Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

6108635_orig.jpg
 
safi sana JK .... mbona kamsweka lupango yule kiongozi wenu wa kuchoma makanisa .... hilo ni sawa pia

Hizo pumba zako fungulia thread yake hapa tunaongelea Mwakyembe na reli ya kati

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,
Tatizo la makamanda wetu ni watu wa kukurupuka ovyo...

Mkuu Ritz
Kamanda Sikonge na wenzake ni wapokeaji wa vijiposho pale Togo wapo hapa kupinga kila jambo matokeo yake wanatapika pumba ambazo hata hawazielewi; tutawapa somo hapa sisi tunawaeleza ukweli wao wanakuja na porojo wape muda waitakimbia hii thread

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hizo pumba zako fungulia thread yake hapa tunaongelea Mwakyembe na reli ya kati

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chama,
Hiki ni kipindi cha kuwapuuza mapimbi ni kupiga kazi za wananchi.
2971494_orig.jpg


8793364_orig.jpg
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ritz
Naona picha zinajieleza zenyewe mama wa kitasha amefurahia usafiri na wananchi wenyewe wazawa wameshikwa na shauku na furaha kubwa kuiona treni yao imeanza kazi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Kamanda Sikonge na wenzake ni wapokeaji wa vijiposho pale Togo wapo hapa kupinga kila jambo matokeo yake wanatapika pumba ambazo hata hawazielewi; tutawapa somo hapa sisi tunawaeleza ukweli wao wanakuja na porojo wape muda waitakimbia hii thread

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
DSC07647.JPG
 
Last edited by a moderator:
Tanzania kubwa, wote wangelifaidi na bei kushuka.
Sikonge
Jaribu hili
UK ni 244,820 sq.km - reli 32000km
TZ ni 945,087 sq.km - reli 4629 km

Sijui mahesabu haya unayalinganisha vipi ukifikilia mwili uitwao Uchumi wa Nchi?
 
Sikonge
Jaribu hili
UK ni 244,820 sq.km - reli 32000km
TZ ni 945,087 sq.km - reli 4629 km

Sijui mahesabu haya unayalinganisha vipi ukifikilia mwili uitwao Uchumi wa Nchi?

3792876_orig.jpg
 
Mkuu chama,
Muda wa maneno hakuna ni vitendo tu...wengine wanawatumikia wananchi wengine wanashindana kutajwa CNN.

usitafute maneno we mbumbumbu, hapa wote tunakubali kazi ya dkt, sasa usituamishe topic tuanze kuwachambua magamba
 
Last edited by a moderator:
Hizo pumba zako fungulia thread yake hapa tunaongelea Mwakyembe na reli ya kati

Chama
Gongo la mboto DSM

acha umburula wewe .... yaani mnamwacha mwenzenu kiongozi wenu wachoma makanisa anatesekea segerea ....

go and bail out sheh ponda-mali .... stop barking here in jf
 
Mkuu Ritz
Kamanda Sikonge na wenzake ni wapokeaji wa vijiposho pale Togo wapo hapa kupinga kila jambo matokeo yake wanatapika pumba ambazo hata hawazielewi; tutawapa somo hapa sisi tunawaeleza ukweli wao wanakuja na porojo wape muda waitakimbia hii thread

Chama
Gongo la mboto DSM

Watanzania tuna vituko kweli, yaani tunashangilia waziri kupanda treni! Kuna ajabu gani hapo? Ndugu zangu shirika linakufa hili, kupanda treni kwake hakulisaidii shirika. Hivi sasa shirika linasafirisha treni moja ya mzigo kwa wiki. Injini zote mbovu na spea hakuna,injini chache zilizo baki zinasafirisha abiria tu ili wananchi waone kwamba tunawajari. Kumbukeni kwamba shirika linapata faida kwenye mizigo tu abiria ni huduma. Kwa hali hii, bila kuleta injini nyingine ili mizigo isafirishwe shirika haliwezi kuendelea kuoparate zaidi ya mwezi mmoja, litakufa! Na pia tutegemee mfumuko mkubwa wa bei kwa mikoa ya Tbr na kigoma maana wafanya biashara wengi wanategemea reli kusafirisha bidhaa.
 
Mkuu, ningelielewa ELIMU yako ingelikuwa rahisi kukujibu. Ila kwa sasa unaniweka kwenye hali ngumu kweli maana nashindwa hata nianze vipi. Nifupishe, hutaelewa tena na nikirefusha, utaona nimekufanya Ngumbalu.

Anyway, ngoja niwe katikati:

Nchi kama UK, wanaweza kuwa na aneo kubwa zaidi ya Tanzania. Ila kwa Western Europe na Central Europe DENSITY ya watu ni kubwa sana. Hii inafanya kutoa huduma kama hizi za Reli ya umeme na huduma nyingine kama Internet, Simu, Gas kwa kutumia Lines inakuwa rahisi na Economical.

Kwa hali ilivyo Tanzania kuwa na eneo kubwa sana lililo wazi, hata kujenga Reli, barabara au umeme ni hasara tupo kwa taifa ila inabidi lifanyike hilo maana huko nako wanaishi Watanzania. Kwa mfano kijiji changu hapa Sikonge hadi leo ni shida sana ya umeme. Wamesita kuweka Transformer ingawa line za umeme zinapita barabarani kwa sababu idadi ya WATU kijijini kwetu ni ndogo sana na Transformer litakuwa ni hasara tupu. Ila kna siku itabidi waweke hata kama inawapa hasara maana na sisi ni binadamu na tumechoka kutumia Solar siku zote.

