Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

Upo sawa Mkuu. Ila kijana kapotea sasa ana google kama alivyo Google DUREX.

Hii kitu umeandika safi sana na nilijua anaweza ku-google ana akapata jibu na ndiyo maana nikaenda mbali zaidi kwa kumuongezea swali la ziada ila amesepa. Mwisho atakuja na kunishambulia kuwa mie ndiyo nina Google. Yes, nina google ila inabidi pia ujuwe unagoogle nini?

Mengine uliyoongezea tupo pamoja sana. Walau wangelikuwepo watu milioni moja wanaoona Usanii wa Mwakyembe basi nina imani Mwakyembe kweli angelianza kutumia kichwa chake ambacho wengi tunafahamu uwezo wake.
Sikonge unapoteza muda maana mtu unayejaribu kumuelewesha, its like -ve and +ve= Repelling!!! Hapo kwenye red bold, unamanisha yale mabehewa yanachokukua mizigo bila kushusha mzigo unapotaka kubadilisha mode of transport!! Yaani dude lote linahamishwa na kuwa attached to truck maisha yanaendelea?
 
mimi nachelea kidogo kumpongeza, mpaka nijue, kwanza alienda kigoma kwa njia gani? alipanda ndege, au alipanda bus, au alienda kwa gari la serikali. maana kama alienda kwa ndege sasa ameamua kurudi kwa bus, sina budi kumpongeza, kma vilevile alienda kwa bus na kaamua kurudi kwa train pia nampongeza, lkn kama alienda kwa gari la serikali, kisha ameamua kupanda train hapana. simpongezi kabisaaa. maana hakuna alilookoa zaidi ya kuipa hasara serikali. vilevile ntampongeza pia nikijua dhumuni haswa la yy kusafiri kwa njia hiyo nini? maana wanasiasa ni wapenda sifa huku wanatuumiza.

mdau wewe bora umejua hila za wanasiasa ambao kwa kiasi kikubwa wanatupotezea muda na pesa za kununua magazeti
 
Upo sawa Mkuu. Ila kijana kapotea sasa ana google kama alivyo Google DUREX.

Hii kitu umeandika safi sana na nilijua anaweza ku-google ana akapata jibu na ndiyo maana nikaenda mbali zaidi kwa kumuongezea swali la ziada ila amesepa. Mwisho atakuja na kunishambulia kuwa mie ndiyo nina Google. Yes, nina google ila inabidi pia ujuwe unagoogle nini?

Mengine uliyoongezea tupo pamoja sana. Walau wangelikuwepo watu milioni moja wanaoona Usanii wa Mwakyembe basi nina imani Mwakyembe kweli angelianza kutumia kichwa chake ambacho wengi tunafahamu uwezo wake.

Mkuu hawa ndo wale wanatuambia inabidi tuisifie serikali kwa kutimiza wajibu wake!! Wakati hao wezi wa nchi hii wanajua, haya wanayojaribu kutuzibia kifikra ni kutupumbaza!! Otherwize tunajua he can deliver more....hayo wanayofanya zaidi ni yale yale waliyotulisha miaka yao 50!!
 
TUSIWE WATU WA MATUKIO,TUWE WATU WA MATOKEO'''baada ya tukio la dr mwakyembe kupanda treni kutoka kigoma mpaka Tabora,je nini MATOKEO
 
Nyunyu sijapingana na Sikonge bianfsi namkubali kwa mawazo yake pevu
hapa nlikuwa napingana na Chama kwa mawazo yake na sio Sikonge

Mkuu Lokissa, Sikonge kasema vizuri sana, inahitaji brain kumuelewa!! Mwakyembe anategemewa afanye zaidi maana tunajua kichwa chake. Haya tunayoyaona ni usanii tu, maana kama kweli kuna mpango wa ku-revolutionalize railway transport he should have started with the railway itself!! Haya ni mazingaombwe tu!!

Ni sawa na vita dhidi ya malaria!! Haya mambo ya kutoka na kutembeza bakuli ulimwengu mzima kulia lia kuwa malaria inatuua wakati dawa tunaijua ni ukosefu wa akili za kujitegemea. KWa mfano, Halamashauri za miji, Majiji na miji nchi nzima zikiendesha kampeni ya usafi vizuri na kuhakikisha hakuna maji yanayosimama pamoja na kuhakikisha tunapulizia dawa kuua mazalia ya mbu ni solution tosha kupunguza kwa kiwango kikubwa malaria kama si kumaliza!!!

We nzetu njia zinazotumika za kuomba omba wanaziiita sera nzuri za chama chao!!! Haya bana...
 
sipingi kuifufua ila napinga kuifufua na kuishia hapo bila kusonga mbele zaidi kiteknolojia
kwani hiyo mipango tukielezwa kuna siri gani? ni kampuni ya mtu binafsi?
bila uwazi maendeleo hayawezi kupatikana.
badala ya kuelewa hoja unakimbilia matusi
jifunze kuelewa hoja na kuichambua usiwe mtu wa kukariri
Hizo diesel powered engine zinatumika kila kona ya dunia gani?
huu ni mwaka wangu wa nne niko madongo kuinama sijaziona hizo tren za diesel.labda unipe mfano halisi

Wewe acha porojo tuliza akili yako unataka mpango wa maendeleo wa Mwakyembe aje auposti hapa JF? Hivi unaelewa unachokisema au Diesel powered zinatumika na zinaendelea kutumika duniani na bado zinaendelea kutengenezwa treni za mizigo zinatumia engine diesel, usiwe kama kiziwi uliposikia umeme basi kila kitu ni umeme; muulize huyo mtalaam wako Sikonge; Hapa Marekani CSX; Pacific Railways wasafirishaji wakubwa wa mizigo wanatumia diesel powered engines ndio zenye kuhimili mzigo; kama hujui nyamaza usiongee pumba hazina maana; mnachangia kuijaza server bila sababu za msingi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Huyo jamaa ana ushamba mwingi sana anapenda sana kutukana wenzake na kukejeli na kujiona anajua sana kumbe Lukurungu tu.

Kuna siku aliingia anga zangu akaleta matusi yake na kejeli nikampa za uso kwenye PM akakimbilia kwa mods nikapigwa ban nikatangaza vita na yeye alivyokuwa muoga akakimbilia kuniweka kwenye IGNORE LIST yake.

Mkuu chama, hawa dawa yao za uso tu. kujisifia kwingi hakuna lolote.

Sasa mambo ya kutumia condom kwa wazazi inahusu.

Mkuu Ritz
Najua wanachohangaika chama ale ban nimeshajua wanachotafuta nimemjibu kiungwana sana; waungwana kazi yetu ni kuwafundisha washenzi maadili; hata hivyo si unawajua wakiishiwa na hoja kazi yao ni kukimbilia matusi simshangai; natafuta mahusiano ya condom na treni bado sijayaona

Nimependa sana majibu yako murua ya kiungwana umetoa darsa kubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
So it took you like SEVEN hours to figured that out? Seriously!!!

You want us to believe you are in US kwa kichwa?

You can believe whatever you want to believe; we have time differences so it may take even 10 hours to respond depend on my time and never forget I have other business to take care of; I`m so proud of myself I pave the way on my own; thanks to CCM and the government of Tanzania for giving me the opportunity; the education I had in Tanzania opened the door the for me.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Safi sana. ukiwa kiongozi ule meza moja na watu wako sio ujiite mheshimiwa, kiti kikubwa, mapambo mezani, mlo safi nk. wanachi wakitazama . Mwakyembe yuko na wananchi
 
Wee mtu, nilikuweka kwenye Ignore list kwa sababu ya Mvuke wako na si kwa ajili ya matusi. Mie sijawahi kutukanana na wewe hata siku moja. Ila kama unataka nikutukane, naweza kukurudisha tena kwenye listi na nikaanza kukupa ya usoni. Kama kweli Mods walikufungia basi mie sijui maana huwa nasoma kwa nadra sana habari zako hadi mtu aku-quate. Na sijawahi kupokea PM hata moja ya kwako. Angalia usije kuwa ulimwandikia Mchungaji Masanilo, na jamaa hakukulea.

Ukiniona NIPISHIE mbali maana ntakupaka USHAMBA wa Sikonge. Na nikikupaka huo ushamba, Mkweo ataanza kukuona umepaka Lipstick na wanja. Una bahati sikifahamu Ki-Eskimo maana ningekurushia laana yao, Baridiiiiii.......
By RitzMkuu chama,
Huyo jamaa ana ushamba mwingi sana anapenda sana kutukana wenzake na kukejeli na kujiona anajua sana kumbe Lukurungu tu.

Kuna siku aliingia anga zangu akaleta matusi yake na kejeli nikampa za uso kwenye PM akakimbilia kwa mods nikapigwa ban nikatangaza vita na yeye alivyokuwa muoga akakimbilia kuniweka kwenye IGNORE LIST yake.

Mkuu chama, hawa dawa yao za uso tu. kujisifia kwingi hakuna lolote.

Sasa mambo ya kutumia condom kwa wazazi inahusu.
Mkuu Ritz
Najua wanachohangaika chama ale ban nimeshajua wanachotafuta nimemjibu kiungwana sana; waungwana kazi yetu ni kuwafundisha washenzi maadili; hata hivyo si unawajua wakiishiwa na hoja kazi yao ni kukimbilia matusi simshangai; natafuta mahusiano ya condom na treni bado sijayaona

Chama
Gongo la mboto DSM
chama, hilo lilikuwa ni JIBU kwa kumuingiza hapa Tundu Lissu. Sijui aliingiaje hapo kwenye maswala ya RELI. Ndiyo maana nikaja na jambo la KIPUUZI lililo nje ya makala kabisa ili kukuonyesha kuwa unapopindisha habari, na sisi tunaweza. Sasa ushaanza kuita watu washenzi, kwani nani alianza huo USHENZI? Au ndiyo ya nyani haoni Saburi lake siyo?

