Mwalimu wa UDBS anaongea ubuyu kama huu?????kweli kiwango cha elimu cha UDSM kimeshuka
Huyu ni kada wa CCM na alikuwa mwalimu wangu pale UDBS chuo kikuu UDSM. Jana alikiwakilisha chama chake cha ccm kwenye kipimajoto ITV.
Akadai wao kama CCM wamepanga kujenga RELI ZOTE KWA KIWANGO CHA LAMI. Hata alipoulizwa na mzee masako alirudia tena. Sasa jamani hawa watu wapo serious kweli?
Dr Francis mwezi uliopita aligombea ubunge jimbo la kigoma mjini kwa tiketi ya CCM lakini aliangushwa kura za maoni na Dr. Waridi Kaburu
Si hadaa za mchana kweupe?
Mgombea wa ccm amekuwa akiinadi sera yake vithuri jambo la kufanya watu kumwwelewa October watu watachagua kiongozi anaye toa sera zinazo eleweka
ha ha ha mbavu zangu
Huu sasa ni mtindio wa ubongo
Mhhh laana hizo za kutembea na mabint za watu na wake za watu, huyu Dr. mchafu sana anatumia nafasi yake akiwa kama mwalimu kutembea na wanawake pale chuoni.Sometime malipo ya maovu yanaanza hapahapa duniani
Kazi tu..una kazi au kula kulala wa oysterbay
Akapimwe vpimo vyote bila kusahau akili
Hivi kumbe yule ni kada wa Ccm anabishana Na mtangazaji ??? Eti anampa
John Myika Dk nyingi za kuongea !!!!