how can i joke kwa ishu serious kama hii mkuu! Ni kweli kabisa last year alikuwa nayo nashangaa siku hizi haipo. Mi ni msikilizaji mzuri wa mada zake. We unadhani anatoa wapi pesa ya kuwa na vipindi vya one hour live tv stations mbili kila wiki. This man is making a lot of money!
Sina matatizo na hapo kwenye BLUE KABISA...MAana sitabishia dini yako.. ha hahaaaa!Maisha na mali za wananchi wote katika taifa la Kiislamu huchukuliwa kuwa ni vitukufu, iwe mtu huyo ni Muislamu ama la, Uislamu unalinda heshima pia. Hivyo, katika Uislamu, jambo la kuwatukana wengine na kuwakejeli haliruhusiwi. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Hakika damu zenu, mali zenu na hadhi zenu ni tukufu.)) [100]
My Take.
Ukishasema ukweli toa ufumbuzi au njia ya kuweza kutatua tatizo la mtu na sio kumkejeli "masikini" hakuna tajiri duniani yote haya tunayaona mwenyewe ni Mungu dakika tu unaweza kufilisika.
PJ, wakati kwenye hoja yako kuna point zenye ukweli lakini nasikitika ulivyoijibu hoja hapa hukuzingatia facts za Pdidy.....! angalia Msindima alivyoweka vizuri hoja ya Pdidy! Of all the people I didn't expect this from you bro.....anyway siku moja moja tunaweza kuteleza!
Pili, wewe Pdidy hujamfanyia diagnosis mgonjwa wa Pdidy unaweza kutamka kwa uhakika hivyo hayo maneno niliyohighlight hapo juu? unless wewe ni Dr. Ndodi, ambaye hata aliweza kumwona mgonjwa yule ndo unaweza kutoa kauli hiyo yenye kujiamini na uhakika hivyo! Uhakika unautoa wapi wewe? si Dr. uliyemwona mgonjwa yule, si Dr. Ndodi....how can you be that sure kuwa ati angelipa 3m angepona?
Tatu, PJ labda mwenzetu ni matawi ya juu fulani, mimi nipo kwenye average income earning people, kutoa Tshs 3m kufanya matibabu ka mara moja sio kitu kidogo kabisa, labda uwe na insurance cover, hii ni hela nyingi sana kuitoa kwa mara moja mkuu......! Dr. Ndodi kama kweli ana nia ya kusaidia watu aliangalie vizuri hii la gharama za matibabu! Na kama kweli ana dawa hizo zinazotibu magonjwa yanayotusumbua kila siku, sidhani input costs za kutengeneza dawa hizo zinaweza kujustify gharama za matibabu anazocharge! Huyu anatengeneza margin kubwa sana hapa, anajivunia ''MONOPOLY'' kwenye aina ya dawa anazotumia kuwaumiza wananchi.....! he is supposed to be fair kwa kweli!
Ubarikiwe Msindima on this post.....!
wajinaga ndio waliwao. nani kakuambia ndondi ni daktari???. Ndondi kasomia ualimu, baada ya maisha ya ualimu kumshinda akakimbilia kudangaya watu. kuweni na akili jamani, udaktari ni fani za watu.
[/COLOR]
BLUE
Kama shida yangu ni jinsi ya kutamka naomba nisamehewe...Lakini the fact remains!...Wengine tulikulia machungani! ha ha haaa!
RED
mKUU,
kAMA SHIDA NI KISUKARI, huu ugonjwa unatibika na Ndodi kama mchezo..
Tofauti ya ngonjwa na mgonjwa itakuja kutokana na tiba alizojaribisha kuzitumia awali...kama hakujaribu dawa zozote then ndani ya wiki 15 kisukari ni hadithi!..SIMPLE!
GREEN:
Nikisema kuwa 3M itolewe sina maana mimi nina uwezo nayo tit-for-tat!...ieleweke hivyo...Wanaonijua wanafahamu margin yangu ya income.
Tusilete hisia kwenye ukweli...Ukichagua kwenda kwa ndodi(maana ni option) maana yake ni kwamba unachagua kutekeleza masharti!...malalamishi baada ya hapo hayatakiwi, utakuwa unajikwaza bila kupenda!
Suala la ku'bagain bei jamani lipo...Ndodi huwa anapita mara nyingi mahala nilipo mimi, na huwa anaweka sawa hilo jambo mara nyingi..bei ni maelewano, sio fixed!...Sasa ishu ya kumwomba apunguze pale anapokuwa na foleni, just go into his shoes...ni ngumu kidogo kupata muafaka!
