Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

acha ukabila......Unakera sana.... kama wazee wako waliishia kucheza kamali nyuma ya darasa hawakusoma pole yako.... FYI watu wa nyanda za juu kaskazini, kaskazin magharibi na kusin magharibi ni wasomi kwa asilimia kubwa


Na ndiyo hapo hoja ilipo ni kweli kuna wasomi wengi tu MB, IR, TB, KG,MZ n.k lkn kwanini hawana vyeo ukawa ingawaje si ajabu wanachama wengi wa ukawa wako MB, kwa Sugu, na Mikoa mingine na wanafanywa misukule tu na kutumiwa na maKLM elite kama karatasi choo halafu wanatupwa!
 
Wewe bado unakaa enzi za ujima (old stone age).
Tukusamehe tu siyo kosa lako. Yawekana you were raised by a single mother.
Kwa uzoefu wangu unaonyesha kuwa, watu wengi waliopata malezi ya mzazi mmoja tu ndio wenye ufahamu kama huu wako.
Huwa najiuliza kwa siasa za sasa hapa nchini kuna MCHAGGA ambaye hana CHADEMA moyoni hata kama yuko CCM au kwingineko?
 
Hiyo ndio inaitwa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. Mwanamke anafurahia kuja kumshuhudia uongo mwanamke mwenzie kisa kaamua kutimiza uhuru wake wa kikatiba. Povu linamtoka kama kanywa sumu ya panya
Google Jessica kikumbi na akaro . Case closed
 
Haya Mambo ndio yanasababisha JAKAYA anashidwa kuvunja baraza la mawaziri!

CCM wamekamatwa ugoni, hakuna namna tena! Bado siku tano, tukabidhiwe nchi yetu!
Tafadhali soma Ibara ya 57(1)(f) ya Katiba ya JMT uone Baraza la Mawaziri litakavyovunjika kipindi hiki. Acha kuandika porojo humu.
 
Kwa hiyo Mwandosya ni njaa man?
Anabembelezea tumbi badala ya uzalendo??

Loyalty is very important .ukawa mkishindwa kingungwe atalelewa na Ukawa ? Lowassa atabakia Ukawa .penye mlo binadamu hutapatapa mnoo .Mie Mzazi wangu na yeye Fisadi vile vile.Namcheki anavyotapatapa .Tatizo Lao hawarudi vijijini tena .Aangalia watu wote mpaka Lowasa mwandosya umri wa kustaafu tayari ila wanataka vitu serikalini.Mtabanana
 
Eve ndo nani kwanza? Atupishe na asafiri salama kwenda upande wa pili kwanza ndo namwona Leo.
 
haa haa kuwagawa watu kikabila ni kazi ya ccm. nimeshuhudia maghufuli akinadi kwa kisukuma ili kujaribu kupata kura za kabila lake. ni hatar sana..

Na sheria inakataza kunadi sera au kuongea lugha yako kwa kushawish wananchi ktk mikutano ya kampeni.lugha ilioruhusiwa ni lugha ya taifa kiswahili tu,lugha nyngne ni km rushwa kwa wananchi.
 
Tunangojea mavuvuzela yakurupuke huko yaseme huyu sio mtu muhimu CCM na alikuwa na matatizo.Wao wanaoita watanzania malofa na wapumbavu ndio safi na wasio na matatizo.
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa. Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa JK katika chaguzi zilizopita.
 
Safi !
...Lowassa ndie Rais kuanzia 2015

Kwani nani analisha nchi DONORS .Donors wote wanajua Lowasa Fisadi .Mngekuwa mnashinda Tungeshaona dal ili za news ata Yahoo hahaha .Mjipange upya
 
Mchafu ni mchafu tu. Hata awe chama gani akiwa mchafu anabaki mchafu tu labda aoge

Lakini wapo wasafi katika ccm na wana heshima zao katka jamii.

Hao wasafi ndio wangekuwa wanakuwa targeted na chadema. Lakin nani mtu na heshima zake aje chadema?

Taja watatu wasafi.
 
Loyalty is very important .ukawa mkishindwa kingungwe atalelewa na Ukawa ? Lowassa atabakia Ukawa .penye mlo binadamu hutapatapa mnoo .Mie Mzazi wangu na yeye Fisadi vile vile.Namcheki anavyotapatapa .Tatizo Lao hawarudi vijijini tena .Aangalia watu wote mpaka Lowasa mwandosya umri wa kustaafu tayari ila wanataka vitu serikalini.Mtabanana

Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom