Dr Hamis Kigwangala ahoji tatizo la ajira nchini

Dr Hamis Kigwangala ahoji tatizo la ajira nchini

Huyu jamaa unafiki wake umevuka kiwango ?

- Hata wizara ya AFYA Serikali haijaajiri tangu 2015, na kila mwaka watu wanahitimu hivi yeye kwa akili yake anadhani hao magraduates wanaenda wapi ??
Mtaisoma namba .
 
mange alisema Ana file la kigwangala ngoja niongee nae atupe uyu anakula na kusaza analeta nyodo
 
Screenshot_20170830-221939.png


May Allah bless Me and You
 
Hiyo ndo serikali ya mabashite,kuanzia kichwani hadi midomoni.alafu anakomaza juso kuongea pumba,wakati hata vyeti vyake ni utata mtupu ! Mungu hawa wanaoneemeka kwa jasho letu,alafu wanadhihaki watoto wetu,nena nao hata kwandoto,waone kiama chao kitakavyo fanana,ili wawe na adabu midomoni mwao.Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani wanaJF,

Kiukweli kati ya viongozi ambao sijawahi kumwelewa ni huyu anayejiita khamis Kigwangalla ,ni aina ya mwanasiasa anayependa kuishi kama celebrity na kujaribu kuwahadaa na kuwadanganya watu kwa falsafa zake ambazo hata yeye haziamini.

- Leo eti anashangaa vijana wengi kwenda kwenye usaili wa TRA ??
- Yaani baada ya utumishi kuwatesa watu kwa kuwatoa mbali huko kama KIGOMA na kuja kwenye usaili hapa Dar yeye hata hajui kama TATIZO LA AJIRA ni ZITO NCHI HII, sijui alipochukua fomu ya urais alimaanisha nini kama hata MATATIZO YA VIJANA hayajui ?
- Umeshindwa kuwasaidia hata vijana wanaohitimu vyuo vya afya kupata vyeti vya NACTE umebaki na DRAMA na DHIHAKA tu kwa vijana wa taifa hili wanaoteseka na JINAMIZI LA UKOSEFU WA AJIRA.
- Unaambiwa vijana wajiajiri, watajiajiri vipi wakati hawapewi TAX HOLIDAYS wala GRACE PERIODS. Gharama za usajili wa Makampuni kwa fresh graduates ni kubwa, hakuna benki inawaamini hata kwa mikopo, unataka wajiajiri vipi, wawe MACHINGA ili muwapige MABOMU ?
Well said mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: lnx
Akashangae FERI shilingi inazama meli inaeleaaa

Ova
 
Back
Top Bottom