Dr Hamis Kigwangala ahoji tatizo la ajira nchini

Dr Hamis Kigwangala ahoji tatizo la ajira nchini

wilcoxon

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2017
Posts
1,266
Reaction score
3,389
Kuna mtu ananiambia hii ni maeneo ya TRA ambapo wataalamu walijitokeza kwa usaili wa ajira.

Maswali yameniijia kichwani;

1. Ni kwamba kuna nafasi chache sana za ajira nchini ama watu wetu wanachagua sana kazi za kufanya?

2. Je, hakuna utaratibu bora zaidi, wenye staha na heshima, unaoweza kutenda haki kirahisi zaidi kuliko huu?

FB_IMG_1504087392204.jpg

Chanzo : ukurasa wake wa facebook
 
Sasa anamhoji nani wakati yeye anatakiwa kutoa majibu!? Mtu wa serikari ambaye anaweza kuwa kielelezo kizuri cha ukosefu au upatikanaji wa ajira ni aliyekuwa DC wa Uyui maana aliachia nafasi akajirudia kwenye ujasiriamali. Wengine ni kelele za kinafiki tu na woga.
 
Kuna mtu ananiambia hii ni maeneo ya TRA ambapo wataalamu walijitokeza kwa usaili wa ajira.

Maswali yameniijia kichwani;

1. Ni kwamba kuna nafasi chache sana za ajira nchini ama watu wetu wanachagua sana kazi za kufanya?

2. Je, hakuna utaratibu bora zaidi, wenye staha na heshima, unaoweza kutenda haki kirahisi zaidi kuliko huu?

View attachment 578093

Chanzo : ukurasa wake wa facebook
Ooohhh, Jesus
 
Unajua Mimi huwa Kigwangalla simuelewagi kabisa au kwa kuwa naye wanasema kaghushi? Yuko serekalini why asingemwita waziri Kairuki akamshauri anakimbilia kwenye mitandao ya kijamii wakati yeye ni kiongozi kwenye serekali husika? Sishangai ndio maana bosi wao aliwaita wapumbavu, nami nasema kweli baadhi ya mawaziri kwenye serekali hii ni wapumbavu.
 
Serikali anaihoji na kuilaumu Serikali...badala ya kuleta majawabu!
Damnit!
 
Tasisi ni zilezile ila wahitimu wanaongezeka kila mwaka mara 300,kwahiyo tatizo ni kubwa sana
 
Miaka yote hii ya kuwa Mbunge na Waziri mdogo hajui jibu la hili? Huyu atakuwa mmoja wa Mawaziri wapumbavu ambao hawakustahili kuwa Mawaziri wala Wabunge.

Kuna mtu ananiambia hii ni maeneo ya TRA ambapo wataalamu walijitokeza kwa usaili wa ajira.

Maswali yameniijia kichwani;

1. Ni kwamba kuna nafasi chache sana za ajira nchini ama watu wetu wanachagua sana kazi za kufanya?

2. Je, hakuna utaratibu bora zaidi, wenye staha na heshima, unaoweza kutenda haki kirahisi zaidi kuliko huu?

View attachment 578093

Chanzo : ukurasa wake wa facebook
 
Interview wanazoitwa wahitimu walioomba kazi ktk makampuni, idara au mashirika ya serikali nyuma ya pazia kuna udhalilishaji na hongo kubwa. Vijana wanapoteza nauli pesa za malazi, wasichana wanadhurumia kingono na mwisho hakuna ajira. Ni fedheha kuita watu maelfu kwa mamia ya nafasi.
 
Hivi ile ''KINGWANGONOMICS'' iliishia wapi ndugu Kigwangallah?
 
Kigwangala ni mpumbavu sana ... kwa lafudhi ya Mt. Magufuli.
Yaani kwenye baraza la mawaziri anaingia then anajiwaisha Facebook kuleta ujinga upumbavu wake..??
 
Back
Top Bottom