Naombea ningeeleweka!

mkuu PK
SABABU SIO HELA TU;ALIMUULIZA INCASE AKUPONA NA HIYO HELA INAKUWAJE AKASEMA
HOSPITALINI UNGEFANYAJE;AKASEMA TUNATAFUTA MBADALA WA DAWA NYINGINE AKAMUULIZA NTALIPIA AKASEMA OOOH YEAH TENA UKIJA UNAANZA NA HII 20 TENA AKAENDELEA AKIWA ANAMWELEZEA SHDA ZAKE AKAMKTAISHA NIMESHASEMA MAMA WE NENDA TAYARISHA MIL 3 WIKI KUMI MZIMA ASIPOPONA TUTAMWANGALIA TENA...PRBLM NI KWANZA AKUWA MSTAARABU KUMSIKILIZA MTU NA KUJALI WALIO NJE AKIINGIZA 20 ALFU NA KWELI KULIKUWA SI CHN YA 30..ANAYWA AWE ANASIKILIZA MAHTAJI YA WATU NIMEWAPELEKA WENGI SANA WAKALALAMIKA JINSI YA TREATMENT WANAYOPATA ACHILIA MBALI PESA ZIKO JUU ..INAUMIZA SANA SANA PK..POLE KAMA UKO KARIBU NAE LKN HATA M NILIKUWA MPENZI SANA WA VIPIND VYAKE
sina matatizo na hapo kwenye blue kabisa...maana sitabishia dini yako.. Ha hahaaaa!
Ila hapo kwenye red nina la kusema!...ufumbuzi ndo kama hivi amekuja hapa...sio lazima aupate kwangu..si umeona hapo juu watu wametoa options nyingine?
kanuni za utabibu zinasema,utabibu huwa hautangazwi na kamwe hauwezi kuwa biashara kwa sababu ni jambo linahusu maisha ya mtu,mtu mwenye kisukari hata hospitali za serikali hapaswi kupanga foleni kutokana na kwamba kupanda au kushuka kwa sukari kwa weza kukawa jambo la dharura na hatarishi kwa mhusika sasa huyo dr.ndondi ni mfanya biahsara na sijui kama ni dr aliyesoma vyuo vinavyotambulika kidunia sasa ni mfanya biashara na nchi hii kwa vile ni shamba la bibi mtu yeyiote anaweza akaibuka akasma na tibu pumu,kisukari,ukimwi,ngiri,nguvu za kiume na pasiwe na mtu wa kufuatilia kama kweli dawa atowazo hazina madhara kwa wananchi,ndugu wananchi jichunguzeni sana munapoamua kuwafuata hawa madaktari wanaojitangaza kwenye maredio na ma tv
Jamani, labda mimi nina coincidence mbaya/ au niite NZURI na huyu mganga...Nina maelezo POSITIVE tu kuhusu huyu mtu...Mkuu hapo kwenye bold ya red hapoooo pananitia wasiwasi unakula commission ngapi? ni yeye tu mwenye uwezo wa kutibu kisukari?
Sina matatizo na hapo kwenye BLUE KABISA...MAana sitabishia dini yako.. ha hahaaaa!
Ila hapo kwenye RED nina la kusema!...Ufumbuzi ndo kama hivi amekuja hapa...sio lazima aupate kwangu..si umeona hapo juu watu wametoa options nyingine?
Nimekubali na nabii haheshimiki kwao...ha ha haaa!pk nahisi kama ndiowasisi wa deci nini;maana kuna watu wameletwa dunian kuwaliza watanzania tu maisha yao yote nakumbuka deci uliitetea sana na haka kamradi cha ndodi hope uko na kahisa si mbaya sana mnatumizaaaaaaaa lakini
Bwana mzee pole sana,
Lakini hii imekuwa ni tabia ya hawa watu amabo hujitokeza na kupata publicity kwenye radio na TV kwa ajili ya biashara zao. Kunakuwa na tofauti kubwa ya jinsi anavyokuwa akiwa kwenye TV na mara unapokwenda sasa kumfuata.
Kama huyo bwana ana treat hivyo wagonjwa basi ujue yuko kibiashara zaidi, yaani mimi binafsi siwezi kwenda kwa mpuuzi huyo.
Anafidia hizo gharama za dawa ama ?
3m alipie....asipopona zinarejeshwa?[/QUOTE]
Kiendacho kwa mganga hakirudi.