Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

Sleeping in the TRAIN the whole night? Hiyo kazi basi wapewe watu wanaolala kazini maana wataifanya kwa umahiri zaidi.

john-komba.jpg
images

Holy cow!!! Atleast Mwakyembe was working for people; he deserves per diem what about those who have just finished 2 days meeting in Dar es Salaam; did they meet for free? I am pretty much sure they were paid lucrative amount of sitting allowances

Chama
Gongo la mboto DSM
 
vyote sawa
ni zaidi ya km 450
unategema iwe safari ya saa ngapi kwa gari moshi ambalo sio la umeme?
kumbuka pia kusimama vituoni kwa muda kupishana na tren zingine kama za mizigo nk
hiyo ndi hali halisi ya nchi yetu
kama ushasafiri kuanzia kigoma kwenda tabora utajua umbali ninaotaja
kwa ndege ni dk 40 hivi au 50.

lets hope tukishakuwa na umeme wa uhakika
tutajenga reli mpya ya kisasa inayoruhusu tren za umeme
tutakodi treni za siemes german tutazitumia,tutawalipa kulingana na mkataba utakavoruhusu hadi tumalize deni
yote haya tukipata viongozi makini na wazalendo ila sio ndani ya chama chetu mfu,

Siemens-ICx.jpg

180px-90006_at_Marks_Tey_2.jpg

Mkuu Ritz
Angalia watu wengine walivyokuwa na vichwa duni ni mahodari wa kugoogle hizi treni wananoziongelea hata taifa tajiri kama Marekani hawana hivi sasa ndio wanafikiria kuwa na hizi treni za mwendo wa kasi; hivi sasa ndio wanafanya study kuwa na treni ya kasi kati ; Tanzanian hatujachalewa dizeli injini zinatumika mpaka leo sasa tatizo lipo wapi kwa sisi Tanzania kuendelea kuzitumia?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mwakyembe ndiyo NJIA YA KWELI NA USAFIRI. Train halitafika Kigoma au Mwanza bila ya Mwakyembe, HALELUYA.....
Wewe ndiye usielewa lakini wananchi wanaopata huduma ya treni hiyo wanaelewa!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Sleeping in the TRAIN the whole night? Hiyo kazi basi wapewe watu wanaolala kazini maana wataifanya kwa umahiri zaidi.

john-komba.jpg
images

Kusikiliza pumba za mtu kama Tundu Lissu kunachosha!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hivi ni macho yangu au ndio Reli ilivyo, naona kama imetafunwa na kutu na imekaa mkao wa nyoka vile.
Yaani kama ilifuliwa kwa nyundo hivi.
 
Mwakyembe ndiyo NJIA YA KWELI NA USAFIRI. Train halitafika Kigoma au Mwanza bila ya Mwakyembe, HALELUYA.....

Mkuu Sikonge
Wewe piga domo JF lakini wakazi wa Isevya na Cheyo wanajua nini umuhimu wa reli ya kati; ungekuwa mkazi wa Tabora wa kweli ungelifurahia juhudi za Mwakyembe kupigana hadi kurudisha huduma ya reli ila kwa kuwa mpo JF kwa kupewa takrima ya viposho ndio sababu mpo kupinga kila jambo hata kama wanaonufaika ni ndugu zako; mkuu hakuna anayelazimishwa kupanda hilo treni waachie wenye kuona umuhimu watalipanda.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo inatakiwa maana sasa ame-experience ukweli wa mambo na pengine aliona walivojazana kama dagaa huko last class.
 
Je unajua kwa nini HAWAKUWA na Train? Je hizi Film za Western ambazo jamaa walikuwa wakisafiri na Train haikuwa USA? Acha kudanganya watu bana. Ingawa hatujafika USA na tupo tunaishi huku SIKONGE, tunafahamu mengi tu kuhususiana na mambo ya Public Transport za USA.

USA walikuwa na Train nyingi tu ila wakaja watu WALAFI kama waliopo sasa hivi Tanzania na wakajenga Higways kibao na kujaza Filling Stations kibao kama sisi walivyotujengea kwenye kinjia cha kwenda Mwanza na Mbeya.

Sasa hivi wanataka kuanza kuzitumia RELI tena baada ya bei ya mafuta kupanda sana. Sidhani kama wataweka Line za umeme kwa sababu sheria za UJENZI zinasema kwa ukubwa wa USA, itakuwa siyo Economical. Ni sawa na hali iliyopo Tanzania kwa sababu ya ukubwa wetu wa nchi, kuweka umeme juu ya reli itakuwa kasheshe. Zanzibar inawezekana.

Nakubaliana na wewe kuwa Diesel Engine tu ndiyo zinafaa kutumika Tanzania kwa sababu ya ukubwa wake na hali ya hewa. Mambo ya nguzo ukilinganisha na uchache wa Train, hailipi kabisa. Kutumia Umeme kwa Tanzania tusahau. Labda aje Waziri mwenye kutaka misifa kama Mwakyembe atuingize kwenye kasheshe jingine kama yule PM aliyetaka kuleta Mvua ya Kichawi.

