Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

ccm aibu yao hiyo,nnakumbuka Nape aliushangilia sana ushindi feki(wa Dalali Kafumu)na kuzungumza kwa kuwakejeli wapinzani sasa Leo ukweli unedhihirika.Waliouwawa/waliomwagiwa tindikali sijui kesi hizo ziliishia wapi.Peopless Power!!!!!!!!!!!
 
Huyu Kafumu si yuko kwenye baraza la mawaziri (sijuhi Naibu wazuri). Kama ni kweli je JK atamuweka kama mbunge wa kuteuliwa au jamaa ndo basi tena?
 
safi sana,
hapa napiga tizi tunaanza kampaign fasta,
sie hatusubir tume itoe Ratiba, tuanzie vijijin kuwapa somo,
Ila msimu huu hatutakuwa na kazi ngumu kushinda.
 
Pro-Chadema bana kwa unafiki mara waseme hawana imani na mahakama za Tanzania, mahakama ikifanya kazi yake na mgombea wa Chadema akashinda wanashangilia, mahakama ikifanya kazi yake mgombea wa CCM akashinda wanasema Ikulu imeingilia maamuzi mahakama...mie naamini maamuzi ya mahakama na haki imetumika...pongezi kwa JK kwa kujenga mahakama zenye haki maamuzi ya mahakama yaheshimiwe pole sana Dr Kafumu, ndio siasa zina raha yake na machungu yake.
 
Hahahahahahaha.......................swafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...................sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mwaka huu nape analo tehe tehe tehe!
 
happa wala hakuna ubishi.
Tatizo la ccm ni wapuuzi. hua hawataki kukubali changamoto mpya.
matokeo yake wamezoeleka, wamechokwa sasa wanachukiwa.

mi nashauri vijana wote kwa pamoja tuungane kuweka NO CCM 2015 :flypig: 😛oa: CHADEMA 😛oa:
 
Pro-Chadema bana kwa unafiki mara waseme hawana imani na mahakama za Tanzania, mahakama ikifanya kazi yake na mgombea wa Chadema akashinda wanashangilia, mahakama ikifanya kazi yake mgombea wa CCM akashinda wanasema Ikulu imeingilia maamuzi mahakama...mie naamini maamuzi ya mahakama na haki imetumika...pongezi kwa JK kwa kujenga mahakama zenye haki maamuzi ya mahakama yaheshimiwe pole sana Dr Kafumu, ndio siasa zina raha yake na machungu yake.

Kudadadadeki.............tuwarambe tusiwarambe????????????????
 
Haki ni sifa ya mtu kuwa nayo na kuitoa kwa mlengwa,sifa ya mtu ni pamoja na kutimiza misingi bora ya haki, kujua haki ni fursa ya kutenda mema zaidi, Mungu wetu hapendi uonevu,ikukumbukwe hata vitabu vitakatifu vinasisitiza haki kwa watu wote. Ccm itambue vema na kuzisoma alama za nyakati ikibidi itumie miwani ili ione vizuri. Igunga kulikuwa na kila dalili ya kushinda upinzani kwa sababu kuu zifuatazo:
1.Miaka 50 ya Ccm haijaboresha maisha ya wananchi.
2.Wananchi kukosa huduma za msingi za kijamii.
3. Ccm imeshindwa kuboresha mazingira ya elimu.
4. Ccm imekuwa ikichumia tumboni mali zilizopatikana kwa kodi za wananchi maskini.hizo na zingine nyingi pamoja na kushindwa kuwawajibisha wabadhirifu wa pesa za uma na kuwasababishia wananchi kuishi maisha duni kupindukia. Hakika huu si wakati wa magamba kuendelea kutawala. Liwalo na liwe.
 
hei anayejua ukweli wa hukumu imeekeleza azabu gani atujuze maana hatujui azbu ya kafumu anayeendelea kuwa mbunge au vp tafadhari
 
Pro-Chadema bana kwa unafiki mara waseme hawana imani na mahakama za Tanzania, mahakama ikifanya kazi yake na mgombea wa Chadema akashinda wanashangilia, mahakama ikifanya kazi yake mgombea wa CCM akashinda wanasema Ikulu imeingilia maamuzi mahakama...mie naamini maamuzi ya mahakama na haki imetumika...pongezi kwa JK kwa kujenga mahakama zenye haki maamuzi ya mahakama yaheshimiwe pole sana Dr Kafumu, ndio siasa zina raha yake na machungu yake.

Kwani mahakama ina hakimu mmoja au iko Arusha tu?..........Mahakimu wenye kufuata haki wapo wengi tu
 
Nakumbuka sana Igunga, walibanwa vibaya, ati wakashinda!!

Hongera Kashindye na pole kwa Dr. Kafumu
 
Ni siku ya furaha sana kwa wapenda mageuzi wa Tanzania,kwani uchaguzi wa Igunga ulijaa kila aina ya faulo!
 
Nape anasubiri taarifa ili aizungumzie hiyo hukumu. Kafumu naye hajaridhika. Wanaongea na Radio1
 
Back
Top Bottom