kenyamanyori
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 734
- 328
Huu ni unafiki kwani huwa haingii katika vikao vya Baraza la mawaziri na kama anaingilia au boss wake anaingia kwa nini hajui TAKWIMU za serikali?Acha unafiki huo!
Hivi siku hizi kameenda wapi haka kashikaji?Be Joseverest to reply
Kuna mawaziri wapumbavu.
[emoji23] [emoji23]Umeniwahi leo. Kesho zamu yangu...
Tatizo serikali haitaki kuendana na kasi ya sayansi na teknolojia ndo maana bado wanang'ang'ana na paper work.Self assesment online ingetosha kabisa kupunguza huo umati...
Weka test online kwa kila anayelog-in, ajichuje na kujiasses mwenyewe. TUNASOMA KUPUNGUZA MATATIZO NA SIO KUONGEZA MATATIZO..
Huyu jamaa unafiki wake umevuka kiwango ?Unafki haujawahi acha mtu salama
Huyu jamaa unafiki wake umevuka kiwango ?Unafki haujawahi acha mtu salama