Pia hata nchi za UK, Reli yake imekuwa ikiingiza hasara sana hadi ikafikia baadhi ya huduma kuzibinafsisha na ndiyo watu kama Sir Richard Branson wakaanzisha ma Train yao ya VIRGIN.

Nina uhakika hata USa ingelikuwa mara mbili ya UK, bado wangeliweka Reli. Ila USA ni kama Bara. Hata Russia pamoja na ubabe wao wa Kikoministi, bado walishindwa kuweka Umeme kwenye reli nzima.

Adili, hizi Fact ninazokupa ni za kweli kabisa na zimetoka SHULE na siyo kuwa nilisoma kwenye kigazeti fulani.

Factor muhimu kwenye Usafiri wa Train wanasema kuwa "Train ni Economical hadi 1 000 kms". Ukizidisha hapo ni kuwa wapata hasara na inabidi utumie ndege. Hizo ni FACTOR zilizofanyiwa utafiti na siyo zangu mie hapa.

Sijui kama utakuwa umenielewa kuhusu hilo. Hata ukiangalia RAMANI ya UK na Reli zao, utaona nyingi sana zipo huku chini ilipo London na miji mingine na huko juu reli ni chache sana. Hii ni kwa sababu hata idadi ya watu huko juu ni ndogo na chini ni kubwa sana.

Rail%20Map%20009.jpg

Sikonge
Jaribu hili
UK ni 244,820 sq.km - reli 32000km
TZ ni 945,087 sq.km - reli 4629 km

Sijui mahesabu haya unayalinganisha vipi ukifikilia mwili uitwao Uchumi wa Nchi?
 
Adili,

Angalia hii makala....

Richard Branson's Virgin railways is to become the first passenger train to run engines powered by bio diesel, the Virgin Voyager train will use the blended fuel which is only 20% bio diesel and is due to leave London today and travel to Llandudno in Wales, but during the trials the train will travel all over the.....

virgin1.jpg


From: Europe

Hii maana yake kuwa hata UK, kuna maeneo ambapo TRAIN zinatumie FUEL na hakuna mambo ya nguzo za umeme kwa ajili ya Train. Nakuwekea picha baadhi ya Train za UK ambazo zinatumia mafuta na ukiangalia hutaona nguzo au waya za umeme juu ya train...... Hivyo si kweli kuwa UK nzima wanatumia UMEME kama ENERGY kwenye train zao.

Train-at-Mallaig-station-in-Scotland.jpg
Train at Mallaig Station - Scotland.
1230957_Class-180-113-Diesel-Train-at-Didcot-Station_620.jpg

Class 180 113 (Diesel Train), in "First National Trains" livery, at Didcot station, England.


Bado kuna swali Mkuu? Nafikiri nimekuelewesha kwa mifano na picha za kutosha.
 
Siyo kweli kuwa tunapinga kila kitu. Angalia thread ya #108 kuna mambo nimekubaliana na wewe ila unajifanya kipofu na hutaki kuona hilo au maelezo hayo.

Mie ni mmoja ya watu ambao wanaamini kuwa Mwakyembe angeliamua kuacha USANII na kuanza kufanya kazi yaani kukitumia kichwa chake kufikiri zaidi ya kukilaza kwenye Train masaa 12 hakitumiki, angeliweka msingi mzuri sana kwenye matatizo ya usafiri.

Hebu fikiria masaa yote hayo angelitumia kuangalia uwezekano wa kuifufua Air Tanzania na kujadiliana na wadau wa uchumi, si kungelikuwa na la maana wamefikia?

Mwakyembe ni mtu mmoja mwenye uelewa wa juu sana na nina uhakika hata kama anasoma hapa, anacheka tu na kusema "Sikonge yupo sawa." Anayafahamu sana haya ninayasema mie hapa na akitaka kuyafanya atayafanya zaidi ya kulala au kutembea kwenye daladala za train.

Jamaa angelitumia kichwa chake, hata CHADEMA wangelisimama na kumsifu. Mie ni wale wanaotaka DR. Mwakyembe aamke na kuanza kutumia uwezo wake walau kwa asilimia 80, ndiyo mnaomsifu sasa hivi, Chupi zitawaanguka.
Mkuu Ritz
Kamanda Sikonge na wenzake ni wapokeaji wa vijiposho pale Togo wapo hapa kupinga kila jambo matokeo yake wanatapika pumba ambazo hata hawazielewi; tutawapa somo hapa sisi tunawaeleza ukweli wao wanakuja na porojo wape muda waitakimbia hii thread

Chama
Gongo la mboto DSM
 
mimi nachelea kidogo kumpongeza, mpaka nijue, kwanza alienda kigoma kwa njia gani? alipanda ndege, au alipanda bus, au alienda kwa gari la serikali. maana kama alienda kwa ndege sasa ameamua kurudi kwa bus, sina budi kumpongeza, kma vilevile alienda kwa bus na kaamua kurudi kwa train pia nampongeza, lkn kama alienda kwa gari la serikali, kisha ameamua kupanda train hapana. simpongezi kabisaaa. maana hakuna alilookoa zaidi ya kuipa hasara serikali. vilevile ntampongeza pia nikijua dhumuni haswa la yy kusafiri kwa njia hiyo nini? maana wanasiasa ni wapenda sifa huku wanatuumiza.
 
Back
Top Bottom