Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 8,285
- 8,501
Nilijua thread za mwelekeo huu wa MWENZETU lazima zikuibue tu. Kweli hii ni laana kubwa.Sasa ulitaka asiwajaze "wenzake" awajaze wenzako? Unanshagaza!
Akitajwa tu huyo jamaa yako au hao WENZAKO lazima uchomoke huko mafichoni, sijui huwa unakereketwa na nini!!!