yeah kiukweli jamaa alikuwa amepanick,nilimshangaa pale mwanzoni alipokuwa anamuhoji mtangazaji hewani kwanini amempa mnyika muda mrefu zaidi yake kuelezea ilani yao,ile moja kwa moja ilionesha credibility yake in question,hauwezi mlazimisha mtangazaji akuongezee muda wakati alipopewa nafasi alikuwa busy kuleta zile zile story za miaka 50 iliyopita na kuacha kuelezea kilichopo kwenye ilani,but still kipima joto cha jana kilikuwa pia cha kisanii CCM walijipanga kutudanganya kama kawaida,sijapenda jamaa aliyeenda kuchukua maoni ya wananchi alivyofanya,haiwezekani wote walio hojiwa kusifia ilani ya CCM ambayo ndo iliyotufikisha kwenye huu umasikini,na kwa kujua hilo alificha identity yake ili asijulikane,but all in all October ndo msema kweli,na kuiba kura mwaka huu tutamake sure hakuna