Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,434
congrats mheshimiwa we apreciate your concern kwa wananchi!!!
You can believe whatever you want to believe; we have time differences so it may take even 10 hours to respond depend on my time and never forget I have other business to take care of; I`m so proud of myself I pave the way on my own; thanks to CCM and the government of Tanzania for giving me the opportunity; the education I had in Tanzania opened the door the for me.
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu Ritz
Najua wanachohangaika chama ale ban nimeshajua wanachotafuta nimemjibu kiungwana sana; waungwana kazi yetu ni kuwafundisha washenzi maadili; hata hivyo si unawajua wakiishiwa na hoja kazi yao ni kukimbilia matusi simshangai; natafuta mahusiano ya condom na treni bado sijayaona
Chama
Gongo la mboto DSM
Silence may sometimes be a powerful answer chama!!!
Mimi sina haja ya kuingia kwenye malumbano na wewe chama! Maana hata post yangu hukuielewa!! Do you think sijui tuna time difference?
Inaonekana hata hujaelewa kwa nini nimesema ulitumia muda wote huo kugundua maana ya ile post ya Sikonge?!!!
POle sana, this all defines your IQ...
TUSIWE WATU WA MATUKIO,TUWE WATU WA MATOKEO'''baada ya tukio la dr mwakyembe kupanda treni kutoka kigoma mpaka Tabora,je nini MATOKEO
Mwakyembe hana tofauti na wauza sura wenye kutembelea bajaji na wakati mwingine bodaboda... CCM Miaka hamsini ya uhuru bado tunachechemea kwa merikebu ya nchi kavu!!! eti mnapongezana kwenye upuuzi wa kuuza sura...grrrrr...Uzuzu mtupu!
Mtu hupongezwa kwa kufanya la "ziada" juu ya wajibu wake na si vinginevyo........
Mwanza kuna mandhari nzuri sana, ila nawaombeni watani wangu waSukuma muwe mnakumbuka kukarabati nyumba walau kupiga rangi mara moja kwa mwaka. :israel:
If you think that I did not understand your point then clarify what you meant that all! You can`t challenges my IQ; I might be wrong on some issues but that does not mean my IQ is low; I don`t give a damn who say what! my spirit is always high
Chama
Gongo la mboto DSM