Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

UKABILA HAUTAISAIDIA C.C.M KUBAKI MADARAKANI...
Wewe na wana c.c.m wenzio mtalaaniwa na ukabila wenu...!

nani kakwambia ccm ni chama cha ukabila hahaha?na chadema nacho utasemaje we umelogwa
 
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa. Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa JK katika chaguzi zilizopita.

mi napita tu ntacomment baadaye taarifa hizi zikiwa zimethibitika kutoka kwa mtoa mada, kwasasa mdomo wangu ziiiiip....!!
 
Wenzenu wanaita chadema chama cha nyumbani. wewe mwenzangu nawew chadema ni chama cha kwenu?

Kina sinare ndo hao hao

Wengine mtaishia kuwa wapambe tu ndan ya chadema. Baadae mnafurushwa kwa kuitwa wasaliti
 
Sina shida na ukombozi kwa kweli kila recruit ni nyongeza kwenye account yetu, tatizo lake ni lililile la quality za hawa watu, Sinare ni REX attornesy, wakina Mrs Maarja Adui namba moja wa watanzania, hawa ndio waliosimamia kwa kulipwa hela nyingi sana na serikali ili kuliangamiza swala zima la Dowans ambapo mpala leo hatujui tunamlipa mabilioni nani wakati huyo mtu hayupo, Matokeo yake wakaishia kupata priviledges kibao ikiwemo yule mdogo wake anayejiita the first Tanzania Female Ambassador to the US, huku watu wote tukijua hakuwa na stahili yoyote wakati kuna veteran diplomats wakiozea pale magogoni, ushenzi wa mswahili JK huyo na kundi lake, na baada ya hapo, dada karudi na kukirimiwa na wakna Rostam uenyekiti wa Vodacom, kampuni iliyothibitika kuwaibia watanzania mamilioni mpaka leo hii, hawa sio rafiki wa mapinduzi wala mabadiliko, tuwaangaiie tu kama statistics, hata tukimuuliza leo hii Huyu Hawa eve wakili ni kweli moyo wake una amani?

Ndo tatizo la ccm hilo, mtu akitoka ndo mnaanza kumsema akiwa ndani ya ccm ni msafi...period!!!
 
Una maanisha nini? Yaani analala na mwanawe wa kumzaa (Incest)?
​
Hiyo ndio inaitwa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. Mwanamke anafurahia kuja kumshuhudia uongo mwanamke mwenzie kisa kaamua kutimiza uhuru wake wa kikatiba. Povu linamtoka kama kanywa sumu ya panya
 
Sinare huyo ni moja kwa moja mtu wa KLM elite sasa cha ajabu nini si anaungana na akina Kishimba, Nkya, Mbatia &CO.!

Yeye ni sawa kwa maana siyo msukule, shida inabakia kwenu manyumbu wa kutoka Mbeya, Iringa sijui Mwanza au Geita mnashabikia ukawa huko ninyi mnatumiwa kama misukule tu ya kuandamana kupigwa na Polisi lkn cheo ndani ya UKAWA sahauni!
Wewe utakuwa ni gasho and not other wise.
 
Ndo tatizo la ccm hilo, mtu akitoka ndo mnaanza kumsema akiwa ndani ya ccm ni msafi...period!!!

Mchafu ni mchafu tu. Hata awe chama gani akiwa mchafu anabaki mchafu tu labda aoge

Lakini wapo wasafi katika ccm na wana heshima zao katka jamii.

Hao wasafi ndio wangekuwa wanakuwa targeted na chadema. Lakin nani mtu na heshima zake aje chadema?
 
North Pole.Kuna watu wanacheza ngoma wasioijua.#HatariSana
 
Natalia hebu tusaidie nasisi tuamini hiki unachosema kwamba ameliwa Mzigo na mwanawe vinginevyo peleka huu upuuzi FACEBOOK....
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndio inaitwa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. Mwanamke anafurahia kuja kumshuhudia uongo mwanamke mwenzie kisa kaamua kutimiza uhuru wake wa kikatiba. Povu linamtoka kama kanywa sumu ya panya

Hao niwanufaika na upuuzi wa CCM kwahiyo uchaguzi huu unatishia kukata Mirija yao ndio maana wanamwaga POVU kwamba ulaji utafika mwisho this tym
 
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!

acha ukabila......Unakera sana.... kama wazee wako waliishia kucheza kamali nyuma ya darasa hawakusoma pole yako.... FYI watu wa nyanda za juu kaskazini, kaskazin magharibi na kusin magharibi ni wasomi kwa asilimia kubwa
 
