Haijatulia... Labda Professor(wale jamaa wa Mazingaombwe pale Bongo) NgabuVipi Dr. Nyani Ngabu?
Haijatulia... Labda Professor(wale jamaa wa Mazingaombwe pale Bongo) Ngabu
Dr. Gembe Je?
Hivi huo udaktari wa falsafa wa "kupewa" utatunafaishaje Walalahoi?Basi jeshi nalo limtunukie u-Field Marshall kabisa wa "kupambana na mafisadi"
Sumbawanga wapo wengi ma Dr na maprofesa.....mkwere ovyoooooSitoi hongera hadi Rostam aende Kisutu....hawa madaktari wa kupewa wapo wengi kumbuka hata mama Gertrude Rwakatare naye anao!!!