Tatu,,,,ongezea wewe
Nne ni kichwa maji kama wewe!
 
Sidhan Rais mzuri hawezi kutoka kaskazini au sehem yoyte ya nchi hii,au kutoka chama chcht cha siasa bt mtizamo,ufaham,uzoefu wa UONGOZI,dhamira ya dhati ya kuondoa umaskini miongoni mw wananchi na SERIKALI kwa ujumla pamoja na mambo mengine ndiyo YANATUPA KIASHIRIA CHA KIONGOZI BORA.
So tumchague mtu kutokana na uwezo na sifa alizo nazo si tu kwamba ametoka CHADEMA japo ni kweli CDM inajarib kuweka wagombea makini.

So kwa huyo KITILA hafahamiki siasa zake na mitazamo yake ni vema kama uongozi anauweza basi agombee nafasi nyngine za chini afahamike kwanza kwani kwa CDM ilipofikia ss ikiweka MGOMBEA ASYEFAMIKA VEMA KWA WNANCHI basi itakuwa imejishusha yenyewe kisiasa.BT most of ALL ONDOA UKANDA,UDINI nk kwny masuala ya UONGOZI na SIASA,kwa ulivyo WEWE HUFAI KUWA KIONGOZI WA NGAZI YOYOTE ILE:A S 465:

Mkuu,

Kama humfahamu mtu haimaanishi kwamba hafahamiki.....sijui umefanya utafiti gani kufikia hilo hitimisho kwamba hafahamiki.Nyerere alikuwa anafahamika na nani(katika context ya hoja yako) hadi akawa kiongozi mzuri wa TANU katika harakati za ukombozi(pseudo freedom)?

Hebu tupige kazi tuache mbwembwe.Watu tujenge/tuimarishe taasisi za kidemokrasia.
 
Ha ha ha,kumbe Mmegundua watu wa kaskazini ni hatari wakipewa nchi eeh! safi sana, tumpe sugu maana yeye ni Rais huko kwao alafu ametoa single mpya anawasifia wanawake kwa kutukana utupu wao! DUH Nchi hii ina viongozi makini sana.
 
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.

Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.

Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?

Hivi katiba ya JMT inasemaje kuhusu sifa za kugombea uraisi??? Je watanzania waliozaliwa mikoa ya kaskazini katiba haiwaruhusu kuwa maraisi wa JMT?? Wataalam wa katiba jamani nisaidieni naona kweli hili jambo sina ufahamu.
 
Kwa siasa za Tz itaigharimu Chadema sana kwenye kampeni zake, Dr Slaa still ana nafasi kuliko mtu mwingine yeyote ndani ya chadema kwa sasa.

Kinachohitajika kwa sasa ni kubadili mbinu tu za kampeni na kutumia weaknesses za JMK, tunazoziona sasa kumliza huyo atakaekuja nyuma yake. Na jinsi wanavyojichanganya kwa ulafi wao wa urais yaani itakuwa rahisi sana kuwamaliza.

Tumuunge Mkono Dr wa ukweli na tuanze kumpigia chapuo kwa wananchi.
 
Endeleeni kugombana hivyo hivyo..mi nawashauri Mr. Sugu agombee.
Kwanza siyo wa kaskazini.
Pili anafahamika sana na majority ya watanzania.
Tatu,,,,ongezea wewe
Rejao, najua unatAnia. Ila nakuomba tu kukuonya kwamba usidhani Sugu akisimama kwa CHADEMA basi ni mteremko. Sugu akichukua form ya Uraisi hata Dk Slaa haoni ndani. Hii ni kwasababu watu hupenda mtu anayeweza kuonekana mwenzao ili achaguliwe. Kama huamini rejea Rajoelina huko Madagascar, au fuatilia kwanini wanAmuziki huwekewa vikwazo wanapojaribu kuwania nafasi za kisiasa mfano Haiti na nchi moja ya Afrika Magharibi
 
si sugu tu, hata juma nature akisimama hata Dr.slaa haoni ndani,
wakati mwingine ni bora kuwa na rais chizi ili anyooshe maisha ya mtanzania yawe bora kuliko kuwa na rais mtanashati anayeuza sura nakupenda kutukuzwa kila mahali.
 
Back
Top Bottom