Ni kweli Mkuu maana hili ni Taifa la malofa na wapumbavu ndo maana ndani ya miaka 54 ya uhuru tungekuwa tukidanganywa na chama kile kile,chenye watu wale wale,sera zile zile,ahadi zile zile,uongo na mbwembwe zile zile na zero maendeleo na bado tuna nia,uwezo na sababu za kuendelea kuwachaguaNia tunayo,uwezo tunao na sababu tunazo za kumchagua MAGUFULI, HAPA_KAZI_TU!
Pia alisema ccm imejenga viwanda vingi vya Azam..... Hahaaaaaa Noma
matatizo tuliokuwa nao watanzania tunadhani professors wote ni waelewa bila kutizama amespecialize kwenye nini, inaelekea hata hajui technology mpya za treni hadi anafananisha na lami,makosa ni yetu vijana tunakazana kuwapigia debe wazee wenye mawazo ya karne ya 20 ndani ya karne ya 21,hii ni aibu kwa mtu msomi kushindwa kujua magnetic-levitation-trains ambayo ndiyo technology ya sasa na kutoa hoja bila utafiti.Huyu ni kada wa CCM na alikuwa mwalimu wangu pale UDBS chuo kikuu UDSM. Jana alikiwakilisha chama chake cha ccm kwenye kipimajoto ITV. Akadai wao kama ccm wamepanga kujenga RELI ZOTE KWA KIWANGO CHA LAMI. Hata alipoulizwa na mzee masako alirudia tena. Sasa jamani hawa watu wapo serious kweli? Si hadaa za mchana kweupe?
Magufuli oyeeeeMnabishabisha nini sasa??? So hii hapa!!?? View attachment 285989View attachment 285989
Nia tunayo,uwezo tunao na sababu tunazo za kumchagua MAGUFULI, HAPA_KAZI_TU!
Ni nchi gani hii bro?
Huyu ni kada wa CCM na alikuwa mwalimu wangu pale UDBS chuo kikuu UDSM. Jana alikiwakilisha chama chake cha ccm kwenye kipimajoto ITV.
Akadai wao kama ccm wamepanga kujenga RELI ZOTE KWA KIWANGO CHA LAMI. Hata alipoulizwa na mzee masako alirudia tena. Sasa jamani hawa watu wapo serious kweli?
Dr Francis mwezi uliopita aligombea ubunge jimbo la kigoma mjini kwa tiketi ya ccm lakini aliangushwa kura za maoni na Dr Waridi Kaburu
Si hadaa za mchana kweupe?
Hapo ni mlima kaburi,sumbawanga vijijini kama unashuka bonde la ufa lake rukwa
Horseshoe;
Hii ndo Tanzania tunayoitazamia pindi akiingia Magufuli. Ni ule mpango wa kuondoa trafic jam darisalama. Kutakuwa na double route kutoka Mbezi Louis mpaka Posta na Kivukoni. Hii si mchezo