life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Poleni wafiwa na wana JF... njia hiyo sote tutapita, Baada ya kutanguliza matendo yetu hapa Duniani.
stay in peace Dr.
stay in peace Dr.
mkuu nilikuwa nataka picha ili nijue kama namfahamu,nashukuru nimeiona mdau mmoja kaiwekaMkuu lets be serious kidogo kwenye serious matters... you dont need to comment in every thread (if you dont know him - huna haja ya picha!!!)
You make me sick!!
Kamanda, ukiweza kuaccess jf, unaweza kuaccess google, facebook, etc.mkuu nilikuwa nataka picha ili nijue kama namfahamu,nashukuru nimeiona mdau mmoja kaiweka
Alikuwa anafanya Phd Germany aliporudi likizo mwka jana dec akanza kuumwa ndo ikajulikana anaumwa Kansa ya MAPAFU, ametibiwa india for 6mnth at last ametutoka Dr.