Ni aibu sanaa kwa karne hii msomi kueneza propaganda za kikabila
Hapa najaribu kuelezea ukweli na hali alisi ilivyo, Bila kupepesa macho wakoloni waliishi sanaa kwa muda mrefu ukanda wa kaskazin na baadh ya maeneo ya nyanda za juu kusini, huko ndiko elim ilitangulia kufika na kuenea kwa kasi zaidi kwa mantiki hiyo watu wa maeneo hayo wameelimika kwa kiasi fukani kwakua walifanikiwa kupata elim...si ajabu kukuta lundo la wasomi wengi Tanzania hii na hata (watanzania) walio nje wa tanzania wanatoke kanada hizo
Jambo la msingi haapa si kua Tanzania itakombolewa na watu wa namna gani au wa kutoka sehem gan Jambo la msini ni kua Tanzania inahtaji ukombozi na MUDA muafaka ni huu.

Mkuu wanaelewa sana tu hili ila wanalizungumza makusudi kwa manufaa ya kisiasa,kuchafua jina la upinzani.

Mbona hawahoji ni kwa vipi sekta ya mahakama imejaa wahaya na wanyakyusa na watu wala hatuko bothered na hilo?Mbona hawahoji ni kwa nini tangu uhuru nchi haijawahi kuwa na Rais wala waziri mkuu mwanamke?

Nakumbuka nilipokuwa o level darasani tulikuwa mixture makabila lakini kadri nilivyozidi kupanda vidato tangu a level hadi chuo kila darasa nililosoma half or robo tatu yake ilikuwa makabila mawili tu wachaga na wahaya na hiyo asilimia ndogo inayobaki unakuta kabila dorminant ni wanyakyusa,wasukuma na watu wa Musoma.Hadi sasa elimu inatujengea matabaka watz si kwa kukandamizana bali choices zinazotokana na exposure.

Huu ukweli mchungu sema tu si kila ukweli lazima usemwe.Na mimi si mchaga wala mhaya wala mnyakyusa wala msukuma wala wa Musoma.Kwetu Tanga,kwa wagosi,na bado nimebanana nao hao wachaga hadi huku "hewani" na sijaona wapi nilikandamizwa sababu sio mchaga na hao wachaga wamenifundisha,wengine mabosi wangu,wengine nawaongoza,wengine business partners wangu...sielewi hii "chagaphobia" inatoka wapi.Hebu acheni ubahau wenu hapa..alaa!
 
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa. Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa JK katika chaguzi zilizopita.

Kwani ndio nani?
 
Ndio huyo huyo.mama ame move in na mtoto wake wakiume.Emmanuel akaro .Mtoto wake ndio Yule alieweka picha za Jessica kikumbi za UCHI kwenye Internet .

nimesoma comments zako lakini naona zimekaa kimipasho zaidi na hazieleweki....jipange
 
Mkuu wanaelewa sana tu hili ila wanalizungumza makusudi kwa manufaa ya kisiasa,kuchafua jina la upinzani.

Mbona hawahoji ni kwa vipi sekta ya mahakama imejaa wahaya na wanyakyusa na watu wala hatuko bothered na hilo?Mbona hawahoji ni kwa nini tangu uhuru nchi haijawahi kuwa na Rais wala waziri mkuu mwanamke?

Nakumbuka nilipokuwa o level darasani tulikuwa mixture makabila lakini kadri nilivyozidi kupanda vidato tangu a level hadi chuo kila darasa nililosoma half or robo tatu yake ilikuwa makabila mawili tu wachaga na wahaya na hiyo asilimia ndogo inayobaki unakuta kabila dorminant ni wanyakyusa,wasukuma na watu wa Musoma.Hadi sasa elimu inatujengea matabaka watz si kwa kukandamizana bali choices zinazotokana na exposure.

Huu ukweli mchungu sema tu si kila ukweli lazima usemwe.Na mimi si mchaga wala mhaya wala mnyakyusa wala msukuma wala wa Musoma.Kwetu Tanga,kwa wagosi,na bado nimebanana nao hao wachaga hadi huku "hewani" na sijaona wapi nilikandamizwa sababu sio mchaga na hao wachaga wamenifundisha,wengine mabosi wangu,wengine nawaongoza,wengine business partners wangu...sielewi hii "chagaphobia" inatoka wapi.Hebu acheni ubahau wenu hapa..alaa!

Sisi sote ni ndugu tatizo CCM
 
Mwandosya anacheleweshwa stahiki zake za uwaziri. Mwambie Jk kesho atangaze kuvunja balaza la mawaziri uone.

Kwa hiyo Mwandosya ni njaa man?
Anabembelezea tumbi badala ya uzalendo??
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom