Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Lakini Mkuu walipokuwa CCM walikuwa wanatoka PWANI au KLM hiyo hiyo? Vipi uko CCM watu wa KLM na Arusha wameongoza kutoa mawaziri Wakuu kuliko sehemu zingine na kuna hata Mikoa mingi Tanzania haijawahi kutoa Waziri Mkuu: Mfano JK alimteua Lowas, Mkapa alimteua Sumaye, Nyerer alimteua Moringe Sokoine na Msuya.
Kama hiyo haitoshi ndani ya Utawala wa JK KLM imetoa mawaziri wengi kushinda mikoa mingine mfano: Anne Kilango, Aggrey mwanri, Jumanne Maghembe wakati mkoa kama wa Ruvuma pamoja na majimbo yote kuwa CCM ina waziri mmoja tu Jenists Nchimbi.
Mbali zaidi maprofesa, Madaktari, wanasheria nguli wengi wanatoka KLM/Arusha.
Unasemaje kuhusu hilo? Mchango wako tafadhali usikimbie.

Wasomi wapo mikoa ile. Shule nyingi za mission na binafsi za sekondary Tanzania zipo mikoa ile.

Mawaziri wakuu wa Tanzania kasoro Warioba wametoka mikoa ya KAskazini.

Hivyo na Rais mwaka huu atatoka mikoa ya Kaskazini kwani wanaweza kuongoza vizuri na wanakubalika.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.

Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.

Nani anamjua???? Kaona ajipe promo mwenyewe kwa kuita press conference eti anahamia chadema!
 
Sinare huyo ni moja kwa moja mtu wa KLM elite sasa cha ajabu nini si anaungana na akina Kishimba, Nkya, Mbatia &CO.!

Yeye ni sawa kwa maana siyo msukule, shida inabakia kwenu manyumbu wa kutoka Mbeya, Iringa sijui Mwanza au Geita mnashabikia ukawa huko ninyi mnatumiwa kama misukule tu ya kuandamana kupigwa na Polisi lkn cheo ndani ya UKAWA sahauni!
kumbe ccm ni mtambo wa kugawana Vyeo?sikuwahi Jua,kwa hiyo unadhani Ukawa pia watacopy na kupaste mambo ya ccm?
 
Haya bana, kama ukabila wao hautaisha hata baada ya uchaguzi sawa, wabaki nao na sisi tutajitahidi kuwaelimisha waache ukabila.

Unaelimisha kuhusu ukabila au mnaeneza chuki za kuwagawa Watanzania. Aliyepewa always huongezewa aliye na kidogo hunyang'anywa. Aliye tangua lazima aongoze tu kwenye kilaa jambo
 
Wasomi wapo mikoa ile. Shule nyingi za mission na binafsi za sekondary Tanzania zipo mikoa ile.

Mawaziri wakuu wa Tanzania kasoro Warioba wametoka mikoa ya KAskazini.

Hivyo na Rais mwaka huu akitoka mikoa ya KAakazini kwani wanaweza kuongoza vizuri na wanakubalika.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Nilichogundua mijamaa ya KLM na Arusha ni mingi sana humu
 
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.

Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.

Huyu sikuwahi kumsikia, ndie nani?
 
Unaelimisha kuhusu ukabila au mnaeneza chuki za kuwagawa Watanzania. Aliyepewa always huongezewa aliye na kidogo hunyang'anywa. Aliye tangua lazima aongoze tu kwenye kilaa jambo

Aliyeongoza kwa sasa zaidi ya nusu karne ndio ataongoza tu
 
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!

Maana ya KLM Elite ni nn!
 
Ndugu elewa kuwa huyu ni mmoja wa wapanga mikakati ya ushindi wa CCM ikiwa ni pamoja na mbinu za wizi mnazopanga, hivyo kwa kuondoka kwake na kuingia UKAWA ni wazi kabisa anakuja na majibu ya nini CCM wamepanga juu ya wizi wa kura na hapo UKAWA watajipanga kuzima wizi huo.

Tanzania ni mahali pekee ambapo mwizi anaweza sifiwa. na kubaki salama .
 
Hizi picha kila siku mnaziweka humu bila maelezo zilipigwa lini, wapi kwa sababu gani! Naona UKAWA mmeshageuka UKIWA tu! Bado kuzikwa oct 25 na hizo cheap politics zenu!

Yaani kusoma hujui sasa in maana hata kuangalia picha pia huwezi!!!!

Ukiangalia unaelewa nini katika hizo picha kwani kuna ujumbe mzito sana zimebeba.

Fanya tafakari utaelewa zina maana gani. na bado tutaendelea kuzitumia kwani zina ujumbe mzito sana kwa mwenye kuelewa kusoma picha. Hakuna sababu ya kuandika maelezo.

View attachment 300824

profilepic 2015.JPG

View attachment 300826​

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hata kingunge ...
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!
 
Sure, hili la MAGUFULI kuongea Kisukuma ni dhahiri kabisa lakn NEC haijawahi kukemea suala hilo hata mara moja wakati ni kosa kuomba kura kwa misingi ya ukabila.
[\QUOTE]
Mkuu mbona siku hiyo aliongea lugha nyingi kama utani tu,why pick on KISUKUMA? Hili ndilo tatizo la vyama vilivyo kahukiwa hoja, mnabaki kuokoteza okoteza hoja zisizo na mshiko - mara kwa nini Mh.Magufuli na wenzake wanapiga pushup,mara kwa nini anazungumza Kisukuma kwenye mkutano,mara kwa nini anasalimiana na Dadake - basi tu mnajaribu kumpaka matope hoping yata-stick eventually,kama hilo ndilo lengo lenu mtasubiri sana - yeye ndiye chaguo la HIS MAKER come rain or shine.

Hello, tafadhali, naomba ujue kuwa "I don't belong to any political party whatsoever" and, therefore, maoni yangu huwa hayaambatani na ushabiki wa kisiasa au mrengo wa chama chochote cha siasa.

Ni kweli kuwa nimesoma mara nyingi kwenye magzeti, esp. Mwananchi, wanaandika wazi kabisa Mhe. Dr. Magufuli anachanganya lugha ya Kisukuma wakati fulani.

Kwahiyo, naomba usifikirie kuwa naandika hivyo kwa nia mbaya....TAKE NOTICE OF MY POSITION IN RELATION TO BELONGING TO A POLITICAL PARTY.
 
Wasomi wapo mikoa ile. Shule nyingi za mission na binafsi za sekondary Tanzania zipo mikoa ile.

Mawaziri wakuu wa Tanzania kasoro Warioba wametoka mikoa ya KAskazini.

Hivyo na Rais mwaka huu atatoka mikoa ya Kaskazini kwani wanaweza kuongoza vizuri na wanakubalika.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Nzyuuuuuuuu! Hao si ndio waliotafuna nchi hii miaka yote. Wametumia ukabila kuwekana katika ajira, wametumia ukabila kuelekeza miradi ya kitaifa katika maeneo yao. Wakati standard ya nchi ni kuunganisha mkoa kwa mkoa kwa barabara za kiwango cha lami, wao barabara za lami zinaenda kwenye mashamba ya kahawa. Halafu tuje tuwape urais? Thubutu labda wafufue taifa lao la KIATA.
 
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!

Kumbe kweli CCM inasukumwa na mizimu ya UKABILA ! Nashukuru kwa kuelewa. Sasa je vipi SUKUMA elite? Mwandosya watamjali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom