Ameachiwa madeni, ubunge huoooooooooooooooooooooooooooooooooHAHAAHAHHAHAAHAHAHAAHAHAHAHA safi sana safi sana sanaaa safi kaubunge kameota mbawa na atajuta hata uenyekiti wa kijiji hapati
Mimi ninakubaliana na Ritz kuwa mahakama imetenda/hutenda haki, tatizo ni kuwa pale inapoamua kwa upande wetu tunasifu mahakama lakini inapoamua in favour ya upande mwengine tunaanza kulalamika."Mahakama haijatenda haki"
dalili za siku za mwisho ndiyo hizi. na hizo ndiyo rasharasha 2015 itakuwa za masika. viva chadema viva prof. safari, viva wananchi wa igunga -- ngoja tusubiri uchaguzi mdogo sijui watakuja na lipi maana kama pilau, mahindi ya msaada, daraja la mbutu, kudhalilisha uislam, vitisho vyombo vya dola kwa wananchi vyote vimeshindwa kufua dafu- aisee mungu ni mkubwa.
"Mahakama haijatenda haki"
JImbo moja masikini kabisa ambako hakuna madarasa, madawati, maji, zahanati,..., linashuhudia chaguzi TATU za mabilioni ndani ya miaka mitatu kama tumerogwa vile!
Aliyepewa kimemo alikichakachua kabla hakijamfikia jaji.aliyepewa kimemo kwenda kuwapa majaji ameingia mitini, so wameona sheria ifuate mkondo tu. LIWALO NA LIWE
Stupid! Kichwa cha habari nilidhani kimemaliza mambo kumbe upuuzi unawapa watu heart attack
Mbona unajitusi mwenyewe tena mkuu??? Sasa hapo stupid ni nani kama sio wewe mwenyewe??? **** Soma update Wacha kuwa mvivu wa kusoma na badala yake unadandia gari kwa mbele na comment hewa yako unaambiwa CDM imeshinda kesi full stop Kama huamini fungulia mkulima wako utasikia
Kwa kweli nampongeza kwa uamuzi wake huo, na hivi ndivyo tunavyotakiwa kuwa, "tusiache mbachao..." kuna maisha pia nje ya siasa.anatia huruma sana jamaa hadi anasema 'mi narudi kwenye utaalam wangu wa mambo ya madini'..hadi huruma aisee yaani jamaa sio politician kabisa kwani anajiumauma tu..teh teh