vyote sawa
ni zaidi ya km 450
unategema iwe safari ya saa ngapi kwa gari moshi ambalo sio la umeme?
kumbuka pia kusimama vituoni kwa muda kupishana na tren zingine kama za mizigo nk
hiyo ndi hali halisi ya nchi yetu
kama ushasafiri kuanzia kigoma kwenda tabora utajua umbali ninaotaja
kwa ndege ni dk 40 hivi au 50.
lets hope tukishakuwa na umeme wa uhakika
tutajenga reli mpya ya kisasa inayoruhusu tren za umeme
tutakodi treni za siemes german tutazitumia,tutawalipa kulingana na mkataba utakavoruhusu hadi tumalize deni
yote haya tukipata viongozi makini na wazalendo ila sio ndani ya chama chetu mfu,