mwenemti
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 309
- 59
Kazi ipo,nayeye ni tapeli?mbona sda wenamheshimu sana!
wote wachumia tumbo tuu hao...
Kazi ipo,nayeye ni tapeli?mbona sda wenamheshimu sana!
Just like babu wa loliondo Mzizi mkavu, na walaghai wengine!
Nipo Mwanza mkuu
jina lako tosha wewe una matatizo pole sana meningitis maana ya neno meningitis ni uti wa mgongo Meningitis ni uvimbi wa bongo.[SUP][1][/SUP] Kuvimba huku kunasababishwa na virusi, kazi kweli wewe.Just like babu wa loliondo Mzizi mkavu, na walaghai wengine!
jina lako tosha wewe una matatizo pole sana meningitis maana ya neno meningitis ni uti wa mgongo Meningitis ni uvimbi wa bongo.[SUP][1][/SUP] Kuvimba huku kunasababishwa na virusi, kazi kweli wewe.
Huyu ndodi alikua mchoma mkaa songea alikua akienda kulima mashamba vinyunguni leo hii kajifanya sijui mganga!namjua vizuri huyu ana watapeli watu tu.
jina lako tosha wewe una matatizo pole sana meningitis maana ya neno meningitis ni uti wa mgongo Meningitis ni uvimbi wa bongo.[SUP][1][/SUP] Kuvimba huku kunasababishwa na virusi, kazi kweli wewe.
Siku hizi amelea kitambi! Mganga hajigangi.
Usilete ubishi wa mpira Simba na Yanga tembelea bonyeza hapa.Meningitis - Wikipedia, kamusi elezo huruKiswahili kina uhaba mkubwa sana wa maneno. Inflammation of the meninges sidhani kama ni kuvimba kwa bongo...
Asante Mkuu Wengine humu ndani wana wivu wa kijinga sana kama hujuwi dawa na tiba bora unyamaze kimya au pita na njia zako kuliko kuonyesha chuki zako kwa watu wengine hawakuhusu kabisa . Unataka upate Umaarufu kupitia juu ya migongo ya watu ehhh? Kazi kweli kweli chuki zake haziwezi kumfikisha popote zaidi ya kuangamia tu.mkuu kwa sisi ambao tumefaidika na ushauri wako hatuwezi kukubeza...unafanyakazi nzuri sana...
Usilete ubishi wa mpira Simba na Yanga tembelea bonyeza hapa.Meningitis - Wikipedia, kamusi elezo huru
mkuu anakukubali sana yaani nikisoma post zako ni madini ya tanzanite,mambo yakiwa sawa nitakutunuku ugold member kwa gharama zangu kuonyesha appreciation kuwa nakukubaliAsante Mkuu Wengine humu ndani wana wivu wa kijinga sana kama hujuwi dawa na tiba bora unyamaze kimya au pita na njia zako kuliko kuonyesha chuki zako kwa watu wengine hawakuhusu kabisa . Unataka upate Umaarufu kupitia juu ya migongo ya watu ehhh? Kazi kweli kweli chuki zake haziwezi kumfikisha popote zaidi ya kuangamia tu.
mkuu anakukubali sana yaani nikisoma post zako ni madini ya tanzanite,mambo yakiwa sawa nitakutunuku ugold member kwa gharama zangu kuonyesha appreciation kuwa nakukubali