mashadoplantan
Member
- Apr 28, 2011
- 41
- 19
Shahidi wa tuhuma zangu ni wewe maana umeshakiri humu kuwa ni kweli Dr Dau kaandika barua husika na zoezi limesitishwa la kugawa viwanja Mafia. Nakala ya barua ya Dr Dau anayo jamaa yako Rumba mwambie akupe nayo uiweke humu JF.
umeleta tuhuma hapa JF, umeambiwa ulete uthibitisho umeshindwa sasa tatizo lako ni nini?
kama huna cha kusema bora ungenyamaza tuu