Mheshimiwa Mwl Steve
Senior Member
- Nov 3, 2012
- 139
- 40
kitila hapo kweli alikosa busara na alihuliza swali kama sifa flani hivi aonekane nae kahuliza swali ,pia hakukuwa na haja ya yeye kumtaja mtoto wa mbeki kwani ni masuala ya kifamilia...hekiama hana akili finyu huo udokta kapewa kwa njia za panya yaelekea....mgeni akija kwake anaweza kumuhuliza vitu kama hivyo?
Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.
Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:
In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?
kitila hapo kweli
alikosa busara na alihuliza swali kama sifa flani hivi aonekane nae
kahuliza swali ,pia hakukuwa na haja ya yeye kumtaja mtoto wa mbeki
kwani ni masuala ya kifamilia...hekiama hana akili finyu huo udokta
kapewa kwa njia za panya yaelekea....mgeni akija kwake anaweza
kumuhuliza vitu kama hivyo?
this is one of the most intelligent question.na ndio maana una doctorate,you deserve to be called a doctor,sasa napendekeza mwanzisha thread aombe radhi,kisha mods mumpatie ban.Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.
Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:
In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?
Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.
Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:
In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?
Thabo Mbeki ni JEMBE haswa!! angejibu angechukua muda lakini siyo kwamba alikosea au hajui.
Tumeshajiuliza maswali haya?
What is causing the epidemic of HIV/AIDS?
Why Africa is more vulnerable than Europe/US? Kumbukeni kuwa hawa wenzetu umalaya ni kawaida ref> "sexual tourism in Thai and the like"HIV/AIDS infection vulnerability is beyond sex!!!!
I = N x P x T
where I is probability of sexual infection,
N is the number of partners= kwa wale mlioishi ughaibuni na wanaofahamu hawa watu weupe mnalo jibu hapa!!
P is the prevalence rate in the population, and
T is the per-contact transmission risk, which is assumed to be the same for every population.
lT = V + C + (or T = V x C +)
risk of transmission = vulnerability + contagiousness
lV = f {standard risk, H, M, F, TB, STD,
SCH, . . . }
Tafiti zimeshaoneshwa kuwa uwezekano wa maambukizi (vulnerabilities) huongezeka kukiwepo na Utapiamlo wa hali ya juu, kichocho, magonjwa ya zinaa, malaria, TB, na magonjwa yote kwa ujumla. Hii ni nini kama siyo umaskini?
Ninampenda THABO kwa kutufumbua macho mapema.
Uhusiano wa maambukizi ya UKIMWI na Umaskini ni mkubwa kupita kiasi. Thabo alipingwa na anapingwa na Mashirika ya KIFISADI yaliyotumia janga la UKIMWI kama mtaji! wa kufisidi!!. Hadi miaka hii ndipo tunapohusisha UKIMWI na maendeleo. MY take THABO was absolutely right! we were myopic that time.
UKIMWI unasababishwa na UMASKINI na Unasababisha UMASKINI.
Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.
Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:
In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?
Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.
Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:
In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?
Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.
Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:
In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?
msomi mzima anauliza swali la kijinga namna hiyo? je linamanufaa gani kwa watanzania?
Nilidhani jamaa huyu anaweza panga hoja vizuri kumbe debe tupu !
Dah! Watu bana. Hawana hata haya kukuzulia ambayo hukuyasema.
Swali lako lilikuwa fair kabisa na ni kweli Mbeki kwenye miaka hiyo ya 90 hususan mwishoni mwishoni alionekana yupo kwenye kundi la hao wanasayansi waliokuwa wanahoji/kataa uhusiano kati ya HIV na AIDS.
Great job Dr. That wasn't a softball question.
Ulikurupuka kuuliza swali bila kufanya utafiti wa habari yenyewe; wakati Mbeki anakataa misaada ya dawa swala halikuwa kama unavyotaka kulijadili; utafiti wakati ule ulionyesha idadi ya watu waliokuwa wakitumia dawa wanafariki kwa kiwango cha juu kuliko waathirika wasiotumia dawa; Alichokataa Mbeki ni wagonjwa kupewa dawa za viwango duni; ndipo alipohoji ikiwa dawa hizi zinaharakisha wagonjwa kufa je ipo haja ya kuzitumia? Na ndipo ilipogundulika dawa zinazopelekwa nchi za dunia ya 3 zilikuwa ni za majaribio sio dawa wanazopewa wagonjwa waliopo USA na nchi nyingine zilizoendelea; na zipo tafiti nyingi tu zinazoonyesha utapiamlo unachangia kwa kiasi gani; inasikitisha sana kuona msomi kama wewe unauliza maswali nje mada Mbeki hakuja kutoa mada kuhusu HIV/AIDS na kitendo chake cha kutokukujibu alionyesha ni jinsi gani amekudharau; kama alikuwa hana jibu
Chama
Gongo la mboto DSM