kisunguniero
Member
- May 21, 2012
- 29
- 2
nimefurah kuwa rasmi amevuliwa ubunge bt icjekuwa tunatengenezewa picha hapa!!!
ANA HAKI!
Atakuwa anawalalamikia akina MAKUFULI kwa kuiingiza SERIKALI KWENYE KAMPENI ZAKE!
HUKUMU ya IGUNGA Leo..Kashinje Vs Kafumu,
....Kwakweli mpaka sasa hivi Mbunge wa CCM ameshindwa kumleta shahidi ambaye angetoa taswira njema kwa Ushindi wa Kafumu.
Kwani Bwana Magufuli, ambaye yeye ametajwa kwenye Kesi mara kadhaa; kwamba alikuwa akitoa Ahadi ambazo alikuwa akitoa
mbele ya Jukwaa..kwa hali hiyo Mgombea Wa Chadema anasema alikuwa anatoa Kama Nani? Waziri au mpiga Debe wa CCM?
Kwakweli Kesi imekaa patamu sana...kama Haki ikitendeka ...Basi Jimbo tutalajie kuwa Wazi katika Hukumu ya Leo..!!!
UPDATES
Magari ya polisi, gari la maji washa, naona ndo yanawasili hapa mahakamani, ila bado hatujaingia ndani ya ukumbi wa mahakama, pia watu bado si wengi sana.
MORE UPDATES:
Mahakama imemvua ubunge Dr. Kafumu!
hahahahaaa.....wapi Ritz
hapo kwenye red kuna ukweli!hii ni counter Attack
LEMA pingamizi lake litatupiliwa mbali
huyo dingi natamani kama kuwepo hapo nimpe makwenzi maana inaonekana ubongo haufanyi kaziEti kuna Dingi la Sisiemu hapa linajaribu kunipiga Mkwara eti kazini hakuruhusiwi mambo ya siasa, kisa? Wameshindwa
Sasa naona Mahakama zinaanza kutuonea wanaCCM!!!
Pro-Chadema bana kwa unafiki mara waseme hawana imani na mahakama za Tanzania, mahakama ikifanya kazi yake na mgombea wa Chadema akashinda wanashangilia, mahakama ikifanya kazi yake mgombea wa CCM akashinda wanasema Ikulu imeingilia maamuzi mahakama...mie naamini maamuzi ya mahakama na haki imetumika...pongezi kwa JK kwa kujenga mahakama zenye haki maamuzi ya mahakama yaheshimiwe pole sana Dr Kafumu, ndio siasa zina raha yake na machungu yake.