Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
[emoji15] so do you want to tell us he also bashited?Uyu ni yule alienunua vyeti?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] so do you want to tell us he also bashited?Uyu ni yule alienunua vyeti?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu jamaa bora aendelee tu kupigania majukwaa ya siasa, maana atakuja ua watu kwa dozi feki wodini naona km hajielewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitahadharisha kitu gani ?Tuliwatahadharisha mapema sana lakini mkatupuuza , msilie .
Mfano tu WIZARA YA AFYA tangu 2015 haijaajiri, kuna INTAKE kama 3 za wahitimu ziko mitaani, then mtu anajitoa akili na haoni tatizo loloteTatizo la ajira
Akili za usiku
Anashangaza sana huyu jamaaMe huwa namuona kweny Facebook page yake..
Anachopost hakieleweki.
Anajifanya inspirator... Motivator.
Huyu mh n mnafiki sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani wanaJF,
Kiukweli kati ya viongozi ambao sijawahi kumwelewa ni huyu anayejiita khamis Kigwangalla ,ni aina ya mwanasiasa anayependa kuishi kama celebrity na kujaribu kuwahadaa na kuwadanganya watu kwa falsafa zake ambazo hata yeye haziamini.
- Leo eti anashangaa vijana wengi kwenda kwenye usaili wa TRA ??
- Yaani baada ya utumishi kuwatesa watu kwa kuwatoa mbali huko kama KIGOMA na kuja kwenye usaili hapa Dar yeye hata hajui kama TATIZO LA AJIRA ni ZITO NCHI HII, sijui alipochukua fomu ya urais alimaanisha nini kama hata MATATIZO YA VIJANA hayajui ?
- Umeshindwa kuwasaidia hata vijana wanaohitimu vyuo vya afya kupata vyeti vya NACTE umebaki na DRAMA na DHIHAKA tu kwa vijana wa taifa hili wanaoteseka na JINAMIZI LA UKOSEFU WA AJIRA.
- Unaambiwa vijana wajiajiri, watajiajiri vipi wakati hawapewi TAX HOLIDAYS wala GRACE PERIODS. Gharama za usajili wa Makampuni kwa fresh graduates ni kubwa, hakuna benki inawaamini hata kwa mikopo, unataka wajiajiri vipi, wawe MACHINGA ili muwapige MABOMU ?
HajielewiMuulize yeye kwanini hajiajiri yuko busy kuhonga ili aendelee kupata Ubunge
Inasikitisha sanaHuyu jamaa hata mimi ninamashaka na elimu yake, naona haijamsaidia anachoongea na hadhi yake katika jamii inayomzunguka na kumtegemea ni bora hata mvuta bangi unaweza kuambulia cha kujifunza kuliko anayoyasema yeye!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajielewi
- Hata mambo madogo tu wameyafanya yamekuwa magumu ili tu wawakomeshe vijana wa taifa hili. Vijana wa taifa hili ni kama wako JEHANNAMAtajielewa wapi wakati wameshagawana KEKI ya Taifa wanakula na nyingine wanasigina chini ili tuumie??UKitaka kujua namna wanavyoisigina check bungeni wanavyotoa ushuzi
VijanaKitumbo ndiii, hawezi kukumbuka shida za watu. Unafiki wa hali ya juu sana
Hivi mtu GRADUATE asiye hata na MIA atapata wapiKikivutwa tu kipyenga wakwanza kukimbilia kwao nzega kuomba ajira kwa wavuja jasho wa kikulima wakishampa anaanza kuwananga vijana mkajiajiri yeye kinachomshinda kujiajiri ni nn kama si unafiki unamsumbua..
Sent using Jamii Forums mobile app