Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,247
Majizi yote yanatafuta mahali pa kwenda kwa kumuogopa magufuli
Kwa hiyo tutegemee tibaijuka..jakaya..chenge..muhongo wote wataenda ukawa ..
Majizi yote yanatafuta mahali pa kwenda kwa kumuogopa magufuli
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!
Yaani kusoma hujui sasa in maana hata kuangalia picha pia huwezi!!!!
Ukiangalia unaelewa nini katika hizo picha kwani kuna ujumbe mzito sana zimebeba.
Fanya tafakari utaelewa zina maana gani. na bado tutaendelea kuzitumia kwani zina ujumbe mzito sana kwa mwenye kuelewa kusoma picha. Hakuna sababu ya kuandika maelezo.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mie sio wa Kaskazini, nilikuwa nashangaa kama Toroka Uje ya CDM bado ipo.Naona wanakaskazini mnajipanga sasa! Huyo mmemuhadaa kuwa mtampa ujaji mkuu?
We kweli akili zako ziko kwenye mizambwa , maana ungejua maeneo ilipo hiyo mizambwa kwenye mwili wa binaadamu ni sehemu inayoshika maungio ya kutolea haja kubwa.
Sinare huyo ni moja kwa moja mtu wa KLM elite sasa cha ajabu nini si anaungana na akina Kishimba, Nkya, Mbatia &CO.!
Yeye ni sawa kwa maana siyo msukule, shida
inabakia kwenu manyumbu wa kutoka Mbeya, Iringa sijui Mwanza au Geita mnashabikia ukawa huko ninyi mnatumiwa kama misukule tu ya kuandamana kupigwa na Polisi lkn cheo ndani ya UKAWA sahauni!
Duni ni Majeshi ya kukodi tu, ukawa ikishapigwa chini jumapili na yeye anarejea cuf yake na kupewa uwaziri wake wa kivuli kule kisiwani.Hahahaa Hata Duni ambaye ni mgombea mwenza ni KLM?
Toeni upeo wenu mbovu hapa. Kwa maana hiyo ina maana Kilimanjaro sio Tanzania au?
Hahahaa Hata Duni ambaye ni mgombea mwenza ni KLM?
Toeni upeo wenu mbovu hapa. Kwa maana hiyo ina maana Kilimanjaro sio Tanzania au?
Kumbe kweli CCM inasukumwa na mizimu ya UKABILA ! Nashukuru kwa kuelewa. Sasa je vipi SUKUMA elite? Mwandosya watamjali?
Mmmh Mbona husemi ya akina Nyerere, Warioba, Butiku, Wasira, Mkono...?
Wamefanya nini?
Duni ni Majeshi ya kukodi tu, ukawa ikishapigwa chini jumapili na yeye anarejea cuf yake na kupewa uwaziri wake wa kivuli kule kisiwani.
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.
Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.
huyu ni Mmeru kabila moja na Lowassa ! umoja wa kaskazini
...mbona mnachanganyana sana; mara wanachama milioni 8 wewe milioni 6! hebu ulizaneni vizuri huko lumumba kabla hamja-post utumbo huku..