Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
..tuseme "Dr" au Dr...........nyerere alikuwa na hizi honoraria takribani 30...nje watu walimuita dr...lakini alisisitiza na kubakia MWALIMU......
salim amesoma soma kwa kuunga darasani hadi akawa msomi..haswaa ...na pia anazo phd..za heshima karibu 15....mtanzania wa pili baada ya mwalimu kuwa na degree nyingi za heshima....
mkapa naye anazo degree za honoraria[phd]..takribani 5.......hapendi waka hataki kuitwa dr anyway
kikwete ana degree moja au mbili za phd[honoraria]....ametangazwa kuwa sasa tumuite dr..........
karume naye amepata degree moja ya heshima zile za marekani kama aliyopata ya kwanza kikwete....naye serikali ya mapinduzi ikatangazwa kwa mbwembwe aitwe dr karume....[juzi kikao cha nec hajaonekana]