Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,642
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!
kwani sio mtz?kwan wa kaskazn sio watu?