USA-train-map.jpg

Check: A guide to train travel in the USA | Coast to coast by Amtrak from $212
Mkuu Ritz
Angalia watu wengine walivyokuwa na vichwa duni ni mahodari wa kugoogle hizi treni wananoziongelea hata taifa tajiri kama Marekani hawana hivi sasa ndio wanafikiria kuwa na hizi treni za mwendo wa kasi; hivi sasa ndio wanafanya study kuwa na treni ya kasi kati ; Tanzanian hatujachalewa dizeli injini zinatumika mpaka leo sasa tatizo lipo wapi kwa sisi Tanzania kuendelea kuzitumia?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Ritz
Angalia watu wengine walivyokuwa na vichwa duni ni mahodari wa kugoogle hizi treni wananoziongelea hata taifa tajiri kama Marekani hawana hivi sasa ndio wanafikiria kuwa na hizi treni za mwendo wa kasi; hivi sasa ndio wanafanya study kuwa na treni ya kasi kati ; Tanzanian hatujachalewa dizeli injini zinatumika mpaka leo sasa tatizo lipo wapi kwa sisi Tanzania kuendelea kuzitumia?

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Tatizo la makamanda wetu ni watu wa kukurupuka ovyo...
 
Last edited by a moderator:
Kweli Nyani haoni......

attachment.php

Mkuu Sikonge
Wewe piga domo JF lakini wakazi wa Isevya na Cheyo wanajua nini umuhimu wa reli ya kati; ungekuwa mkazi wa Tabora wa kweli ungelifurahia juhudi za Mwakyembe kupigana hadi kurudisha huduma ya reli ila kwa kuwa mpo JF kwa kupewa takrima ya viposho ndio sababu mpo kupinga kila jambo hata kama wanaonufaika ni ndugu zako; mkuu hakuna anayelazimishwa kupanda hilo treni waachie wenye kuona umuhimu watalipanda.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
May God bless u, Dkt, wa ukweli coz it z more pleasure to hear on what are doing. U are a sample of optimistic leader.
 
Mkuu chama,
Sasa hivi hali za maisha kwa wakazi wa Kintiku, Saranda, Itigi, Manyoni, Bukene, Godegode. Malampaka, Pasua, safi sana Jk na Dr wa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Je unajua kwa nini HAWAKUWA na Train? Je hizi Film za Western ambazo jamaa walikuwa wakisafiri na Train haikuwa USA? Acha kudanganya watu bana. Ingawa hatujafika USA na tupo tunaishi huku SIKONGE, tunafahamu mengi tu kuhususiana na mambo ya Public Transport za USA.

USA walikuwa na Train nyingi tu ila wakaja watu WALAFI kama waliopo sasa hivi Tanzania na wakajenga Higways kibao na kujaza Filling Stations kibao kama sisi walivyotujengea kwenye kinjia cha kwenda Mwanza na Mbeya.

Sasa hivi wanataka kuanza kuzitumia RELI tena baada ya bei ya mafuta kupanda sana. Sidhani kama wataweka Line za umeme kwa sababu sheria za UJENZI zinasema kwa ukubwa wa USA, itakuwa siyo Economical. Ni sawa na hali iliyopo Tanzania kwa sababu ya ukubwa wetu wa nchi, kuweka umeme juu ya reli itakuwa kasheshe. Zanzibar inawezekana.

USA-train-map.jpg

Check: A guide to train travel in the USA | Coast to coast by Amtrak from $212

Mkuu endelea kokopy na kupaste Marekani hawana treni za kasi kama walizonazo Europe na China; hivi sasa ndio kwanza wanafanya utafiti wa awali treni ya kwanza ya mwendo wa kasi ya umeme itakuwa kati ya San Franscisco Bay area na Los Angeles Carlifornia gharama nzima ya mradi itakuwa $9.95 bilioni mradi utakamilika 2030 mkuu sipo Sikonge nakueleza vitu ambavyo ndiyo vinatawala kwenye vyombo vya habari. Mkuu Ritz jamaa anahangaika kugoogle lakini habari nzima Marekani hawana treni za umeme za Mwendo wa kasi; mwaka 2000 Amtrak ndio walianzisha treni Acela kati ya Boston na Washington DC hii kwa hapa USA ndio inaonekana ya kasi ila kwenye viwango vya dunia haimo; Acela top speed yake ni 150mph wakati China wao wana treni inapiga 302mph; mkuu Sikonge nimeshafiri na Acela na nimeshafiri na hizi train Germany siongei kwa kugoogle.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Sasa hivi hali za maisha kwa wakazi wa Kintiku, Saranda, Itigi, Manyoni, Bukene, Godegode. Malampaka, Pasua, safi sana Jk na Dr wa ukweli.

safi sana JK .... mbona kamsweka lupango yule kiongozi wenu wa kuchoma makanisa .... hilo ni sawa pia
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Sasa hivi hali za maisha kwa wakazi wa Kintiku, Saranda, Itigi, Manyoni, Bukene, Godegode. Malampaka, Pasua, safi sana Jk na Dr wa ukweli.

Mkuu Ritz
Nakumbuka ni jinsi gani wakazi wa Saranda walivyokuwa wakitegemea Reli ya kati kiuchumi; hali zao kiuchumi zitabadilika tena na kuwa bora nina uhakika wengi wanampongeza Mwakyembe kwa kurudisha usafiri.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom