vipi wananchi wanaopanda kila siku,au wanaostaili usalama ni viongozi tu.?Ana amini hayo matrain? Ana hatarisha maisha yake
Safi sana Dr wa ukweli piga kazi.
mkuu ntatizo tukiwapongeza washenzi wachache wanachukia na kutamani kuwaua kwa sababu ya wivu wa kuonekana kuwa hawatendi.hii nchi ni sisi wenyewe tutakao ijenga. ikitokea watu (kwa mfano viongozi wetu) wanafanya kazi kwa bidii yatupasa tuwape hongera. tukienda kwa kwa mwendo huu na sisi tutafika mbali kama nchi.
aisee nampa hongera ni mwendo mrefu karibu saa 12 au zaidi
kigoma had Tabora sio mchezo
nakumbuka sana hizi safari.ndio utajua nchi yetu ni kubwa.
Acha kina Mwakyembe wapige kazi hao waliolala tutawaamsha kwa viboko
Chama
Gongo la mboto DSM
kazi gani anachapa huko Tabora?
Nchi kubwa/ distance kubwa au chombo cha usafiri ni very slow?
Wengine wanakazana kuficha fedha zetu Uswiss na kwingineko which is which guys, wezi wachapa kazi na wakosoaji????Mkuu chama,
Muda wa maneno hakuna ni vitendo tu...wengine wanawatumikia wananchi wengine wanashindana kutajwa CNN.
Baada ya kutua kwa gari moshi Tabora then what?
Safi sana Dr wa ukweli piga kazi.
Hawezi kupondwa maana yeye ni mchapa kazi,sio fisadi wala mla rushwa kwa nini apondwe, ila anatumika kwenye system mbovu!!!Ngoja wafike mapapa wa CDM humu jf, lazima watampondea.
Who is this guy sneering here
![]()