Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Na yule aliekula rushwa yule wa bahi yupo kundi gani na yeye?
 
JImbo moja masikini kabisa ambako hakuna madarasa, madawati, maji, zahanati,..., linashuhudia chaguzi TATU za mabilioni ndani ya miaka mitatu kama tumerogwa vile!
WildCard sidhani kama kutakuwepo na mapitio ya bajeti kutokana na hukumu hii; nachomaanisha hata kama hukumu hii isingetoka pesa zilizotengewa Wizara ya katiba bado zingetumika zote; acha tuu pesa irudi kwenye mzunguko kwa njia hii. Afterall hii italeta na hamasa kwa wanaigunga kujenga nyumba za maana za kulala wageni
 
Last edited by a moderator:
aliyepewa kimemo kwenda kuwapa majaji ameingia mitini, so wameona sheria ifuate mkondo tu. LIWALO NA LIWE
 
JImbo moja masikini kabisa ambako hakuna madarasa, madawati, maji, zahanati,..., linashuhudia chaguzi TATU za mabilioni ndani ya miaka mitatu kama tumerogwa vile!
WildCard sidhani kama kutakuwepo na mapitio ya bajeti kutokana na hukumu hii; nachomaanisha hata kama hukumu hii isingetoka pesa zilizotengewa Wizara ya katiba bado zingetumika zote; acha tuu pesa irudi kwenye mzunguko kwa njia hii. Afterall hii italeta na hamasa kwa wanaigunga kujenga nyumba za maana za kulala wageni
 
Last edited by a moderator:
KAFUMU AVULIWA UBUNGE IGUNGA, ni dalili gani? Je si wakati wa kukubali kwamba
HUU NI MWISHO WA CCM
 
[h=6]ChademaTz
[/h][h=6]Tumepokea taarifa ya awali juu ya hukumu ya kesi ya Uchaguzi jimbo la Igunga. Bwana Kashindye (CHADEMA) ameshinda kesi dhidi ya Dk. Kafumu (CCM).
[/h]
 
Rahaje leo kwa cdm??? Lol! Pesa zetu za nssf ccm zitawatafuna! Siwapendi hata kidogo!
 
HUKUMU ya IGUNGA Leo..Kashinje Vs Kafumu,


....Kwakweli mpaka sasa hivi Mbunge wa CCM ameshindwa kumleta shahidi ambaye angetoa taswira njema kwa Ushindi wa Kafumu.
Kwani Bwana Magufuli, ambaye yeye ametajwa kwenye Kesi mara kadhaa; kwamba alikuwa akitoa Ahadi ambazo alikuwa akitoa
mbele ya Jukwaa..kwa hali hiyo Mgombea Wa Chadema anasema alikuwa anatoa Kama Nani? Waziri au mpiga Debe wa CCM?

Kwakweli Kesi imekaa patamu sana...kama Haki ikitendeka ...Basi Jimbo tutalajie kuwa Wazi katika Hukumu ya Leo..!!!



UPDATES
Magari ya polisi, gari la maji washa, naona ndo yanawasili hapa mahakamani, ila bado hatujaingia ndani ya ukumbi wa mahakama, pia watu bado si wengi sana.



MORE UPDATES:
Mahakama imemvua ubunge Dr. Kafumu!

Naomba kupewa maelezo zaidi maana huku tanga tunahamu ya mabadiliko.
 
happa wala hakuna ubishi.
Tatizo la ccm ni wapuuzi. hua hawataki kukubali changamoto mpya.
matokeo yake wamezoeleka, wamechokwa sasa wanachukiwa.
 
Kwa mujibu wa Michuzi blog..Aliyekuwa mbunge wa Igunga kwa tiketi ya CCM Dk Dalaly Kafumu amebwagwa kwenye kesi ya kupinga ushindi wake wa kiti cha Ubunge cha Igunga kilichoachwa wazi na Rostam Aziz.Soma hii link hapa chini

MICHUZI: BREAKING NYUUZZZZZZZ........: Dk. Dalaly Kafumu avuliwa ubunge Igunga

Might is not neccessarily right because RIGHT is devine.

All those who use their might to step on the toes of the common man, the downtrodden and the marginalised will perish in pain! Because the higher they fly the harder they fall;

Nape, Wassira, Manyanya, Anne killango, Mukama and all those of your ilk; be warned that If you can not change, rest assured that ultimately Change itself will change you. the choice is yours to be either on the right side of history or on the wrong side! AMUENI.
 
Jimbo letu jingine hili. plus lile la arusha walilopospon.
jamani nguvu ya umma hua haishindwi hii mikijani sijui kwanini hua haielew.

umesahau la sumbawanga mjini.
 
Back
Top Bottom