Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

HAHAAHAHHAHAAHAHAHAAHAHAHAHA safi sana safi sana sanaaa safi kaubunge kameota mbawa na atajuta hata uenyekiti wa kijiji hapati
 
Ni kawaida kila Chadema inaposhinda Chama Tawala kwa kutukia vyombo vyake vya dola usalama wa Taifa na Polisi kuwapigia wana_CDM. Hiyo ndiyo alama ya Ushindi kwa Chadema.

Sasa nimesikia kuwa Mahakama imetengua ushindi "tata" wa Kafumu ule aliupata kule Igunga, ikizingatiwa kuwa viongozi wa juu wa CCM walikwenda wakiongozwa na mawaziri na ndugu yetu Ben.

Kinachoniangaisha akili ni kuwa kuwa kweli MAHAKAMA imeshindwa kulinda mabosi wao (CCM)?, au list ya Tundu Lissu imeanza kufanya kazi?. Kama nikisikiacho na nikionacho ni kweli - basi siku za kifo za CCM naanza kuziona sikihesabika.

Aidha ili kujua Kufumuliwa kwa Kafumu ni ushindi kwa Chadema - Lazima nisikie wanachama na wakereketwa wa CDM wamepigwa na polisi - vinginevyo nitakuwa TOMASO
 
Ni habari nzuri sana kwa wapenda haki, tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu mwenendo wa hukumu ili akina tomatho nao waamini.
 
Sasa ni kweli kuwa docta amevuliwa ubunge na si mbunge tena wa igunga, habari kamili soma issamichuzi
 
Dr. Kafumu umedharilisha taaluma yako kujiingiza kwenye upuuzi wa ccm umeona umeshindwa na mwalimu wa primary ulidhani elimu ndio inaweza kukuokoa kwa kufanya mambo ya sio ya haki?
 
JImbo moja masikini kabisa ambako hakuna madarasa, madawati, maji, zahanati,..., linashuhudia chaguzi TATU za mabilioni ndani ya miaka mitatu kama tumerogwa vile!
 
HUKUMU ya IGUNGA Leo..Kashinje Vs Kafumu,


....Kwakweli mpaka sasa hivi Mbunge wa CCM ameshindwa kumleta shahidi ambaye angetoa taswira njema kwa Ushindi wa Kafumu.
Kwani Bwana Magufuli, ambaye yeye ametajwa kwenye Kesi mara kadhaa; kwamba alikuwa akitoa Ahadi ambazo alikuwa akitoa
mbele ya Jukwaa..kwa hali hiyo Mgombea Wa Chadema anasema alikuwa anatoa Kama Nani? Waziri au mpiga Debe wa CCM?

Kwakweli Kesi imekaa patamu sana...kama Haki ikitendeka ...Basi Jimbo tutalajie kuwa Wazi katika Hukumu ya Leo..!!!



UPDATES
Magari ya polisi, gari la maji washa, naona ndo yanawasili hapa mahakamani, ila bado hatujaingia ndani ya ukumbi wa mahakama, pia watu bado si wengi sana.



MORE UPDATES:
Mahakama imemvua ubunge Dr. Kafumu!
Hii ni habari njema. Ushahidi ulikuwa wazi sana hivyo mahakama imetekeleza wajibu wake.
 
Kama Kafumu kafumuliwa basi na huo utakuwa ndio mwisho wa Ubunge wake wala asijaribu kukata rufaa. Tena ikiwezekana aachane na siasa za kugombe unless awe apointed na Prezdaa.. Maana nguvu iliyotumika Igunga mpaka leo machungu yake tunayaone kwenye uchumi wetu..
 
Jimbo letu jingine hili. plus lile la arusha walilopospon.
jamani nguvu ya umma hua haishindwi hii mikijani sijui kwanini hua haielew.
 
ccm imeshakufa kitambo kilichobaki ni mazishi tu
 
Nafuu sana. Mungu ashukuriwe na atujalie tuendelee kuzika magamba. Kashindye Oyeeeeeeeeeeeeeee!!!!!Q
 
Yes hakika ni siku ya furaha kwa CHADEMA na wapenda demokrasia Tanzania. Haki imetendeka! Hakika Mungu si Athumani wala Abdullah.Kweli malipo ni hapahapa duniani. Yale mabilioni wayoyatumia CCM kwenye kampeni,damu waliyoimwaga kule Igunga Mungu ameamua kuwa CCM lazima walipie, na ndivo haswa imekuwa. Asante Yesu kwa kusikia kilio cha Wana-CHADEMA na Watanzania wote!

This is a very strong message to CCM.Kwamba Watanzania hawataki longo.ongo kwa sasa wanachotaka ni mabadiliko ya kweli! CCM na timu yenu yote jifunzeni na muelewe tunaishi wakati gani! Kulazimisha kuingia madarakani kwa nguvu ni dhambi kubwa sana mbele za Mungu na za wale utakaowatawala.

Kama CCM hamtajifunza na mkaendelea na ujinga wenu huu ifikapo mwaka 2015 basi jueni kuwa mmekwisha.
 
Back
Top Bottom