Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

Sikuwa na maana hiyo. Anyway, kama hukuelewa JOKE yangu basi poa, yaishe 🙂
Mkuu Sikonge Durex ni aina ya condom umegusia kama wazazi wengine wangekuwa wakivaa Durex maana yake nini kama sio matusi? Kwa ujumla maana yake ni kuwa kama hao wazazi unaowaongelea wangevaa condom basi watoto wasingezaliwa na kwasababu uliquote post yangu hapo ulimaanisha ni mimi nimekujibu kiungwana sana jibu ambalo ningetoa nina uhakika Mods wangetoa ban; labda nikuulize kuna mahusiano gani kati condom na train? Mkuu mimi ni mtoto wa mkulima na mfanyakazi sikuletwa US na pesa za kifisadi kichwa changu tu mkuu na sera za elimu kupitia CCM

Chama

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Sasa mtu kuanda train nako imekuwa hoja?? Wananchi wanataka maendeleo na si mazingaombwe yasiyokuwa na tija!!

Hivi kama itokee shangazi yako awe mahututi na idhaniwe awe tayari amekufa huku wanandugu mkiwa hoi mnamlilia maiti akitokea daktari na kutoa CPR na kufanikiwa kumfanya shangazi yako moyo wake uanze kupiga tena hautampongeza daktari kwa kazi yake?

Chama

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
akili za panzi utazijua tu
hizo treni za uhakika zitakujaje bila mipango yakinifu?
tangu mwanzo nimeunga mkono juhudu za mwakyembe
kama mzee wa field na sio mtu wa kusubiri ripoti ofisini
nkazungumzia maendeleo ya baadae kuwa huenda na
sisi tukafika walipo wenzetu tukiwa na mikakati endelevu
hoja ya marekani kutokuwa au kuwa na tren ya mwendo kasi haina mshiko hapa
hapa tunaangalia mustkhabali wa reli yetu kuendana na teknolojia ya sasa
kusafiri na tren kwa waziri sio hoja, hoja ni kuwa ana mikakati gani?
serikali itampa support?wananchi je?
kuifufua tren ya abiria inayotumia teknolojia ile ilele kwa reli ilele bado hatujasonga mbele
tunarudi kule kule,
sasa wewe unakurupuka kuandika nini kama hujaelewa?

Treni iliyopo ya kasi Marekani Acela inakwenda 150mph; China inakwenda 302mph Marekani hawana treni ya kasi hivi sasa ndio California wameanza kuuza Bonds ili kupata pesa za kugharimia ujenzi wa treni ya kati ya San Fransisco na Los Angeles; Marekani hawana treni ya mwendo kama zilizopo ulaya na Asia; kichwa hakipo barabara mipango ya maendeleo ipo ; huku kuifufua treni ya abiria ni moja kati ya mipango ya serikali; usiwe unakifikiria kama vile kichwa kimejaa uyoga badala ya ubongo; watanzania wanachohitaji ni usafiri wa uhakika kati ya point A na B; hizi porojo na pumba tafuteni sehemu nyingine mzitapike

Chama
Gongo la mboto DSM
 
akili za panzi utazijua tu
hizo treni za uhakika zitakujaje bila mipango yakinifu?
tangu mwanzo nimeunga mkono juhudu za mwakyembe
kama mzee wa field na sio mtu wa kusubiri ripoti ofisini
nkazungumzia maendeleo ya baadae kuwa huenda na
sisi tukafika walipo wenzetu tukiwa na mikakati endelevu
hoja ya marekani kutokuwa au kuwa na tren ya mwendo kasi haina mshiko hapa
hapa tunaangalia mustkhabali wa reli yetu kuendana na teknolojia ya sasa
kusafiri na tren kwa waziri sio hoja, hoja ni kuwa ana mikakati gani?
serikali itampa support?wananchi je?
kuifufua tren ya abiria inayotumia teknolojia ile ilele kwa reli ilele bado hatujasonga mbele
tunarudi kule kule,
sasa wewe unakurupuka kuandika nini kama hujaelewa?

