Hii ndiyo shida ya kukaririshwa maneno, sasa sijui hako ka PHD kake ni ka-kata au ni ka-mchina
ha ha ha
vijana mtavunja mbavu zangu zote
Hii ndiyo shida ya kukaririshwa maneno, sasa sijui hako ka PHD kake ni ka-kata au ni ka-mchina
Hizi ni 'kiromita' ngapi digits ngapi vile?
Katumwa hivyo sasa angesemaje? Huenda kuna treni mtelezo who knows?
Ndio yale ya mgombea kuahidi atajenga daraja wakati hilo eneo Hakuna uhitaji wa daraja, akasema basi tutachimba mto halafu tutajenga daraja