Huyo jamaa yako nimemuweka kwenye IGNORE list na inamuuma kwelikweli, hahahaaaa......
 
Wewe acha porojo tuliza akili yako unataka mpango wa maendeleo wa Mwakyembe aje auposti hapa JF? Hivi unaelewa unachokisema au Diesel powered zinatumika na zinaendelea kutumika duniani na bado zinaendelea kutengenezwa treni za mizigo zinatumia engine diesel, usiwe kama kiziwi uliposikia umeme basi kila kitu ni umeme; muulize huyo mtalaam wako Sikonge; Hapa Marekani CSX; Pacific Railways wasafirishaji wakubwa wa mizigo wanatumia diesel powered engines ndio zenye kuhimili mzigo; kama hujui nyamaza usiongee pumba hazina maana; mnachangia kuijaza server bila sababu za msingi.

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chama, uliondoka wakati wa mwalimu? Sisi tupo nyumbani huku, na tunaiona hali halisi
si kwa kusimuliwa, kwasasa hatuna injini mkuu, hizi zinazofanya kazi ni vimeo tu. kwa barabarani
tunaweza zifananisha na magari ya mkaa. kahatarisha maisha yake bila sababu ya msingi.
Tungeshangilia kama angekuja kuzindua reli mpya au injin/behewa mpya.
 
ripoti hii iko wazi
chama sisi hatuna haja kujua marekani wanatumia tren za diessel kusafirisha mizigo hadi leo.
soma hii ripoti kwa makini ujue tulikotoka na tuendako
na athari za siasa katika kufanikisha miradi muhimu kama hii tanzania
hongera kwa kubeba box na kushindia kate huko marekani
http://www.mot.go.tz/images/uploads...ZI_YA_MIAKA_50_YA_UHURU_WA_TANZANIA_BARA1.pdf

Mkuu box kama linakupa riziki lina ubaya gani? Ni kweli nashindia mkate sioni ubaya ni riziki vipi mwenzangu unashindia nini? Mimi ni mtanzania najua tulikotoka na tunakoelekea; ripoti haifanyiwi mabadiliko? Kilichoandikwa jana leo kinaweza kufanyiwa marekebisho; ndio tumeanza na kufufua treni zetu.

Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Eros
Suala la kununua engines mpya lipo kwenye mipango ya serikali; sasa je ulitaka usafiri usiwepo hadi vichwa na mabehewa mapya yanunuliwe?

Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
si ndio maana nimekupa hongera Mkuu
au kuna ubaya? kushindia mkate manake ni kujinyima kwa ajili ya maendeleo yako
na taifa lako
Riporti ziko nyingi tu nzuri na tafiti nzuri lakini zinaliwa na mchwa kwenye makabati
JK aliahidi ujenzi wa reli mpya na ya kisasa wakati wa kampeni zake 2005
atamaliza na mwingine atakuja kuahidi hivo hivo.
Mkuu box kama linakupa riziki lina ubaya gani? Ni kweli nashindia mkate sioni ubaya ni riziki vipi mwenzangu unashindia nini? Mimi ni mtanzania najua tulikotoka na tunakoelekea; ripoti haifanyiwi mabadiliko? Kilichoandikwa jana leo kinaweza kufanyiwa marekebisho; ndio tumeanza na kufufua treni zetu.

Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
si ndio maana nimekupa hongera Mkuu
au kuna ubaya? kushindia mkate manake ni kujinyima kwa ajili ya maendeleo yako
na taifa lako
Riporti ziko nyingi tu nzuri na tafiti nzuri lakini zinaliwa na mchwa kwenye makabati
JK aliahidi ujenzi wa reli mpya na ya kisasa wakati wa kampeni zake 2005
atamaliza na mwingine atakuja kuahidi hivo hivo.

Mkuu nashukuru kwa hongera zako reli zitajengwa yote yanategemea vipau mbele kwenye bajeti ya serikali; ila kwasasa hivi nampa hongera nyingi Mwakyembe kwa kazi aliyoifanya; kusitishwa kwa usafiri wa reli ya kati zilikuwa ni hujuma dhidi ya wananchi; hilo ameliona na amelifanyia kazi anastahili pongezi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
ili ccm ishinde 2015, iwasimamishe mwakyembe, magufuli au kagasheki. Hawa wanakubalika
 
Big up Dr. Mwakwembe.
Btw, yaani majengo ya hiyo stesheni ya Tabora hayajabadilika hata punje (ingawaje mandhari yake imebadilika kwa kuchoka), nakumbuka miaka ya mwanzo ya themanini palikuwa hivyohivyo...:glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom