Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

acheni uongo

Tupe ukweli wako, wana CCM wache walionekana mahakamani na wana CDM wamefurika kinoma inaonekana Jaji alivujisha hii Ishu kwa Magamba wakaingia mitini, peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees
 
hivi nyie watu vipi??...hamuoni update ninazowapa hapa....nasema na ninarudia mara ya mwisho..CHADEMA IMESHINDA KESI...

mkuu usichoke kuwa update maGT, watu hawasomi habari wanakimbilia kupost tu. ha ha haaa
 
jamani ni kweli na nasikia Rage kapigwa miaka miwili jela.
 
Toeni update jamani maana naona ni maneno kwa wingi bila kile kichoendelea mahakani
 
Wandugu nasikia Kafumu kafumuliwa! - Hii Kweli Makahama imeshindwa Kukilinda Chama Chetu Kinachotuua taratibu - ama kweli siku Kifo za CCM zinahesabika
 
Mungu ni mwemaaaaaaaa siku zote Mungu ni mwemaaaaa ashukuriwe muweza ya yote haya
 
Magamba mwaka huu wanalo,mchakamchaka huu mbona akina Wassira watokufa na pressure
 
Stupid! Kichwa cha habari nilidhani kimemaliza mambo kumbe upuuzi unawapa watu heart attack
 
Kuna makosa makubwa tuliyafanya kwenye uchaguzi uliopita hapo Igunga sasa safari hii....mtafurahi CCM
 
Back
Top Bottom