Acheni fikra za kimasikini kama za wakenya.Kiingereza ni cha waingereza siyo chetu.Mngesema huyo Dr hajui kabisa kiingereza au hiyo PhD yake ni ya lugha ya kiingereza labda ningewaelewa.Lakini hayo ya kufanya makosa ya kisarufi mimi sioni tatizo kwani lengo kuu la lugha yoyote ni mawasiliano.Sasa kama unaweza kuandika/kuongea lugha fulani na ujumbe ukaeleweka na hadhira yako,basi hakuna shida.Tujiulize hiki kiswahili ambacho ndiyo mother tongue hatukijui vizuri na huwa tunafanya makosa mengi tunapokitumia,sembuse kiingereza cha kujifunza ukubwani?
Labda mlete hoja-kwanini watanzania wengi hawajui walau kiingereza 'cha kuombea maji' wakati kiingereza ni lugha rasmi ya pili Tanzania?
Labda mlete hoja-kwanini watanzania wengi hawajui walau kiingereza 'cha kuombea maji' wakati kiingereza ni lugha rasmi ya pili Tanzania?