Dr. Isack Ndodi mbona hasikiki?

Dr. Isack Ndodi mbona hasikiki?

mkuu anakukubali sana yaani nikisoma post zako ni madini ya tanzanite,mambo yakiwa sawa nitakutunuku ugold member kwa gharama zangu kuonyesha appreciation kuwa nakukubali
Ninashukuru Mwenyeezi Mungu akulipe yaliyo mazuri na akulinde na matatizo ya dunia ubarikiwe ameen.

Mimi nadhani ifike wakati watu kama MziziMkavu wenye mchango mkubwa kwenye jamii kupitia JF basi basi JF iwatambue kwa uzito wake....
Mwenyeezi Mungu awabariki kwa tendo la kujuwa kuwa mchango wangu kwa watu unajulikana mimi pia munanitia moyo sana.
 
achana nao mzizimkavu kawaida binadami ndo tulivyo na usipate shaka huwezi pendwa na wote duniAni na kila kazi ina changamoto zake.
 
Mkuu nilishakushauri tena kuwa sio kila kilichoandikwa (na wengine) kwenye mtandao unakichukua kama kilivyo. Meningitis sio kuvimba kwa ubongo sababu meninges sio ubongo bali ni membrane (hapo sijui Kiswahili chake) inayozunguka ubongo na spinal cord...

Ngoja usajili wa madaktari ukamilike tuanze kudeal na hawa walaghai wa tiba mbadala
 
Yuko biafra anafanya mkutano wa hadhara kwa wk nzima! Fika upate dozi yako!!
 
Ndodi anaongea huyu jamaa balaa, mimi huwa naona anaburudisha sana ila suala la tiba sina imani nalo
 
Jama naomba kuunga trela na yule mwana mama aliekuwa maarufu kwenye radio one mama teri yupo wapi siku hizi mbona kimya
 
Nilimfuma cku pale Tai five hotel ambayo anatumia kama ofic yake akiwa mwanza.....jamaa anatwanga whisky vibaya sana,lakin ukifuatilia sana tiba unaweza kabisa kuacha kula
 
Ngoja usajili wa madaktari ukamilike tuanze kudeal na hawa walaghai wa tiba mbadala
Tanzania kuna Ma-Daktari wa ukweli? Ikiwa kuna Ma-Daktari wa ukweli mbona wagonjwa wakiumwa wanapelekwa nchini India? Kama kweli kuna Ma-Daktari wa ukweli hapo nyumbani. umesha ona wapi Wagonjwa toka nchini India wameletwa hapo Tanzania kutibiwa? Kwa hiyo hapo nyumbani kwetu hakuna Ma-Daktari wa ukweli kuna Ma-Daktari Majina Matupu.
 
Mwizi, tapeli, mbambaishaji na mlaghai. Amepauka kama wenziwe, anajipanga kuingia na gea nyingine; watch out for part two!


Sent from my iPhone using JamiiForums

kweli kabisa jamaa mshenzi sana....alikuwa mpigaji tu
 
Nilimfuma cku pale Tai five hotel ambayo anatumia kama ofic yake akiwa mwanza.....jamaa anatwanga whisky vibaya sana,lakin ukifuatilia sana tiba unaweza kabisa kuacha kula

Kwa kuwa ulimkuta anatwanga whisky maana yake ni kwamba dawa zake hazitibu?
 
Kajichimbia Ruaha hotel iringa. Atawalisha madumu ya juice ya ukwaju, limao na mkojos.

Fools die! Wajinga ndio Waliwao!
 
Ndodi kwa kuongea mhhh sijui kama anakumbukaga kumeza mate
 
Back
Top Bottom