Sasa mipango yakinifu unataka uelezwe hapa JF? Mkuu kichwani kuna uyoga au ubongo? kwa akili yako ulitaka wananchi wa wanaohudumiwa na reli kati wasipate huduma wakae wakisubiri hiyo mipango yako yakinifu? Shule gani ya kata umekwenda? Diesel powered engine bado zinatumika kila kona ya dunia sasa kuna ajabu gani Tanzania tukiendelea kuzitumia; wananchi wanafurahia huduma wote wameipokea kwa mikono miwili wewe usiipande subiri hiyo mipango yako yakinifu lakini tunaendelea kutoa huduma kwa wananchi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
sipingi kuifufua ila napinga kuifufua na kuishia hapo bila kusonga mbele zaidi kiteknolojia
kwani hiyo mipango tukielezwa kuna siri gani? ni kampuni ya mtu binafsi?
bila uwazi maendeleo hayawezi kupatikana.
badala ya kuelewa hoja unakimbilia matusi
jifunze kuelewa hoja na kuichambua usiwe mtu wa kukariri
Hizo diesel powered engine zinatumika kila kona ya dunia gani?
huu ni mwaka wangu wa nne niko madongo kuinama sijaziona hizo tren za diesel.labda unipe mfano halisi
Sasa mipango yakinifu unataka uelezwe hapa JF? Mkuu kichwani kuna uyoga au ubongo? kwa akili yako ulitaka wananchi wa wanaohudumiwa na reli kati wasipate huduma wakae wakisubiri hiyo mipango yako yakinifu? Shule gani ya kata umekwenda? Diesel powered engine bado zinatumika kila kona ya dunia sasa kuna ajabu gani Tanzania tukiendelea kuzitumia; wananchi wanafurahia huduma wote wameipokea kwa mikono miwili wewe usiipande subiri hiyo mipango yako yakinifu lakini tunaendelea kutoa huduma kwa wananchi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Huyo unayemsifia apige kazi sisi Kyela tuliompa Ubunge tunamuangalia tu!

Tuna meli chakavu zinazohatarisha maisha ya wapiga kura wake lkn toka apate uwaziri huo HAJAWAHI ZITEMBELEA meli hizo aone adha tunazozipata lkn kila siku tunamuona kwenye media akikagua bandari ya Dar!

hajawahi kupanda daladala za Kyela-Tukuyu-Mbeya kuona usumbufu tunaoupata wapiga kura wake lkn kila siku tunamuona akipanda treni za Tabora na Dodoma!!

Na huwa tunamsoma na kumsikia akiwaandalia usafiri bora wakazi wa Dar lkn HAJAFANYA hivyo kwenye Jimbo lake lenye matatizo makubwa ya usafiri hasa wakati wa masika kutoka Kyela Mjini kwenda Ipinda na njia ya Ikolo anapotoka!

Haki ya Mungu naapia mwaka 2015 labda Dr Mwakyembe akagombee majimbo ya Dar,au majimbo ya Dodoma au huko Tabora maana ndiyo anawasaidia zaidi!

Kyela ilipaswa iwe kwanza then utaifa baadae
 
Hivi kama itokee shangazi yako awe mahututi na idhaniwe awe tayari amekufa huku wanandugu mkiwa hoi mnamlilia maiti akitokea daktari na kutoa CPR na kufanikiwa kumfanya shangazi yako moyo wake uanze kupiga tena hautampongeza daktari kwa kazi yake?

Chama

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mtu hupongezwa kwa kufanya la "ziada" juu ya wajibu wake na si vinginevyo
 
Mkuu Sikonge Durex ni aina ya condom umegusia kama wazazi wengine wangekuwa wakivaa Durex maana yake nini kama sio matusi? Kwa ujumla maana yake ni kuwa kama hao wazazi unaowaongelea wangevaa condom basi watoto wasingezaliwa na kwasababu uliquote post yangu hapo ulimaanisha ni mimi nimekujibu kiungwana sana jibu ambalo ningetoa nina uhakika Mods wangetoa ban; labda nikuulize kuna mahusiano gani kati condom na train? Mkuu mimi ni mtoto wa mkulima na mfanyakazi sikuletwa US na pesa za kifisadi kichwa changu tu mkuu na sera za elimu kupitia CCM

Chama

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mkuu chama,
Huyo jamaa ana ushamba mwingi sana anapenda sana kutukana wenzake na kukejeli na kujiona anajua sana kumbe Lukurungu tu.

Kuna siku aliingia anga zangu akaleta matusi yake na kejeli nikampa za uso kwenye PM akakimbilia kwa mods nikapigwa ban nikatangaza vita na yeye alivyokuwa muoga akakimbilia kuniweka kwenye IGNORE LIST yake.

Mkuu chama, hawa dawa yao za uso tu. kujisifia kwingi hakuna lolote.

Sasa mambo ya kutumia condom kwa wazazi inahusu.
 
Last edited by a moderator:
Hongera Dkt Mwakyembe upo tofauti sana na viongozi wengine ndani ya ccm,heshima kwako.
 
Mtu hupongezwa kwa kufanya la "ziada" juu ya wajibu wake na si vinginevyo

Kwei kabisa, kapanda treni ya abiria wakati hakuna hata treni moja ya mizigo inayotembea..engines na mabehewa vinahitajika kwa sasa...serikali imeruhusu kununua mitumba basi iingie hapo kwa Madiba(S.Africa) inunue engines at least 6 na hizo zinazokarabatiwa nadhani tutakuwa tumesogea...Kingine ni maslahi ya wafanyakazi yaboreshwe huwezi lipa dereva/fundi wa treni tsh.81000/- utegemee tija nzuri.
 
Mtu hupongezwa kwa kufanya la "ziada" juu ya wajibu wake na si vinginevyo

HAPANA.....unakosea na hasa katika zile nasaba za uongozi......kutimiza wajibu ni pamoja na kutimiza malengo uliyojiwekea........tafiti ujue malengo yalikuwa ni yapi ndio umuhukumu kwa hilo na sio vinginevyo.....

...na kama mwananchi....kutoa pongezi pia ni wajibu wetu.........pale tunapoona kuna muelekeo wa maendeleo........kufanya hivyo ni kutoa motisha/encouragement...........na wala hatumuambii ndio mwisho wa yeye kutimiza majukumu mengine..........
 
Tuache ujinga ndugu zangu.hivi mwakyembe ni mungu?hivi wanaopanda treni ni mashetani?kama ni binadamu ikama mwakyembe cha ajabu hapo ni kipi?tujadili vitu vyenye yija na tuache ushabiki wa kijinga
 
Vitu vyenye tija kwa vigezo vyako ni vipi mkuu tuvijadili ili tuache ujinga.
 
hivi hujui kuwa kinana naasafirisha meno ya tembo?umeme u nakatika kila muda hakuna majibu ya kueleweka.hivi mabilioni ya uswis yatarudi?zile za epa vipi wezi waliosamehewa wamerudisha zote?
 
Haya kama wewe ni mtaalamu wa Train: What means Combined Transport in Railway Cargo? Why it's so useful in Country like Switzerland? (Kama ku-google unapata majibu yote, haya mwagika sasa Mzee wa Marehemu kuku wa KFC).

Sikonge unapoteza muda maana mtu unayejaribu kumuelewesha, its like -ve and +ve= Repelling!!! Hapo kwenye red bold, unamanisha yale mabehewa yanachokukua mizigo bila kushusha mzigo unapotaka kubadilisha mode of transport!! Yaani dude lote linahamishwa na kuwa attached to truck maisha yanaendelea?
 
Mkuu Sikonge Durex ni aina ya condom umegusia kama wazazi wengine wangekuwa wakivaa Durex maana yake nini kama sio matusi? Kwa ujumla maana yake ni kuwa kama hao wazazi unaowaongelea wangevaa condom basi watoto wasingezaliwa na kwasababu uliquote post yangu hapo ulimaanisha ni mimi nimekujibu kiungwana sana jibu ambalo ningetoa nina uhakika Mods wangetoa ban; labda nikuulize kuna mahusiano gani kati condom na train? Mkuu mimi ni mtoto wa mkulima na mfanyakazi sikuletwa US na pesa za kifisadi kichwa changu tu mkuu na sera za elimu kupitia CCM

Chama

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

So it took you like SEVEN hours to figured that out? Seriously!!!

You want us to believe you are in US kwa kichwa?
 
akili za panzi utazijua tu
hizo treni za uhakika zitakujaje bila mipango yakinifu?
tangu mwanzo nimeunga mkono juhudu za mwakyembe
kama mzee wa field na sio mtu wa kusubiri ripoti ofisini
nkazungumzia maendeleo ya baadae kuwa huenda na
sisi tukafika walipo wenzetu tukiwa na mikakati endelevu
hoja ya marekani kutokuwa au kuwa na tren ya mwendo kasi haina mshiko hapa
hapa tunaangalia mustkhabali wa reli yetu kuendana na teknolojia ya sasa
kusafiri na tren kwa waziri sio hoja, hoja ni kuwa ana mikakati gani?
serikali itampa support?wananchi je?
kuifufua tren ya abiria inayotumia teknolojia ile ilele kwa reli ilele bado hatujasonga mbele
tunarudi kule kule,
sasa wewe unakurupuka kuandika nini kama hujaelewa?

Mkuu Lokissa, Sikonge kasema vizuri sana, inahitaji brain kumuelewa!! Mwakyembe anategemewa afanye zaidi maana tunajua kichwa chake. Haya tunayoyaona ni usanii tu, maana kama kweli kuna mpango wa ku-revolutionalize railway transport he should have started with the railway itself!! Haya ni mazingaombwe tu!!

Ni sawa na vita dhidi ya malaria!! Haya mambo ya kutoka na kutembeza bakuli ulimwengu mzima kulia lia kuwa malaria inatuua wakati dawa tunaijua ni ukosefu wa akili za kujitegemea. KWa mfano, Halamashauri za miji, Majiji na miji nchi nzima zikiendesha kampeni ya usafi vizuri na kuhakikisha hakuna maji yanayosimama pamoja na kuhakikisha tunapulizia dawa kuua mazalia ya mbu ni solution tosha kupunguza kwa kiwango kikubwa malaria kama si kumaliza!!!

We nzetu njia zinazotumika za kuomba omba wanaziiita sera nzuri za chama chao!!! Haya bana...
 
Back
Top Bottom