jipange ha ha haUmeniwahi leo. Kesho zamu yangu...
Utaratibu huo utatoka wapi wakati kufikiri kwetu kumegota nafasi sita unaita umati wote huo kupanga ni kuchagua tumepanga KUSHINDWAKuna mtu ananiambia hii ni maeneo ya TRA ambapo wataalamu walijitokeza kwa usaili wa ajira. Maswali yameniijia kichwani. Ni kwamba kuna nafasi chache sana za ajira nchini ama watu wetu wanachagua sana kazi za kufanya? Je, hakuna utaratibu bora zaidi, wenye staha na heshima, unaoweza kutenda haki kirahisi zaidi kuliko huu? aliuliza Kigwangala
Usisingizie mishahara mikubwa TRA, hawana hiyo mishahara. Mishahara ya TRA ni ya kawaida kama ya serikali kuu.Tatizo viwango vya mishahara vimekua tofauti Sana ndo maana kila mtu anataka kaz TRA .weken viwango vinavyofanana Na sio gap kubwa Kama ilivyo sasa
Kingwangwalah hapo ulipo una kashfa ya kutumia hilo jina ambalo si lako..
Endelea kubana ma.pu. mbu ivyo ivyo lisije likabumburuka.
Kwenye jina unamuonea, baba yake namfahamu marehemu Kigwangala, kumbe nyumbu huwa mnachafua sana watu, sasa unatukana kwa kitu uongo?Kingwangwalah hapo ulipo una kashfa ya kutumia hilo jina ambalo si lako..
Endelea kubana ma.pu. mbu ivyo ivyo lisije likabumburuka.