Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

Hivi kwanini huyu Dr. wa Ukweli hatajwi kwenye mbio za URAIS za CCM. Mimi nafikiri Watu type ya Dr. Mwakyembe ndiyo wanaweza kuinusuru CCM isiwe Chama cha UPINZANI. Sio majangili akina Kinana.

Lakini ameni bore kutokomalia suala la Mhindi Dondha aliyetaka kukwepa USHURU wa milioni 600. Just imagine 600m Zingeweza kununua vichwa vingapi vya trein? Just thinking aloud.
 
Viongozi wa Tanzania ni wa ajabu sana.Katika hili why all the publicity.Hivi nikiwa-nunulia watoto wangu chakula najisifu kwamba nimefanya jambo kubwa sana,na la kusifiwa na watu.My goodness,si wajibu wangu.Sasa kuangalia maendeleo ya kazi zinazoendelea katika wizara yake, si sehemu ya kazi yake.Lipi la ajabu mpaka mapicha nk. Hawa jamaa wanatu-kera sana.Mtu kajenga shule anajifia,kajenga barabara anajifia.Sasa angefanya nini.Huo si wajibu wake.Wakue kiakili hawa,mbona wanashangaza.
Waziri wa uchukuzi awasiri mkoani Tabora leo tokea Kigoma.

attachment.php

Akiwasiri na train.

attachment.php

Akiteremka.

attachment.php

Akipokewa na mkuu wa mkoa Tabora
 
Pasi na shaka sijachanganyikiwa hata kidogo.....kwani nimesema uongo? Mbona ni ukweli uilo wazi kabisa watu kuchukua allowances na per diems wakati wa ziara kama hizi? Nithibitishie uongo wangu ntakuomba radhi......hebu waone mwenyewe

attachment.php
Kwani Mkuu kaenda London na Canada kubembea si ni safari ya kikazi tena kwa train kuhakikisha train hailali njiani kama italala na yeye yumo???

 
hii nchi ni sisi wenyewe tutakao ijenga. ikitokea watu (kwa mfano viongozi wetu) wanafanya kazi kwa bidii yatupasa tuwape hongera. tukienda kwa kwa mwendo huu na sisi tutafika mbali kama nchi.

Mwakyembe ni mchapakazi lakini yuko kwenye timu isiyojua kwa nini Watanzania ni masikini!!
 
Mawaziri kama Maghufuri,Mwakembe na Tibaijuka nawapa hongera zao..inaonyesha hata shule walizokwenda zinajenga nchi..

Yule waziri wa viwanda sijui yuko wapi na yeye..
 
Kwa mwendo huu hii nchi itaendelea kutawaliwa na akina Kinana milele..
Mbona hamueleweki mnachoshabikia hapa? Kupanda tren ndiyo mnaita uchapakazi?
 
Ahsante kwa kuwa karibu na watanzania wenye kipato cha kawaida.....naamini tutafika daktari
 
Ningelikuwa na hela za kutosha, ningelinunua Condom tatu tatu tu Mitanzania na kuitia mfukoni.

Yaani sijawahi kuona Ushamba mkubwa kama huu na mijitu inashangilia.

Sasa kuna uhakika gani hilo train litadumu? Mikakati gani kashaweka hadi leo ili liendelee kufanya kazi?

Mwisho, kama kujua train inalala njiani na ndani kukoje, si unaomba report tu? Wahusika wakichemsha, unawalima barua za kuwafukuza kazi na mchezo unakwisha. Kwa nini asiende siku ya ufunguzi wa train mpya kabisa na reli mpya ya upana wa Mita moja na robo badala ya hiki kinjia cha mkoloni ambacho kimebaki kwa nchi wasiotaka kubadilika kama sisi?

Kuna mengi sana ya kufanya kama Waziri. Mie ninasubiri siku atatua na UNGO huko Rukwa na mijitu ianze kushangilia kuwa jembe hilo, mchapa kazi huyo. Mtaendelea kununua HAKI zenu wenyewe kwa ujuha wa namna hii.

AMKA MTANZANIA MWENZANGU.
 
Aisee!

Kumbe jamani polonium ni mtaji! You know you are going to die either way... so WTF.

Embu tuchunguze wizara au taasisi gani muhimu zinalegalega kiutendaji, piga mawaziri/wakuu wake na hii kitu polonium waende Uhindini wakirudi watachapa mzigo kwa kwenda mbele!!

Bring on Said Mwema!!
 
Kabisa Mkuu, halafu mijitu inashangilia. Sasa tunamlaani nini Kikwete kusafiri wakati wengine pia wanasafiri kama yeye ila sema uwezo wao mdogo?

Tunatengeneza Ma-vasco Da gama wenyewe halafu mwishoni tunaanza kulialia.

Wasiosoma kweli ni chakula ya WASOMI. Kula bata Mtani wangu Mwakyembe.
And he must have pocketed a sizable per diem for the ministers visit......a merry Christmas to him afterwards
 
Ahadi 2010 ilikuwa ni standard gauge rail + electric train Dar- Mza!!!

What happened here? Au upembuzi yakinifu bado unaendelea?

