Dr. Francis wa CCM: Tutajenga reli kwa kiwango cha lami

amilyroley

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
621
Reaction score
1,200
Huyu ni kada wa CCM na alikuwa mwalimu wangu pale UDBS chuo kikuu UDSM. Jana alikiwakilisha chama chake cha ccm kwenye kipimajoto ITV.

Akadai wao kama CCM wamepanga kujenga RELI ZOTE KWA KIWANGO CHA LAMI. Hata alipoulizwa na mzee masako alirudia tena. Sasa jamani hawa watu wapo serious kweli?

Dr Francis mwezi uliopita aligombea ubunge jimbo la kigoma mjini kwa tiketi ya CCM lakini aliangushwa kura za maoni na Dr. Waridi Kaburu

Si hadaa za mchana kweupe?
 
Huyu ni kada wa CCM na alikuwa mwalimu wangu pale UDBS chuo kikuu UDSM. Jana alikiwakilisha chama chake cha ccm kwenye kipimajoto ITV. Akadai wao kama ccm wamepanga kujenga RELI ZOTE KWA KIWANGO CHA LAMI. Hata alipoulizwa na mzee masako alirudia tena. Sasa jamani hawa watu wapo serious kweli? Si hadaa za mchana kweupe?

Huyo anatakiwa kukamatwa na uhamiaji, hajui maana ya lami. Uraia wake una mashaka.

hajitambui huyo

Nimecheka sana jana alipoonge hiyo pumba ITV

Hebu tumpe nafasi afafanue kupitia kile kitengo chao cha propaganda hapa jamvini pengine inawezeka kwakuwa tech inakua kila siku
Nitarejea na picha
 
Huyu ni kada wa CCM na alikuwa mwalimu wangu pale UDBS chuo kikuu UDSM. Jana alikiwakilisha chama chake cha ccm kwenye kipimajoto ITV. Akadai wao kama ccm wamepanga kujenga RELI ZOTE KWA KIWANGO CHA LAMI. Hata alipoulizwa na mzee masako alirudia tena. Sasa jamani hawa watu wapo serious kweli? Si hadaa za mchana kweupe?

Mgombea wa ccm amekuwa akiinadi sera yake vithuri jambo la kufanya watu kumwwelewa October watu watachagua kiongozi anaye toa sera zinazo eleweka
 
Nilimsikia live huyo mburula! Kwanza aliishia kulia lia kuwa Mnyika anapewa muda mrefu kuliko yeye. Hahaha yaani CCM ya mwaka huu wanalia lia tu. Mara chadema ratiba yao ya kampeni wamependelewa, mara vile. Dalili za kushindwa!!
 
ma dokta wa mihogo tu hao..huyu labda tumuite wa viazi vitamu
 
Ndio wale wakuahidi madaraja wakati hakuna mito katika hayo maeneo
 
Katumwa hivyo sasa angesemaje? Huenda kuna treni mtelezo who knows?

Mnabishabisha nini sasa??? So hii hapa!!?? 1442036456197.jpg1442036456197.jpg
 
Huyu ni kada wa CCM na alikuwa mwalimu wangu pale UDBS chuo kikuu UDSM. Jana alikiwakilisha chama chake cha ccm kwenye kipimajoto ITV. Akadai wao kama ccm wamepanga kujenga RELI ZOTE KWA KIWANGO CHA LAMI. Hata alipoulizwa na mzee masako alirudia tena. Sasa jamani hawa watu wapo serious kweli? Si hadaa za mchana kweupe?

Changanya lugha zao!
 
View attachment 285990
 
Back
Top Bottom