Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Yaani wakishapataga au kuwa among those who enjoy the nation cake wanasahau shida zetu wengineHuyu jamaa unafiki wake umevuka kiwango ?
Yaani wakishapataga au kuwa among those who enjoy the nation cake wanasahau shida zetu wengineHuyu jamaa unafiki wake umevuka kiwango ?
Ni aina ya watu akili ndogo lakini wanalazimisha jamii iwaone kama ni AKILI KUBWAHuyu wazir Sijawah kumuelewa. Na naomba niendelee kutomuelewa hivyo hivyo
Hawana mipango yoyote wala mawazo yoyote mapya ya kuwakoa vijana wa taifa hili. Wamegawiwa kiketi cha taifa basi, wanadharau wengine huku wao binafsi wamekaa kama midoli tu.Yaani wakishapataga au kuwa among those who enjoy the nation cake wanasahau shida zetu wengine
Exactlyhuyo hanaga la maana analoongea...wa kumsamehe tu
Lakini wao hawataki kuacha kazi wajiajiri, tuone mfano.Halafu nimegundua watu walioajiriwa ndo kinara wa kuwaambia wasio na ajira wajiajiri.
Masikini Vijana wa TanzaniaMaskini Tanzania.....
Hao MACHINGA wanaopigwa MABOMU kila siku MABARABARANI hawajiajiri ?Ccm,mwenzio huyo.
Mjiajiri tu.ndo sera za viongozi wenu.
Hata wewe ungekuwa kwenye system ungekuwa kama huyo anayejiita hamis.mvumilie tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu nimegundua watu walioajiriwa ndo kinara wa kuwaambia wasio na ajira wajiajiri.
KWELI AISEE!Lakini wao hawataki kuacha kazi wajiajiri, tuone mfano.
Umeanza lini mkuu kuwaponda wenzakoCcm,mwenzio huyo.
Mjiajiri tu.ndo sera za viongozi wenu.
Hata wewe ungekuwa kwenye system ungekuwa kama huyo anayejiita hamis.mvumilie tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini kama huwa anaelewa anachozungumzaDr. Hamis Kingwangala kwenye ubora wake
[emoji15] [emoji15] [emoji15] .sijawahi kuwa ccm.hata kiutani.tangu nipo tumboni mwa mama yangu nilikuwa upinzani,na nita kufa mpinzani,Umeanza lini mkuu kuwaponda wenzako
sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
Mtu aliyeBOOSTIWA kwa msaada wa WAMA na mpaka leo yupo serikalini kama MDOLI tu. Hana wazo jipya loloteUyu ni yule alienunua vyeti?