Nyie kaeni kupiga domo na kelele ambazo hazina tija; wananchi wanaona matunda ya kazi yanayofanywa na serikali yao; iwe ya umeme; dizeli au makaa ya mawe lengo ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya uhakika na hilo ndilo linalofanyika.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Magazete ya leo yameripoti wizi wa shaba ya zambia umeongeze bandairini dar
 
Mkuu Lokissa,

Naona una mwanga kidogo wa mambo ila bado hujapiga shule ya KUJISOMEA. Nafikiri hizi ni Story umekuwa unapewa tu na watu na nafurahi kuwa unazikumbuka vizuri. Au tuseme umekaa majuu na kupata mwanga kidogo.

Tanzania ni nchi kubwa nakubaliana na wewe ila kwa Train bado si kubwa sana. Kwa ndege nilishasafiri hadi Kigoma kutoka Tabora ni saa moja. Ila inategemea unatumia ndege gani maana speed zinapishana.

Kigoma Tabora ni karibu sana kwa Train na ilitakiwa tusafiri kwa masaa SITA yaani nusu ya muda aliosafiri Mwakyembe. Inawezekana kabisa kwa Train za Tanzania kwa sababu na ZENYEWE NI ZA UMEME.

Hahahaa, naona unatoa macho kusoma neno TRAIN ZA UMEME wakati hujaona waya za umeme na hapo unafikiri mie ninakudanganya. Hapana, nakuambia ukweli kabisa. Vile vichwa vya Train siyo kama yalivyo maroli au magari. Lile dubwana ni GENERATOR ya UMEME na linazalisha umeme ambao unatumika kuendesha Train na wakati huo huo kwa matumizi ya ndani ya Mabehewa kama umeme, kupikia, kuwasha vifaa vya Umeme(electronics) nk.

Ndiyo maana ukiangalia vizuri, baadhi ya mabehewa utaona MOTORS ambazo huzungushwa na umeme kusaidia dubwana lipande milima. Na utajua ni TRAIN la umeme kwa sababu, kutoka Speed 0 km/hr hadi 40 km/hrs linapoondoka Railway Station kama Dodoma, huchukua muda mfupi sana .

Kwa maana hiyo, likiwa kama TRAIN LA UMEME, linaweza kabisa kwenda hadi 80 km/hrs na huo nina uhakika kabisa ila tatizo ni RELI na Mabehewa yetu yatahilimi? Ile Reli ni Nyembamba sana na train haiwi STABLE inapotembea maana ina upana wa 1 meter na kwa kawaida kwa sasa duniani wengi wanatumia upana wa Mita kama moja na robo hivi. Na wengine huenda hata 1.4**meters.

Nilitegemea Mwakyembe kama msomi, aanze na mabadiliko kama hayo ya kupanua reli ila na yeye anatafuta WASHANGILIAJI na Wapambe ambao naona kawapata wengi kama Kumbi kumbi.
vyote sawa
ni zaidi ya km 450 unategema iwe safari ya saa ngapi kwa gari moshi ambalo sio la umeme?
kumbuka pia kusimama vituoni kwa muda kupishana na tren zingine kama za mizigo nk
hiyo ndi hali halisi ya nchi yetu kama ushasafiri kuanzia kigoma kwenda tabora utajua umbali ninaotaja
kwa ndege ni dk 40 hivi au 50.

lets hope tukishakuwa na umeme wa uhakika tutajenga reli mpya ya kisasa inayoruhusu tren za umeme
tutakodi treni za siemes german tutazitumia,tutawalipa kulingana na mkataba utakavoruhusu hadi tumalize deni
yote haya tukipata viongozi makini na wazalendo ila sio ndani ya chama chetu mfu,

Siemens-ICx.jpg

Asante kwa picha ya TRAIN nzuri ya Mgeruman, ICE.
 
And he must have pocketed a sizable per diem for the ministers visit......a merry Christmas to him afterwards

Holy cow!!! Atleast Mwakyembe was working for people; he deserves per diem what about those who have just finished 2 days meeting in Dar es Salaam; did they meet for free? I am pretty much sure they were paid lucrative amount of sitting allowances

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Waziri wa uchukuzi awasiri mkoani Tabora leo tokea Kigoma.

attachment.php

Akiwasiri na train.

attachment.php

Akiteremka.

attachment.php

Akipokewa na mkuu wa mkoa Tabora

Watanzania wenzangu cha ajabu ni nini kwa train kuwasili Tabora baada ya maudhi masumbuko na adha ya ajabu kwa wananchi? Serikali ya magamba iwatake radhi wananchi wa Tanzania na hasa wale wanaoguswa kw karibu kutokana na na kukosa/kusitishwa kwa huduma hii muhimu kwa muda wote huu. Hakuna sababu za msingi zilizotolewa kwa usumbufu huu na sasa tunafanyiwa ajizi eti train imeanza kazi!!! Si ilikuwepo? Nini kilitokea hadi huduma hii kukosekana muda wote huu? Mwakyembe asante kwa kufanya kazi kwa bidii ila uko in the wrong boat sorry about that.
 
Thats exactly my question.......yeye Dr kupanda treni then what? Kwamba hajawahi kupanda treni au kupanda kwake kunaimarisha huduma? Au ni public stunt mpya?...wengine hawaelewi wanaishia matusi tu

Wewe ndiye usielewa lakini wananchi wanaopata huduma ya treni hiyo wanaelewa!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom